man u

Manchester United Football Club is a professional football club based in Old Trafford, Greater Manchester, England, that competes in the Premier League, the top flight of English football. Nicknamed "the Red Devils", the club was founded as Newton Heath LYR Football Club in 1878, but changed its name to Manchester United in 1902. The club moved from Newton Heath to its current stadium, Old Trafford, in 1910.
Manchester United have won the most trophies in English club football, including a record 20 League titles, 12 FA Cups, five League Cups and a record 21 FA Community Shields. They have won the European Cup/UEFA Champions League three times, and the UEFA Europa League, the UEFA Cup Winners' Cup, the UEFA Super Cup, the Intercontinental Cup and the FIFA Club World Cup once each. In 1968, under the management of Matt Busby, 10 years after eight of the club's players were killed in the Munich air disaster, they became the first English club to win the European Cup. Alex Ferguson is the club's longest-serving and most successful manager, winning 38 trophies, including 13 league titles, 5 FA Cups and 2 UEFA Champions League titles, between 1986 and 2013. In the 1998–99 season, under Ferguson, the club became the first in the history of English football to achieve the European treble of the Premier League, FA Cup and UEFA Champions League. In winning the UEFA Europa League under José Mourinho in 2016–17, they also became one of five clubs to have won the original three main UEFA club competitions (the Champions League, Europa League and Cup Winners' Cup).
Manchester United is one of the most widely supported football clubs in the world, and has rivalries with Liverpool, Manchester City, Arsenal and Leeds United. Manchester United was the highest-earning football club in the world for 2016–17, with an annual revenue of €676.3 million, and the world's third most valuable football club in 2019, valued at £3.15 billion ($3.81 billion). After being floated on the London Stock Exchange in 1991, the club was taken private in 2005 after a purchase by Malcolm Glazer valued at almost £800 million, of which over £500 million of borrowed money became the club's debt. From 2012, some shares of the club were listed on the New York Stock Exchange, although the Glazer family retains overall ownership and control of the club.

View More On Wikipedia.org
  1. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Ilaa man u

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ilaaaa LONDON BOY
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Leo Man U wanawaonea Hawa Madogo wa Azerbaijan!

    Wanajibondea tu magoli. Team Haina mfungaji, goli Nne kila goli na mfungaji wake.
  3. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Man U chukueni somo hapa kwa Man city

    Mchezo wa jana wa ufunguzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), Manchester City walishinda mabao 2–0 dhidi ya FC Porto kwenye Uwanja wa Estádio do Dragão. Mabao yote mawili ya Man City yalifungwa na mshambuliaji wao hatari Erling Haaland. Haaland alifunga bao la kwanza kwa kichwa...
  4. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Huyu refa humwambii kitu kuhusu Man U

    Mwamuzi wa kimataifa Michael Oliver ameteuliwa rasmi kuwa mwamuzi wa kati (Pilato) kwenye mtanange mkali wa Manchester Derby kati ya Manchester United na Manchester City. Pambano hilo la kwanza la dabi ya Manchester kwa msimu wa 2026/2027 litapigwa siku ya Jumapili, Septemba 13, 2026, katika...
  5. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Tuliposema kuwa 'fundi Mayco' akipewa mkataba wa kudumu pale Man U mlituona vilopolopo, haya oneni sasa!

    Tuliposema kuwa 'fundi Mayco' akipewa mkataba wa kudumu pale Man U timu itakuwa inapigwa mtungo mlituona vilopolopo, haya oneni sasa! Hakika Kila klabu pale EPL itakuwa inaidinya tu hii Mantesa. Scars.
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Liverpool, Chelsea na Man U mnajua kujikausha. Leo si mechi zenu?

    Au mnasubiria mechi za kesho?
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Leo Chelsea, Man City na Man U wapo vikaangoni - EPL!

    Ngoja tusubirie Matokeo.
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri Manchester United katika mechi dhidi ya Liverpool Nafasi ya 11 sio hadhi yenu!

    Unaambiwa adui muombee njaa na Enemy of my Enemy is my Friend. Man U leo akimpiga Liver, gepu la namba 1 na yeye tatu litazidi kua kubwa. Hapo hatupati tena. man City sio tishio kabisa.
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Vipi wazee wenzagu wa Man U, tutatoboa kweli bila ya kusajili midfielder mpya maana kati kati pamemwaya sana

    Bruno ni 10 hio 8 haiwezi Ugarte ndio kashakuwa chizi. Casemiro miguu ishakuwa mizito Mainoo anakimbia kama amefungwa mawe mgongoni. Dirisha linafungwa saa nne kamili usiku na sioni dalili ya kiungo mpya.
  10. PLOII

    JamiiForums Tanzania MAN U kama wamemwaga moto; Timu hii haina tofauti na UTOPOLO mbwembwe nyingi with no focus

    Hii Timu 1st Game imemwaga moto tayari. Ogopa sana kuwa fan wa hii timu at the same time upo kwa Utopolo mbwembwe nyingi vitendo "0"
  11. G

    JamiiForums Tanzania USAJILI MPYA MAN U MSIMU 2025-2026.

    Picha inajieleza. Uzi tayari.
  12. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Man U yashinda ubingwa Premier league

    ⚽Manchester United alfajiri ya leo kwenye mchezo wake dhidi ya Everton wametoka sare ya 2 - 2 na kufanikiwa kuchukua kikombe cha kwanza Cha premier league summer series nchini Marekani.
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Premier League imerejea, Arsenal Uwanjani, mashabiki wa Man U mpo tayari?

    Baada ya mapumziko ya muda katika michezo ya ngazi ya klabu katika mataifa mengi hasa upande wa Ligi Kuu, Ligi Kuu ya England inatarajiwa kuendelea leo Jumanne Aprili 1, 2025 kwa mechi tatu kupigwa Timu ya Arsenal ambayo bado inapambania ubingwa ipo nyumbani ikiikaribisha Fulham, Wolves nayo...
  14. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kocha wa MAN U kuifundisha Harambee stars

    Shirikisho la soka nchini Kenya[FKF] linatarajia kumtangaza Benni Mccathy kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars) mapema wiki hii. Mccarthy alikuwa nyota wa zamani wa kimataifa wa Afrika kusini na aliwahi kuzitumikia klabu kadhaa kama kocha mkuu kama vile Amazulu,Capetown...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wanayopitia Man City & Man U ingekuwa Yanga au Simba sijui ingekuwaje?

    Jinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo sijui ingekuwaje🤔 Mawaziri mpaka Rais angeingilia kati. Simba na Yanga zinaua Mpira wa Tanzania kwa...
  16. Fateema

    JamiiForums Tanzania Je Man U kushuka daraja mwaka huu?

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa Man U Kila Leo. Hata mechi inayo fuata na Everton Man u wanaweza kufungwa pia. Mpaka najiuliza hivi Ferguson alikuwaga anawapa nini marefa?
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Pole mashabiki WA Mam U na Chelsea kwa matokeo mliyopata leo

    Niko Morogoro Nilichokiona Leo n BALAA tupu Polen sana mashabiki WA man u na Chelsea Kiujumla sisi Man City tumehuzunishwa sana na yanayoendelea ligi kuu ya EPL Nahisi tueleke kwenye maombii ya Mchungaji wa Dube tukaponye timu zetu
  18. yvee

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Manchester United imewahi kufungwa 39-0 na Arsenal mwaka 1920

    Arsenal inashikilia rekodi ya kuichapa Man U kichapo kikubwa zaidi kwenye ligi ya Uingereza cha Magoli 39-0 mwaka 1920. Habari hii inasambaa sana mtandaoni, JamiiCheck tunaomba mtusaidie kuifuatilia.
  19. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Napata raha sana kuona mashabiki wa Simba na Man U wakiwa hawana raha

    Yaani katika maisha yangu naweza kupata hela nyingi tu na nikaona kawaida yaani. Ila Mashabiki wa Simba na Man wakiishi kwa stress napata faraja sana na naona nina kila kitu katika maisha. Hasa hasa hawa watu wa Msimbazi wanapoanza kunyosheana vidole, kukamatana uchawi, kufukuzana na kusutana...
  20. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Yanga bado wana kitu cha kujifunza kimataifa kutoka kwa Simba, Mnachofanya wana Yanga ni sawa na Newcastle kukebehi Man U kufuzu UCL

    Habari jf, Kwa misimu miwili mfululizo timu ya Simba haijawa katika kiwango kizuri hili halipingiki. Usajili mzuri umefanyika lakini matunda bado hayaridhishi hii inawezekana ni kutokana ni ubovu wa benchi la Ufundi. Mitaani wana Yanga wanaongea sana lakini katika miaka 25 ndio tena mmeingia...
Back
Top Bottom