Leo matapeli wa simu wamechachamaa

0683472841 naye customers care airtel nashangaa MTU anakujua jina line umeanza line kuitumia. Sasa tujuzani hicho kitengo tuwalipoti hawa jamaa
 
+255 769 815 121

Tapeli mwingine huyu
Mm huyo kanipigia nikaamua kumpa muda afanye mistake nimkamate, nimempanikisha akajisahau akaongea sauti yake halafu ghafla nikasikia kuku wanawika nikaamua kumchana live. Nimeambulia bonge la tusi na simu ikakatwa.
 
Tatizo mitandao ya simu wanawalea hawa jamaa. Haiwezekani napiga simu customer care wananiambia niende polisi kwanza. Wao hawataki hata kujua hiyo namba, si upuuzi huu. Mm nipo porini mbali na makazi ya raia, hao polisi na maduka yao yapo karibu kilometa 200 toka eneo nilipo, hawajali usalama wa wateja wao, nasikitika sana na nilichojibiwa na mhudumu.
Kama wataendelea na mfumo huu nina uhakika watu watalizwa sana kwa sababu tuu taratibu zimekuwa za muhimu kuliko usalama wa fedha za wateja wao.
 
0683472841 naye customers care airtel nashangaa MTU anakujua jina line umeanza line kuitumia. Sasa tujuzani hicho kitengo tuwalipoti hawa jamaa
Kuna mdau aliwahi kutoa ufafanuzi kuwa ni kolabo kati ya mawakala, na matapeli. Wananunua copy za miamala au vitabu vya miamala kutoka kwa mawakala halafu wanatumia kwa ajili ya kutafuta watu wa kuwatapeli. Na
 
Hizi ni inside job kwa kifupi, no way mtu atajua leo account yako imeingia kiasi kikubwa cha fedha na akajua exactly balance ya account yako.
Mitandao ya simu wanafanya mchezo sana na dhamana walizopewa za kulinda fedha za wateja wao.
Nilitegemea wao ndio wawe first responder katika kudhibiti hili tatizo ila naona wanaamua kufaulisha kwenda jeshi la polisi.
Huu ni uzembe wa kiwango cha hali ya juu. Nasubiria siku wapigwe direct katika server zao tuone kama wataenda polisi kwanza.
 
Mi nilijaribu kuleta thread hapa kuhusiana na hao hao wanaojifanya waganga, lakini cha kushangaza mpaka sasa zinazidi kuingia namba mpya na masuala ni yale yale ambayo niliwashambulia waliopita.
 
h
mganga wa jadi mzee gendage nyato na bibi nyato kutoka sumbawanga. wanasaidia matatizo yafuatayo kumludisha mtu aliepotea mazingira ya kutatanisha Pete na mikufu ya bahati kuimalisha ndoa zindiko la shamba mwili na biashara matatizo ya uzazi kuludisha Mali iliyopotea au kuibiwa kupandishwa cheo kazini kutatua matatizo ya kesi zindiko la mifugo magonjwa yote sugu.mawasilisno ni 0743866257 au 0784295148
a ha ha ha ha a ha a ha mkuu umenichekesha sana na kuna wajinga watapiga hizi namba
 
Back
Top Bottom