Leo matapeli wa simu wamechachamaa

Leo matapeli wa simu wamechachamaa

MASOLWA WEWE NA MWENZIO KALANGASA MNANIHESHIMU MIMI BABU YENU MLIKUJA NIKAWAPA NDAGU ISIYO NA MAKAFARA MKAFUATA MASHARTI MKAPATA UTAJIRI MKAJA KUNISHUKURU ILA NASIKITIKA SANA YULE NDUGU YAKO WA BUKOBA NIMEMPA NDAGU AKIWA MBALI KAPATA MALI HANIJUI SIMJUI HATAKI KUJA KUNIONA ANANITUMIA TU PESA ASIZANI MAGARI NA MAJUMBA KAFIKA ANAWEZA BAKI BILA KITU NA WEWE BADILISHA DAWA KWENYE MAGARI NIPIGIE NIKUPE MAELEKEZO

nimetumiwa hii Mimi
 
MASOLWA WEWE NA MWENZIO KALANGASA MNANIHESHIMU MIMI BABU YENU MLIKUJA NIKAWAPA NDAGU ISIYO NA MAKAFARA MKAFUATA MASHARTI MKAPATA UTAJIRI MKAJA KUNISHUKURU ILA NASIKITIKA SANA YULE NDUGU YAKO WA BUKOBA NIMEMPA NDAGU AKIWA MBALI KAPATA MALI HANIJUI SIMJUI HATAKI KUJA KUNIONA ANANITUMIA TU PESA ASIZANI MAGARI NA MAJUMBA KAFIKA ANAWEZA BAKI BILA KITU NA WEWE BADILISHA DAWA KWENYE MAGARI NIPIGIE NIKUPE MAELEKEZO
Nimetumiwa hii
 
Kuna ambao nawafahamu na wanaishi mtaa wanyuma kwa gff wangu. Huwa wanapigia watu na kujifanya customer care kuwaambia umeshinda bonus then kupata hiyo bonus kuna namba za kuingiza na kwenye simu uwe na salio ukukubali tu imekula kwako. Kuna siku hata mimi nilipigiwa nilistuka mapema na kupiga namba ya customer care wakasema namba sio yao nikawaambia basi ni tapeli huyo wanasema inabidi nikatoe taarifa polis nikaona wajinga hawa nawapa namba za matapeli then nikatoe taarifa ofisini.
 
Mkuu nakushauri download VOICE RECORD ktk simu yako ili kwamba kila simu itayoingia ama kutoka voice zinabaki
Japo ni usumbufu kua itajaza saana nafasi lkn unaweza kuzifuta voice call ambazo si za muhim ktk file yako ili kuokoa nafasi
Hizo voice record kwa hao matapeli kukamatwa ni kama kuskuma mlevi tu,
Kwa sababu pale voice record inaporekodi hua ina tress kabisa na eneo alipo huyo anaekupigia au unaempigia,. Wengi hawajalijua hilo

Sasa hata ukiwapelekea Cyber unakuwa umewarahisishia saaaaana kazi
Mbona yangu hai trace eneo?
 
Mjukuu wangu ndagu niliyokukabizi hiyo uwe makini na pesa hizo zinazokuja usiogope ndio mafanikio yako si nilikwambia utafanikiwa kwa mda mfupi sasa umeona mwenyewe na siri hiyo usitowe kwa mtu yoyote unipigie nikuelekeze.-0746656038
 
Hata Mimi nmemjibu utumbo hajawah uonaaaa et xmass grant hiiiiiii
 
Vyuma vimekaza watu hawana hela za kwenda hta kwa mganga hakuna hela ya kuchzea now dayz
 
Mie juzi katika mtandao mmoja kuna ID ya mwana DADA mashauri mjini anauliza maswali ukijibu anasema anakupa zawadi simu ya Iphone, nikajibu akaja inbox akaniambia nitume namba yangu ya simu kisha atampa mhasibu wake ili nimtumie 20,000/- ili alipie TRA ndio wanipe zawadi yangu, duh nikauliza sasa ni zawadi au ?? nikaumbulia matusi
 
Mbona yangu hai trace eneo?
Hata yangu inaonesha eneo nilipo mimi tu (sms na calls)
Nimejitahidi sana kubadili lakini kila ninayodownload ni hivyo hivyo
Mimi nimetumiwa hii, Mjukuu wangu ile dawa iko tiyari dawa ya kumvuta aliye mbali pete ya bahati, utajiri wa haraka, masomo, biashara na zindiko la nyumba. No 0624964853
 
Mkuu hatari sana hawa viumbe waje na mbinu nyingine hii imeshndkana
 
Mkuu pole sana kwa kukosa zawad toka kwa mlimbwende tutajie bas ni nan c o sepenga huyoo
 
Mie nimepigiwa kutoka biko sport kuwa nimeingia kwenye droo ya kwenda kutizama mechi live Uingereza, nimemskiliza wee akaona sina wenge akaamua akate simu.
 
ABARI ZA LEO NDUGU YANGU ILE NAFASI YA JESHI ULIYONIOMBA IMEPATIKANA KAMA UPO TAYALI TUWASILIANE
Namvutiaga tu pumzi huyu
 
Leo nimepigiwa simu mbili tofauti za matapeli,moja ni 0683757119 akijifanya ni Airtel customer care na akanitaka tufanye uhakiki wa namba yangu kwa pamoja na nikimaliza napata bonus ya elfu 30,alivyoanza swali lake la kwanza tu nikamuambia niko busy sina muda wa kujibu maswali yake ya kitapeli na nakamuambia natuma namba yake cyber unit ili akamatwe,jamaa amekata simu kwa speed utadhani kapata shoti ya umeme.

Wa pili kaja na issue ya ajira kuwa natakiwa niajiriwe na shirika lao hivyo anataka kuni-link na proffesor,cha jabu huyu wa pili jina langu analijua vizuri na kazi nifanyayo,bado nafanyia utafiti juu ya namba hii,nita ishare soon.

Taadhali ,ni kipindi cha msimu wa sikukuu -matapeli wamepamba moto wanatafuta hela ya sikukuu
Tapeli mwingine ndiyo kamaliza kunipigia akijifanya kuwa yeye ni mtu wa customer care wa tigo na kuwa nimepewa bonus ya sh, 195,000/= kwa kile alichoeleza kuwa ni kutokana na kuwa mtumiaji mzuri wa tigo pesa, hivyo aliniuliza kama nina shilingi ngapi kwenye tigo pesa na kumjulisha kuwa nina balance ya Milioni mbili. Mara baada ya kumjulisha hivyo akaniambia ngoja atume. Mpaka sasa sijapokea bonus yangu. Kwa yeyote anayeweza tusaidiane kumtafuta huyu tapeli maana ninapo jaribu kupiga namba yake inaita tu, hivyo naomba tusaidiane kwa kutumia namba hii ili nitumiwe bonus yangu namba: 0678773177
 
Back
Top Bottom