Leo nimepigiwa simu mbili tofauti za matapeli,moja ni 0683757119 akijifanya ni Airtel customer care na akanitaka tufanye uhakiki wa namba yangu kwa pamoja na nikimaliza napata bonus ya elfu 30, alivyoanza swali lake la kwanza tu nikamuambia niko busy sina muda wa kujibu maswali yake ya kitapeli na nakamuambia natuma namba yake cyber unit ili akamatwe, jamaa amekata simu kwa speed utadhani kapata shoti ya umeme.
Wa pili kaja na issue ya ajira kuwa natakiwa niajiriwe na shirika lao hivyo anataka kuni-link na proffesor cha jabu huyu wa pili jina langu analijua vizuri na kazi nifanyayo, bado nafanyia utafiti juu ya namba hii,nita ishare soon.
Taadhali ni kipindi cha msimu wa sikukuu -matapeli wamepamba moto wanatafuta hela ya sikukuu