Mawaziri Watatu wa Israel wasusa kuhudhuria kikao cha Baraza la Vita cha Leo Jumapili

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,996
142,011
Mawaziri Watatu wa Israel wamesusa kuhudhuria kikao cha Baraza la Vita kinachofanyika kila Jumapili

Ikumbukwe kikao kilichopita zilizuka vurugu baada ya baadhi ya Mawaziri kuukataa mpango wa Waziri wa ulinzi wa kuwaondoa Gaza Wapalestina wote

Source Al jazeera news
 
Back
Top Bottom