Nimekutana na matapeli leo asubuhi

Quimica

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
1,029
1,254
😂😂😂 Nimekutana na wale matapeli wa pesa wakadhania wataniibia kumbe mimi mtoto wa mjini yaani nimezaliwa Moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii

Scenario ipo hivi,

Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala Magomeni Mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nadhani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wapo nikamwambia panda daladala za posta kabla sijamaliza Akaja mtu wa pili akaanza kumwambia huyu mzeee kwanini usipande mwendokasi Mara mzee akatoa pochi ina dollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.

Mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa nikiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.

Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu, mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini, lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. Basi tukaenda pale sheli...

Eti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa, tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu, akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wa kichaga.

Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nikamwambiaje, Sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha Manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.

Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena😃😃

Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...

Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee, mzee akaanza kunihadisia kuwa ana mtoto wake wa kike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa, anaongea huku anatetemeka kiukweli na kuniambia kijana wangu wewe ndo nakuamini hapa, mimi nipo makini muda huo.

Mara tumefika Manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi 😂

Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia.

Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...

Mimi ikawa siongei nkawaambiaje lakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki, eti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...

Nikashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine wakasepa Zao nikaenda chuo

Funzo:
Ukikutana na mtu humjui usimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.
 
Mpaka wanakubeba mpaka sijui Manzese mara sijui Sinza jua tu ilikuwa bahati yako kama wasingekuwa not only matapeli but also wafiraji means wangekufira maana wangekupulizia hata dawa ya usingizi uokotwe Kunduchi beach

SOMO: HAKUNA MJANJA KILA MJANJA ANA MJANJA WAKE, USIKUBALI KABISA KUJARIBU SUMU KWA KULAMBA
 
nimekutana na wale matapeli wa pesa wakazania wataniibia kumbe mm mtoto wa mjini yani nimezaliwa moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii

Scenario ipo hivi,

Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala magomen mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nazani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wap nikamwambia panda daladala za posta kabla cjamaliza Akaja mtu wa pili akanza kumwambia huyu mzeee kwa nn usipande mwendo kasi Mara mzee akatoa pochi inadollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.

mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa Nkiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.

Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu , mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini , lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. basi tukaenda pale sheli...

Heti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa , tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu , akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wakichaga...

Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nkamwambiaje sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.

Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...

Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee , mzee akaanza kuniaidisia kuwa ana mtoto wake wakike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa , anaongea huku anatetemeka kiukwel nakuniambia kijana wangu ww ndo nakuamini hapa , mm nipo makini muda huo.

Mara tumefika manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva ... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi

Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia

Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...

Mimi ikawa siongei nkawaambiaje pakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki heti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...

Nkashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine wakasepa Zao nikaenda chuo

Funzo:
Ukikutana na mtu humjui husimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.
Siku nyingine utakuja kupasuliwa mayai, wewe endelea tu kudandia magari ya wahuni.
 
Ila unaonekana mwepesi sana.
Kwa mizunguko walokufanyisha sahivi ungekuwa mbweni baharini kule.
Unaanzaje kupanda gari la mtu humjui?
Wangekupulizia dawa huko?
Wewe walishakuwin sema wamekupotezea tu
 
Back
Top Bottom