Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

kaka swali linauliza lengo kuu la kuishi na si kuumbwa?kuna tofauti ya kuumbwa na kuishi,jibu rahisi ulitakiwa umjibu ni kwamba tunaishi ili tufe,,,ila tumeumbwa ili tumtumikie alietuumba.
 
We are given freedom to choose , but unfortunately we are not compelled to be right (by the creator of the universe plus all that reside in it) after being free for that reasonable time our life is snatched then what,,,,waiting for judgements is what befalls us. So practically we are here to be tested
 
Wapi hujaelewa hapo? Mbona jamaa kaeleza kwa lugha rahisi inaeleweka hata kwa mtoto? Hebu rudia tena kusoma utamuelewa vzr....usiwe Kama aliosema jamaa hapo juu kwamba Kuna baadhi hamtaki kusikia habari hz ila ukweli ndiyo ndiyo huo,Yan hapa duniani ndo mahali pekee panapo determine mustakabali wa maisha yako yanayofuata baada ya kufumba jicho.Pamoja na kuwepo na makundi yanayokusahaulisha khs maisha yajayo ila tufahamu tu kwamba hapa tunapita na utakutana na aliyekuleta hapa duniani bila wewe kupanga kwa hiari yako na atakuonyesha yote uliyoyafanya hapa kituo namba 3 Kisha atakuweka mahali unapostahiki kwa mujibu ya uliyoyatenda hapa Duniani.Nikupe sana hongera dadangu kwa kuwaza vzr,wengi tunawaza hivi lkn hatuutaki ukweli tunapotezea japo Hakuna namna nyingine ya sisi kufuata hii kanuni.Uwe mwanasiasa,uwe mcheza mpira,mwanamuziki,mfanyabiashara,uwe jambazi,kahaba ,teja,uwe sheikh,mchungaji, doctor....Yan ishi utakavyoishi ila ukae ukijua kwamba aliyetuumba amekuwekea viumbe maalum usiowaona wanarecord Kila unachokifanya hata kiwe kidogo kama mchanga na report Kila mtu atapewa siku ya Mwisho au siku ya kiama siku ambaya Kila mtu ataambiwa alichokifanya akiwa hapa Duniani.Ili uwe salama Ni lazima uishi kwa taratibu alizoziweka Mungu Muumbaji,usiishi unavyotaka wewe utaishia pabaya na hutapata nafasi nyingine ya kusawazisha.Nafasi ya kusawazisha ipo hapa hapa duniani kabla hujaaga Dunia.
KAKA unaamini Qadari? na vipi kupata kwako na kukosa kwako mpangaji ni Mungu?
 
Sasa Mungu anapata faida gani kuabudiwa na mwanadamu?? ana pungukiwa na nini asipo abudiwa??.hizi hoja zako zimekaa ki imani za kidini na hazithibitiki.
Mh ujinga ni mzigo mzito kuliko mlima kilimanjaro? faida unayoitaka wewe ni ipi? acha nikupe mfano labda utaelewa, mimi ni shabiki wa simba,Simba inapoifunga yanga hua napata Faida na hasara,hivi unajua hua nafaidika na nini? na hua napata hassara ya nini/?
 
Kuna kitu watu huwa hawawezi elewa kwa sababu they cant think outside the box..

Wea re living in a simulated world( universe) ..
Ni somo pana sana hili kiasi kwamba ukimweleza mtu hawezi kukuelewa na zaidi utaishia kuzinguana nae kwa sababu atakuona unapotoka sijui umemdharau muumba aliyekuumba but reality kabisa we are living in a simulated controlled manner of life..

Amini usiamini something super intelligent being is controlling your(my) life..

We human being and other seenable species are just existing kwa sababu ya experimental issues..

kuna kundi la viumbe somewhere wametengeneza viumbe sisi kwa sababu ya majaribio yao binafsi and probably cross link superhybrid ya genetics zao...

Ukikaa na kufikiria kwa makini lengo la wewe au mimi kuwepo hapa duniani physically ni utopolo kabisa yani unazaliwa unasoma unakuwa unaoa na kuwa na familia yako kisha unazeeka unakufa then unajiuliza lengo la kupitia hizo changamoto zote ni nini sasa ...

Hakuna thamani yoyote hapa duniani zaidi ya kupitia intensity ya maumivu katika kusurvive kwa sababu tunassma "surviving is costful".

Kaaa chini mwenyewe jifungie ndani halafu uwaze bila kumhusicha mtu yoyote kwanini upo hapa utagundua kuwa the world was artificially created for making habitation ya sisi ambao ni experimental organisms kwa ajili ya maisha ya watu( beings of somewhere).

You must believe in any ways kuwa The world is just an eco systeme artificially created enveronment kwa ajili ya kusupport maisha ya hawa viumbe ambao walikuja kumwagwa hapa ili kuenddelea kuchunguzwa..

.........ni kama vile uchimbe bwawa kubwa kisha uje umwage mayai ya samaki kutoka china halafu uanze kumonitor jinsi samaki hao wanavyokuwa na kuzaliana huku lengo unakuwa unaangalia jinsi unavyoweza kuwafanyia hydridization changes katika mfumo wao mzima wa kijenetiki zaidi ili upate the desirable species kwa experiments zako ..

we are living in an eco systemed simulated world ambyo imewekewa mazingira yote ya kusurvive and no body can escape the dome..
IMG_0827.jpg

Amini usiamini we are nothing rather than experimental part of beings controlled by other species of which you can call in whatever names but belive kuwa hilo kundi lipo..

Chukulia mfano unafuga kuku za kizungu ambazo umewafungia ndani ya jumba kwa kuwapa mwanga wa taa ambazo zinawaka zenyewe giza likiingia na kujizima jua likichomoza(self controlling) , umewekea maji ya bomba ambayo hutiririka baada ya masaa kadhaa ,halafu wanakula mchele wa kudonoa ambao umeuweka kwenye vikontena humo humo ndani ila kuku hao wanatakiwa kujiongeza namna ya kufunua hayo makontena ya mchele,,means kuku anayegundua kuwa humu humu ndani kuna mchele ndo anayesurvive kwa muda mrefu zaidi ila hatajua ni nani ni supplier wa chakula kile kwani stock ni kubwa na ilikuwepo kabla hata hawajatotolewa..so anayejua destination ya maisha ya kuku wale ni mfugaji pekee ambaye kuku hawawezi kumuona ..

Hayo ndo maisha halisi tunayoyaishi..dunia yetu ina majani na mimea na kila aina ya chakula ili kuweza kukufanya wew uendelee kusurvive while contuing being controlled mindly and all other aspect of you life but you can not escape the dome..

IMG_0828.jpg

The human eye can only see visible light, but light comes in many other "colors"—radio, infrared, ultraviolet, X-ray, and gamma-ray—that are invisible to the naked eye.
human eyes can not see and tell us the real life behind us which controls our fate kwa sababu macho yanaona visible light ambayo ni 3% tu means 97% ni invisible light ...manake nini chochote unachokiona ni 3 percent ya all components za mwanga hence vingi huwez viona so kumuona anayekucontrol ni ngumu sana kwa sababu umepewa limit ya kung'amua mambo..kuna mengi hatuyajui na ni ngumu sana kuyaelewa ..

Kwa hiyo binafsi naamini we are nothing rather than the chosen species to exist in this super conducted life support experimental project ..

..
 
Kiimani tunaishi kutimiza maandiko na kifo ni siri ya Nguvu kuu yenye mamlaka yote na hatima ya mwanadamu. Kifo ni mtaala wa Utiifu wa mwanadamu kwa Nguvu Kuu.

Kibiolojia tunaishi kwa sbb tumezaliwa na tuna viungo kazi vinavyotuwezesha kuishi, kiutendaji na kiufahamu. Hapa hatuna tofauti na Ng'ombe, Mende wala Kuku kama viumbe hai ila tumetofautiana tu kwenye maumbile, utashi na mamlaka. Kifo ni zao la hitilafu katika mfumo wa upumuaji na ukifa unaoza, unatengeneza mbolea au kemikali.

Kwa nini tunazaliwa? Kuna nadharia nyingi zinazo jibu swali hilo.
..mbolea au kemikali inarutubisha udongo tunapanda mazao tunakula tunaendelea na maisha tukisubiria zamu yetu ya kufa na kuwa mbolea kwa wengine!!
 
Tunazaliwa, tunakua tunazeeka tunakufa!

Lengo la sie kuwa hapa duniani ni nini?

Kwa nini tuko hapa na tumetokea wapi, kwanini tunaishi hapa??

Kwa nini tunazaa watoto?

Tunawazaa Waje wafanye nini hapa wakati mwisho wao nikufa??

Siku zote tunaangaika na maisha kupata fedha ili kupata chakula cha asubui mchana na jioni, then tuna lala tunaamka tunaendela kutafuta fedha kwa ajili ya chakula cha asubui mchana na jioni tuna lala tena, siku zinakwenda tunazeeka tuna kufa, mzunguko unaendelea nini maaana yake???

Kuna haja ya kuzaa mtoto ili aje kupitia mzungukuko huu wa maisha?

Yaani kuamka asubui kwenda kutafuta, kula, kulala na kusubiri kufa??

NINI MAANA YA MAISHA, KWA NINI TUNAISHI?

Tunafanyaa meeengi, yote ni kama kujisahaulisha hitimisho letu (kifo)!!

Utajenga jumba kubwa kuliko yoote, utafanikiwa kupita binadamu wooooote duniani, utakuwa na pesa nyiiiingi sana mpaka hujui cha kuzifanyia lakini unakufa, sasa kwanini tunaishi hapa duniani??? Kulikua na ulazima gani wasie kuwepo hapa duniani kama tunakufa?

JeTunaishi ili tufe???

Nini maana ya maisha???View attachment 1575137
Sio lazima kuwa na mtoto kwani yesu alikuwa na mtoto?

Tunaishi hapa Duniani ili kujifunza yaani hapa Duniani tupo shuleni alafu tukifa tunarudi nyumbani.
 
Tunazaliwa, tunakua tunazeeka tunakufa!

Lengo la sie kuwa hapa duniani ni nini?

Kwa nini tuko hapa na tumetokea wapi, kwanini tunaishi hapa??

Kwa nini tunazaa watoto?

Tunawazaa Waje wafanye nini hapa wakati mwisho wao nikufa??

Siku zote tunaangaika na maisha kupata fedha ili kupata chakula cha asubui mchana na jioni, then tuna lala tunaamka tunaendela kutafuta fedha kwa ajili ya chakula cha asubui mchana na jioni tuna lala tena, siku zinakwenda tunazeeka tuna kufa, mzunguko unaendelea nini maaana yake???

Kuna haja ya kuzaa mtoto ili aje kupitia mzungukuko huu wa maisha?

Yaani kuamka asubui kwenda kutafuta, kula, kulala na kusubiri kufa??

NINI MAANA YA MAISHA, KWA NINI TUNAISHI?

Tunafanyaa meeengi, yote ni kama kujisahaulisha hitimisho letu (kifo)!!

Utajenga jumba kubwa kuliko yoote, utafanikiwa kupita binadamu wooooote duniani, utakuwa na pesa nyiiiingi sana mpaka hujui cha kuzifanyia lakini unakufa, sasa kwanini tunaishi hapa duniani??? Kulikua na ulazima gani wasie kuwepo hapa duniani kama tunakufa?

JeTunaishi ili tufe???

Nini maana ya maisha???View attachment 1575137
Tumetokea wapi? Hili swali pana sana unataka kujua kiroho au kisayansi?

Kwanini tunatafuta pesa? Huu ni mfumo wa Dunia hata hivyo zamani kulikuwa hakuna pesa. Pesa zimewekwa na watu wachache wenye hila.
 
Ni ngumu kupata jibu sahihi kwa swali ulilouliza lakini kila mtu anamtazamo wake . Lengo la maisha kwa mtazamo wa imani ya Rosicrucianism wanaamini ya kwamba maisha yetu ni manifestation ya uhalisia ni ngumu kuelezea lakini ni kama “god exists inside a person” ambapo kwa imani yao hakuna good or evil ni experiences za mungu ndani ya binadamu. Wanaamini malengo ya mwanadamu yamegawanywa katika fungu la miaka 7 kila mtu hapa duniani huwa anabadilika kila akitimiza miaka 7. Mfano mtoto akifikisha miaka saba anaanza shule halali tena na wazazi wake amesha anza kujua zuri na baya. Miaka 7 mingine ikiwadia mtoto anakuwa anabalehe na hayo ni mabadiliko mengine makubwa. Wanaesabu miaka mingine 7 ya mitihani ya kukuandalia future hapo ndo utundu tabia za ajabu kwa watoto wakike au wakiume na mitihani ya kufikia lengo la maisha ndo inaanzia hapo ndo mana mtoto wa miaka 14 kwenda mbele hadi 21 ni kipindi kigumu “ sweet sixteen “ ndo mtu anapotengenneza life yake au kuharibu na ndipo gap la maisha na marafiki linapoanza kupotea mf wewe umefeli wenzako wamefaulu bording school mnatengana kila mtu anapata marafiki wapya nk. Kwaiyo awa watu scientifically wamegawanya vipindi vya maisha ya binadamu na matukio muhimu ambayo binadamu wa kaida anakuwa considered successful hayo ndo malengo ya kuishi kuwa successful ... hiyo miaka 7 saba ni topic ndefu sana na ina vitu vyake ambavyo mtu akivipitia katimiza lengo na anapata maksi kama vile darasani unavyo faulu ndo mna hata riziki ni mafungu 7 naomba nishie hapa. Hope umeelewa kitu.
 
Dah mi mwenyewe huwaga nachoka hapo tu,nahangaika ili nipate kitu cha kula leo na kuweka akiba ya kesho na ukisema ukae tu bila kuls chochote unakufa njaa!sasa sijui lengo letu hapa duniani ni kula tu?maana yote wanayosema ndio lengo la kuletwa duniani ukiyaacha kuyafanya haufi sasa acha kula kama week nenda kasali uone.
 
Tumetokea wapi? Hili swali pana sana unataka kujua kiroho au kisayansi?

Kwanini tunatafuta pesa? Huu ni mfumo wa Dunia hata hivyo zamani kulikuwa hakuna pesa. Pesa zimewekwa na watu wachache wenye hila.
Kiumbe akiwa tumboni akifikisha miezi minne ndo roho inamuingia ndo anaanza kucheza chini ya hapo anakua kama nyama tu sasa swali ni kwamba ile roho kabla ya miezi minne ya kuingia tumboni mwa mama inakua wapi???
 
we are one another
 
Kuna kitu watu huwa hawawezi elewa kwa sababu they cant think outside the box..

Wea re living in a simulated world( universe) ..
Ni somo pana sana hili kiasi kwamba ukimweleza mtu hawezi kukuelewa na zaidi utaishia kuzinguana nae kwa sababu atakuona unapotoka sijui umemdharau muumba aliyekuumba but reality kabisa we are living in a simulated controlled manner of life..

Amini usiamini something super intelligent being is controlling your(my) life..

We human being and other seenable species are just existing kwa sababu ya experimental issues..

kuna kundi la viumbe somewhere wametengeneza viumbe sisi kwa sababu ya majaribio yao binafsi and probably cross link superhybrid ya genetics zao...

Ukikaa na kufikiria kwa makini lengo la wewe au mimi kuwepo hapa duniani physically ni utopolo kabisa yani unazaliwa unasoma unakuwa unaoa na kuwa na familia yako kisha unazeeka unakufa then unajiuliza lengo la kupitia hizo changamoto zote ni nini sasa ...

Hakuna thamani yoyote hapa duniani zaidi ya kupitia intensity ya maumivu katika kusurvive kwa sababu tunassma "surviving is costful".

Kaaa chini mwenyewe jifungie ndani halafu uwaze bila kumhusicha mtu yoyote kwanini upo hapa utagundua kuwa the world was artificially created for making habitation ya sisi ambao ni experimental organisms kwa ajili ya maisha ya watu( beings of somewhere).

You must believe in any ways kuwa The world is just an eco systeme artificially created enveronment kwa ajili ya kusupport maisha ya hawa viumbe ambao walikuja kumwagwa hapa ili kuenddelea kuchunguzwa..

.........ni kama vile uchimbe bwawa kubwa kisha uje umwage mayai ya samaki kutoka china halafu uanze kumonitor jinsi samaki hao wanavyokuwa na kuzaliana huku lengo unakuwa unaangalia jinsi unavyoweza kuwafanyia hydridization changes katika mfumo wao mzima wa kijenetiki zaidi ili upate the desirable species kwa experiments zako ..

we are living in an eco systemed simulated world ambyo imewekewa mazingira yote ya kusurvive and no body can escape the dome..
View attachment 1586802
Amini usiamini we are nothing rather than experimental part of beings controlled by other species of which you can call in whatever names but belive kuwa hilo kundi lipo..

Chukulia mfano unafuga kuku za kizungu ambazo umewafungia ndani ya jumba kwa kuwapa mwanga wa taa ambazo zinawaka zenyewe giza likiingia na kujizima jua likichomoza(self controlling) , umewekea maji ya bomba ambayo hutiririka baada ya masaa kadhaa ,halafu wanakula mchele wa kudonoa ambao umeuweka kwenye vikontena humo humo ndani ila kuku hao wanatakiwa kujiongeza namna ya kufunua hayo makontena ya mchele,,means kuku anayegundua kuwa humu humu ndani kuna mchele ndo anayesurvive kwa muda mrefu zaidi ila hatajua ni nani ni supplier wa chakula kile kwani stock ni kubwa na ilikuwepo kabla hata hawajatotolewa..so anayejua destination ya maisha ya kuku wale ni mfugaji pekee ambaye kuku hawawezi kumuona ..

Hayo ndo maisha halisi tunayoyaishi..dunia yetu ina majani na mimea na kila aina ya chakula ili kuweza kukufanya wew uendelee kusurvive while contuing being controlled mindly and all other aspect of you life but you can not escape the dome..

View attachment 1586812
The human eye can only see visible light, but light comes in many other "colors"—radio, infrared, ultraviolet, X-ray, and gamma-ray—that are invisible to the naked eye.
human eyes can not see and tell us the real life behind us which controls our fate kwa sababu macho yanaona visible light ambayo ni 3% tu means 97% ni invisible light ...manake nini chochote unachokiona ni 3 percent ya all components za mwanga hence vingi huwez viona so kumuona anayekucontrol ni ngumu sana kwa sababu umepewa limit ya kung'amua mambo..kuna mengi hatuyajui na ni ngumu sana kuyaelewa ..

Kwa hiyo binafsi naamini we are nothing rather than the chosen species to exist in this super conducted life support experimental project ..

..
eeeh kuna yule mjusi alie kamatwaga yule akato toa maelezo ivi ni kwel au fiksi coz tangu nisome zile tablet nilianguka kiroho sanaa
 
pia ina maana izo sayari tunazo zisikia zimo ndani ya dom sio?
 
pia ulicho andika apo unaweza kurelate :uchawi"mwanzo au vip uchawi upo na kwann upo ndani ya game?
 
Back
Top Bottom