Leo matapeli wa simu wamechachamaa

Leo matapeli wa simu wamechachamaa

Leo kweli wameamua mwingine huyu......

Your mobile number has been Awarded 960,000 Euros in the 2017 Toyota Xmas Award Grants. To receive, contact Dr. Marcus via email: toyotaxmasgrants@gmail.com

nilichomjibu siri yangu.

hhahahah mie pia wamenitumia hivyo hivyo jumamosi !ukweli sikujibu kitu !
 
mganga wa jadi mzee gendage nyato na bibi nyato kutoka sumbawanga. wanasaidia matatizo yafuatayo kumludisha mtu aliepotea mazingira ya kutatanisha Pete na mikufu ya bahati kuimalisha ndoa zindiko la shamba mwili na biashara matatizo ya uzazi kuludisha Mali iliyopotea au kuibiwa kupandishwa cheo kazini kutatua matatizo ya kesi zindiko la mifugo magonjwa yote sugu.mawasilisno ni 0743866257 au 0784295148
Please forward kwa M/Kit mstaafu wa UVCCM inaweza kumsaidia hasa pale kwenye kipengele cha kesi!!!!!!!!!
 
Mie nimepigiwa kutoka biko sport kuwa nimeingia kwenye droo ya kwenda kutizama mechi live Uingereza, nimemskiliza wee akaona sina wenge akaamua akate simu.
haaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenifrahisha eti huna wenge !yes dawa ya tapeli usilete wenge utajuta
 
Kuna wengine wantumia no ya tigo wamenitumis sms eti nimeshinda lotto uingereza niwasilianae nao kwa email kuona napata vp hiyo bonus ya pesa jmn nikafutiliambali
 
SHEMEJI NIMEFANIKIWA KUPATA NAMBA YA KIJANA AMBAYE BABU YAKE ALINIZIA RUPIA NILIYOWAUZIA WALE WAZUNGU NAMBA YAKE NI 0785632099 MPIGIE ANA PASI YA UJERUMANI

Mimi: NATAKA RUPIA

AKAPOTEA HAKURUDI TENA
 
SHEMEJI MGANGA WA KIENYEJI ALIYENIPA DAWA YA MVUTO WA BIASHARA ZANGU NA MKE WANGU KAPANIDSHWA CHEO KAZINI NAMBA YAKE NI 0765439641 AMESHARUDI KUTOKA SHAMBA

MIMI WEWE MBWA GANI

KAISHIA
 
Mbona mm hawanitafuta, matapel nao wanaubaguz kisa salio halisomi

Plz wakiwatafuta wapen namba zangu sina sehem ya kuyashusha matusi mapya
 
mganga wa jadi mzee gendage nyato na bibi nyato kutoka sumbawanga. wanasaidia matatizo yafuatayo kumludisha mtu aliepotea mazingira ya kutatanisha Pete na mikufu ya bahati kuimalisha ndoa zindiko la shamba mwili na biashara matatizo ya uzazi kuludisha Mali iliyopotea au kuibiwa kupandishwa cheo kazini kutatua matatizo ya kesi zindiko la mifugo magonjwa yote sugu.mawasilisno ni 0743866257 au 0784295148
Yaani kwanza lazima umsifu kwa Tangazo lake, maana limejaa matatizo yetu yote ya kila siku..Ni wataalamu sana hawa..Ila za mwizi 40 tu..
 
Kwa kweli Leo wameamua hadi muda wameshanitumia SMS 5 moja kati ya hizo ni hii

Mdogo wangu_____(Akataja jina langu) Acha kuhangaika Mara huku Mara kule, Ona mafanikio yangu yote mpaka Leo Hakuna Baya lolote lililowahi kunifika na kila siku naongeza nyumba na magari kama hii BMW niliyomzawadia mke wangu ktk sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ni tofauti kabisa na watu walivyozusha mwanzo kuwa nitapata mabalaa, mtandao huu hauna hata masharti magumu Mdogo wangu Jiunge kitakusaidia sana na hutojutia.. Mpigie boss wetu Akusaidie no.yake 0678857642
 
Mbona mm hawanitafuta, matapel nao wanaubaguz kisa salio halisomi

Plz wakiwatafuta wapen namba zangu sina sehem ya kuyashusha matusi mapya
Wapigie uwaporomoshee hayo matusi ngoja nikupatie baadhi ya no.zao

0743866257,, 0784295148,, 0678773177,, 0683757119,, 0678857642
 
Mimi iliyonipigia sijaiona inaishia na 74, eti yule dada kakupigia,?
 
Tapeli mwenye namba 0757996604 alinipigia Jumamosi iliyopita akijitambulisha kuwa ni ofisa kutoka makao makuu vodacom na namba yangu imejishindia laki mbili. Akaniuliza jina langu nikampa la uongo na akaniuliza nilipo nikamdanganya pia. Akaniuliza hiyo ni namba yako nikamjibu ndio. Akaniuliza kama nimwahi kufanya muhamala wowote hivi karibuni hapo alinitibua. Nikamuuliza wewe tapeli kama kweli uko Vodacom Makao makuu si ungeshatambua location niliyokupa ni ya uongo na jina nililokupa ni la uongo, akakata simu. Tuweni waangalifu....
 
mganga wa jadi mzee gendage nyato na bibi nyato kutoka sumbawanga. wanasaidia matatizo yafuatayo kumludisha mtu aliepotea mazingira ya kutatanisha Pete na mikufu ya bahati kuimalisha ndoa zindiko la shamba mwili na biashara matatizo ya uzazi kuludisha Mali iliyopotea au kuibiwa kupandishwa cheo kazini kutatua matatizo ya kesi zindiko la mifugo magonjwa yote sugu.mawasilisno ni 0743866257 au 0784295148
Yaan zama za magufuli ubunifu umeongezeka.
 
Back
Top Bottom