figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,685
- 59,186
hahahaaaa...Miawanaenda kuyatupa baharini
kwani wanaogopa wakati wowote kitawaka hapa tz.
Juu ndege za kivita, chini magari ya kivita. kuna nini jamani?? Mimi nipo hapa maeneo ya external yamepita magari manne yenye mizinga kwa nyuma iliyofunikwa kwa turubai za kijeshi. Ile nataka kuchukua picha kumbe kwa nyuma kuna pick up kama zile za libya wakaninyoshea kidole. Mi nmebabki nashangaa. mwenye taarifa atujuze wanaenda wapi sababu watokea Ubungo wakielekea tazara. Nimezoea kuona zana za kivita zikisafilishwa usiku. Leo kulikoni?. Mia
Ndege zipi zile zilizochokaaaa!!
Angalia zisikutungukie
hahahaaaa nliziona
juzi nkahakikisha
tz tupo bin taabani
hahahahahaha ....mia
hahahahahahahaaha....siyo wanawatisha Al-shabaab maana wanavyo waogopa yaani kuliko hata wanavyo mwogopa Munguwanaenda kuyatupa baharini
kwani wanaogopa wakati wowote kitawaka hapa tz.
Flora uzalendo uko wapi yaani unadharau jeshi lako...Hujui kama tume thubutu, tumeweza na tunasonga mbele...alaaaaaaaNdege zipi zile zilizochokaaaa!!
Angalia zisikutungukie
hahahaaaa nliziona
juzi nkahakikisha
tz tupo bin taabani
hahahahahaha ....mia
dada angu hii niliyo ionna leo sijawahi iona tangu tanganyika ipate uhuru. Nafikili ndo zile ndege za mizigo sababu inaweza beba basi nne. Bonge la ndege. Ikikupita utaifuata mbio ukidhani itaanguka hapo mbele. Mia
flora uzalendo uko wapi yaani unadharau jeshi lako...hujui kama tume thubutu, tumeweza na tunasonga mbele...alaaaaaaa
Samahani dada sina maana ya kukuvunjia hsim, je wewe unapata msuba?itakuwa mbov tu
labda tulinpora nduli
amini enzi zake af haijapigwa stata tena mpaka leo
fundi kaikarabati tangu mwaka juzi
leo ndo iko on test
rubani hapo kashalipwa chake
maana kinaweza kunuka
mda wowote!!ndo mana pick up chini ajili
ya kuwahisha majeruhi!
Ingekuwa ni kulipuka wasingekuwa na hela ya kuhamisha kwao bora watu wafe ila kwa mambo yenye maslahi yao hela ipowanahamisha kwani mda wa kulipuka umefika yasije yakaua watu tena