Hatareeemtoto ni ishu ndogo sana
kwanini unaamini kuwa mwanamke mwenye mtoto hana sifa za wewe kumuoa!?kuna wife material wazuri tu wanapatikana miongoni mwa hao waliozalishwa na kukimbiwa na hao irresponsible men!!Kwanza kabisa eee Mungu nisamehe dhambi ya kumzalisha dada wa watu mwaka 2010.
Pia ingawa aliolewa Kwa yeye mwenyewe kukosa subira kutokana na mie kuwa na safari ndefu ya kusoma,licha ya kumsihi sn.
Huku Cambodia nimebahatika kukutana na wa Njombe mwenzangu(Mtanzania I mean) ni wife material haswaa.
Bond ikakubali,chemistry ni ya hali ya Juu.Yani ndo aina ya mke nilikuwa namtafuta,yani pamoja na mie kutakiwa kumpenda ila yeye pia anatakiwa awe zaidi ya mama kwani nayajua niliyopitia mie.
Masikini nimegundua ana mtoto tayari ingawa anajitahidi kuficha ili tufikie adhma yetu.Yani moyo wangu umeumia sn, ingawa nami nina mtoto.
Ukweli wa Mungu nafsi yng haipo tayari kuoa mtu aliye na mtoto tayari.
NIMEKATA TAMAA,SIELEWI NIFANYE NINI?
Na demand ya kuoa ipo sana sana kwani umri nao si rafiki.
Akili imevurugika kabisa.Ama kweli ng'ombe wa masikini hazai.
Siku moja wakati umeshamuoa hiyo atakuja baba wa mtoto aliye zaa na mkeo kwamba amekuja kumwona mtoto wake.Atakutambulisha kisha baada ya maongezi ataaga na labda ataacha matumizi ya mtoto.Kisha mkeo anakuomba ruhusa ngoja nimtoe mgeni.Mkuu usioe wenye watoto.Siku baba yake akija presha itakuua jinsi atakavyoonesha makeke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ningesimulia but ngoja niendelee kuumia moyo tu.
No way.
Hawa viumbe wengi wao hawako tayari kuolewa.
Acha kupotosha watu. Hata hao waliozaa wapo waliozitoa mimba nyingi tu. Na si ajabu huyo aliyemzaa ni sababu tu ilishindikana kutoa mimba.Bora huyo umemkuta na mtoto kuliko kuliko kuoa binti ukijua hana mtoto Kumbe Alisha toa mimba sita. Ushauli wangu mwanamke mwenyewe mtoto kama sifa zingine Zote amado oa tu mkuu mtoto siyo sababu ya msingi kumuacha Mke kwanza ukimkuta na mtoto Ndiyo unakuwa na huakika kizazi anacho
Bila shaka unataniaSiku moja wakati umeshamuoa hiyo atakuja baba wa mtoto aliye zaa na mkeo kwamba amekuja kumwona mtoto wake.Atakutambulisha kisha baada ya maongezi ataaga na labda ataacha matumizi ya mtoto.Kisha mkeo anakuomba ruhusa ngoja nimtoe mgeni.Mkuu usioe wenye watoto.Siku baba yake akija presha itakuua jinsi atakavyoonesha makeke
Usikate tamaaa wanawake tupo
Kwanza kabisa eee Mungu nisamehe dhambi ya kumzalisha dada wa watu mwaka 2010. Pia ingawa aliolewa kwa yeye mwenyewe kukosa subira kutokana na mimi kuwa na safari ndefu ya kusoma, licha ya kumsihi sana.
Huku Cambodia nimebahatika kukutana na wa Njombe mwenzangu(Mtanzania I mean) ni wife material haswaa.
Bond ikakubali, chemistry ni ya hali ya Juu.Yani ndo aina ya mke nilikuwa namtafuta, yani pamoja na mimi kutakiwa kumpenda ila yeye pia anatakiwa awe zaidi ya mama kwani nayajua niliyopitia mie.
Masikini nimegundua ana mtoto tayari ingawa anajitahidi kuficha ili tufikie adhma yetu. Yani moyo wangu umeumia sana, ingawa nami nina mtoto.
ukweli wa Mungu nafsi yangu haipo tayari kuoa mtu aliye na mtoto tayari.
NIMEKATA TAMAA, SIELEWI NIFANYE NINI?
Na demand ya kuoa ipo sana sana kwani umri nao si rafiki.
Akili imevurugika kabisa. Ama kweli ng'ombe wa masikini hazai.