Leo matapeli wa simu wamechachamaa

OMEGA

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
694
250
Leo nimepigiwa simu mbili tofauti za matapeli,moja ni 0683757119 akijifanya ni Airtel customer care na akanitaka tufanye uhakiki wa namba yangu kwa pamoja na nikimaliza napata bonus ya elfu 30, alivyoanza swali lake la kwanza tu nikamuambia niko busy sina muda wa kujibu maswali yake ya kitapeli na nakamuambia natuma namba yake cyber unit ili akamatwe, jamaa amekata simu kwa speed utadhani kapata shoti ya umeme.

Wa pili kaja na issue ya ajira kuwa natakiwa niajiriwe na shirika lao hivyo anataka kuni-link na proffesor cha jabu huyu wa pili jina langu analijua vizuri na kazi nifanyayo, bado nafanyia utafiti juu ya namba hii,nita ishare soon.

Taadhali ni kipindi cha msimu wa sikukuu -matapeli wamepamba moto wanatafuta hela ya sikukuu
 

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,427
2,000
mganga wa jadi mzee gendage nyato na bibi nyato kutoka sumbawanga. wanasaidia matatizo yafuatayo kumludisha mtu aliepotea mazingira ya kutatanisha Pete na mikufu ya bahati kuimalisha ndoa zindiko la shamba mwili na biashara matatizo ya uzazi kuludisha Mali iliyopotea au kuibiwa kupandishwa cheo kazini kutatua matatizo ya kesi zindiko la mifugo magonjwa yote sugu.mawasilisno ni 0743866257 au 0784295148
 

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
5,242
2,000
Babu yangu umenisahau sana.
Naomba urudi nije kukufanyia tambiko la mwisho na ndagu.
Ili ufanikiwe zaidi sitakupa masheriti magumu ya kutoa kafara.

Huyu ndio huwa haipiti siku kanitumia meseji haijalishi matusi nnayomtukana maana huwa sio ya dunia hii.nadhani huwa anacheka sana nnavyotukana ndo mana hachoki kunitext
 

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,427
2,000
Binti kanjeri ni bingwa wa Tiba asili kwa wale wote wenye matatizo ya biashara,nguvu za kiume,mvuto wa mapenzi,Jini wa Mali, Pete au cheni ya baati. 0754415918
 

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,103
2,000
Mwi ngingine huyu kanitumua by SMSCaster.com: Congrats!Your Mobile 255 won 980,000 Pounds in the 2017 Coca-Cola UK Raffle.To redeem,send Your AGE and Mobile via e-mail on: pay 0626558279
 

stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,210
2,000
Leo nimepigiwa simu mbili tofauti za matapeli,moja ni 0683757119 akijifanya ni Airtel customer care na akanitaka tufanye uhakiki wa namba yangu kwa pamoja na nikimaliza napata bonus ya elfu 30,alivyoanza swali lake la kwanza tu nikamuambia niko busy sina muda wa kujibu maswali yake ya kitapeli na nakamuambia natuma namba yake cyber unit ili akamatwe,jamaa amekata simu kwa speed utadhani kapata shoti ya umeme.

Wa pili kaja na issue ya ajira kuwa natakiwa niajiriwe na shirika lao hivyo anataka kuni-link na proffesor,cha jabu huyu wa pili jina langu analijua vizuri na kazi nifanyayo,bado nafanyia utafiti juu ya namba hii,nita ishare soon.

Taadhali ,ni kipindi cha msimu wa sikukuu -matapeli wamepamba moto wanatafuta hela ya sikukuu

Mkuu nakushauri download VOICE RECORD ktk simu yako ili kwamba kila simu itayoingia ama kutoka voice zinabaki
Japo ni usumbufu kua itajaza saana nafasi lkn unaweza kuzifuta voice call ambazo si za muhim ktk file yako ili kuokoa nafasi
Hizo voice record kwa hao matapeli kukamatwa ni kama kuskuma mlevi tu,
Kwa sababu pale voice record inaporekodi hua ina tress kabisa na eneo alipo huyo anaekupigia au unaempigia,. Wengi hawajalijua hilo

Sasa hata ukiwapelekea Cyber unakuwa umewarahisishia saaaaana kazi
 

Epafras

Member
May 15, 2015
79
125
MJUKUU WANGU NDENGESELA MUDA WA KUBADILISHA NDAGU UMEFIKA UJE NA MAGARI MAPYA NA ILE CHUPA YA JINI NI MIMI MUZEE MWASHIWAWA WA SUMBAWANG.........

hawa jama wanasumbua sana yaani hadi mke wangu kabaki kutetemeka akajua anachukuliwa msukule au anatolewa kafara ha ha ha
 

Gluk

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
1,786
2,000
Mimi nimetumiwa hii, Mjukuu wangu ile dawa iko tiyari dawa ya kumvuta aliye mbali pete ya bahati, utajiri wa haraka, masomo, biashara na zindiko la nyumba. No 0624964853
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom