Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

Acheni propaganda uchwara hakuna mtu aliyeumbwa na kiumbe anaitwa Mungu ,watu walikuwepo na kutokea
Kwa mfumo wa nature na waliishi kama primitive wakuitwa Zamadam hapa East Afrika hasa maeneo ya Oldupai gorge baadae Sana wakaja viumbe kutoka galaxies za juu wakuitwa Annunaki wakashukia kush wakamwongezea DNA primitive akawa homo sapiens Sapiens na akatumika kama man power wa kusaidia uchimbaji dhahabu na ndio kush dhahabu ya kwanza inagunduliwa na baadae Annunaki wanaamua kuchukua DNA zao wakichanganya na zetu maabara wakamproject Caucasians ambaye ni mzungu na jamii zake ,ndio ustaarabu wa kwanza watu na binadamu unaanzia hapo zinazaliwa civilization za kale kama Sumerians Assyrian Babylon Egyptian Kush Aztec Maya Peru Indus valley nk
Tulikwepo duniani Kwa kazi Moja TU kuchimba dhahabu na baada ya project kuisha Annunaki wakarudi kwao na kutuacha tukitanga Tanga TU bila mchunga ndio hapo nadharia za miungu zinazaliwa binadamu na watu kuabudu viumbe kutoka Juu wakitengeneza Hadith na mapokeo ya kwamba ipo siku watarudi wale miungu walio wafanyia project
Wazungu wanaujua ukweli huo na ndio maana huoni wakihangaika na mambo mengine Zaidi ya kujiimarisha na wao wasepe Sayari za mbali huko kama walivyosepa Annunaki hawafanyi vitu Kwa bahati mbaya
Mwenye kuelewa na aelewe na mwenye masikio na asikie na atie akili huu sio wakati wa kuendelea kua watumwa wa fikra amkeni tumechelewa Sana!
Umechanganyikiwa
 
Thibitisha kuchanganyikiwa kwangu Arif!
Simu unayotumia inamuundaji wake, haikutoka kwenye space,
"nothing comes from nothing"
unasema wanadamu walikua kama zamadamu, (japokua siamini) unafikiri walitoka wapi??.

Actually Ina hitaji Imani kubwa sana kuamini kuwa binadamu alipatikana baada ya kufanyiwa cloning na aliens, KULIKO kuamini binadamu aliumbwa na Mungu.
 
wewe unadai Kila kitu kinatokana na kitu au Sio mfano huamini ulimwengu wetu haujatokana na kitu ila ni Mungu kauumba Haya turudi kwenye hoja yetu ya msingi
Huyo Mungu aliumbwa ulimwengu aliumbwa na nani?
Maana Kila Nguvu na Kila kitu kina chanzo hapa tujadili ishu ya chanzo Cha Mungu na Nguvu zake kwanza!
 
....hongera dada ndo mwanzo wa kujitambua uko...

Na ukishajua hilo utajiona tofauti sna...

Binadamu huwa tunajitoa ufahamu Sana kuhusu lengo letu la kuishi apa duniani, kuna watu hawataki ata kusikia hii mada sio tu kusoma....ipo sababu ya wao kufanya hvyo....

Lipo kundi la watu linafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha linawapumbaza wanadamu wasijue lengo la uwepo wao apa dunia....na lipo kundi la watu linapambana kutaka watu wajitambue lengo la kuumbwa kwao japo hili kundi lapigwa vita Sana.

Kwaufupi lengo kuu la kuumbwa wanadamu na majini ni kumuabudu mola wao...na neno kumuabudu ni kumpwekesha yeye (kumtukuza na kumtegemea yeye) ktk kila kitu...

Dunia ni mapito....dunia ni njia...dunia ni kituo
Mwanadamu tunapitia vituo mbalimbali kila kituo kinaradha yake na machungu yake ila kituo cha mwsho inategemea na jinsi ulivyoishi kituo cha duniani...

Kituo 1:- maji yenye kuchupa (manii)
Kituo 2:-. Ndani ya matumbo ya mama zetu
Kituo 3:-. Duniani
Kituo 4:- Kaburini
Kituo 5:- Peponi au motoni inategemea na matendo yako ya duniani na huruma ya Muumba wako.

Maisha ya duniani ndo maisha ambayo yamebeba siri kubwa sana na hatma ya mwanadamu....na apa ndo tumepewa ule uwezo wa nguvu za kujicontrol....Ila baada na kabla ya apo ni out of our control ni amri tu ya Muumba wetu...

Mtu akifa hazikwi na yale aliyoyachuma isipokuwa matendo yake tuu...
Una uhakika na unachokisema au naww unaelezea..ulichifundishwa na dini za kuletewa na wakoloni na wamissionari ..ili kutaka kututawala?????????
 
Wapi hujaelewa hapo? Mbona jamaa kaeleza kwa lugha rahisi inaeleweka hata kwa mtoto? Hebu rudia tena kusoma utamuelewa vzr....usiwe Kama aliosema jamaa hapo juu kwamba Kuna baadhi hamtaki kusikia habari hz ila ukweli ndiyo ndiyo huo,Yan hapa duniani ndo mahali pekee panapo determine mustakabali wa maisha yako yanayofuata baada ya kufumba jicho.Pamoja na kuwepo na makundi yanayokusahaulisha khs maisha yajayo ila tufahamu tu kwamba hapa tunapita na utakutana na aliyekuleta hapa duniani bila wewe kupanga kwa hiari yako na atakuonyesha yote uliyoyafanya hapa kituo namba 3 Kisha atakuweka mahali unapostahiki kwa mujibu ya uliyoyatenda hapa Duniani.Nikupe sana hongera dadangu kwa kuwaza vzr,wengi tunawaza hivi lkn hatuutaki ukweli tunapotezea japo Hakuna namna nyingine ya sisi kufuata hii kanuni.Uwe mwanasiasa,uwe mcheza mpira,mwanamuziki,mfanyabiashara,uwe jambazi,kahaba ,teja,uwe sheikh,mchungaji, doctor....Yan ishi utakavyoishi ila ukae ukijua kwamba aliyetuumba amekuwekea viumbe maalum usiowaona wanarecord Kila unachokifanya hata kiwe kidogo kama mchanga na report Kila mtu atapewa siku ya Mwisho au siku ya kiama siku ambaya Kila mtu ataambiwa alichokifanya akiwa hapa Duniani.Ili uwe salama Ni lazima uishi kwa taratibu alizoziweka Mungu Muumbaji,usiishi unavyotaka wewe utaishia pabaya na hutapata nafasi nyingine ya kusawazisha.Nafasi ya kusawazisha ipo hapa hapa duniani kabla hujaaga Dunia.
Wewe hapa una uhakika gani na ushahidi gani wa hiki unachokisema..???? Usinambie kuwa umetoa katika machapisho ulioletewa na wamsionari na wafanyabiashara wa kiarabu ili kukutawala...je umewahi kwenda kuona kama kuna after life.....na je una uhakika gani kama kuna kuhukumiwa au kutokuhukumiwa huko mbele?????
 
Hapa inahitaji kufungua mlango ili kupata maana. Mada nzuri hii..

Ukikaa katika utiisho wa usawa kati ya nafsi, roho na mwili utaweza kufumbua fumbo hili. Fanyia kazi hiyo kupata rhythm of equilibrium ya hivyo vitu vitatu. Hakika utayaona maisha katika upande tofauti kabisa.
Fact
 
wewe unadai Kila kitu kinatokana na kitu au Sio mfano huamini ulimwengu wetu haujatokana na kitu ila ni Mungu kauumba Haya turudi kwenye hoja yetu ya msingi
Huyo Mungu aliumbwa ulimwengu aliumbwa na nani?
Maana Kila Nguvu na Kila kitu kina chanzo hapa tujadili ishu ya chanzo Cha Mungu na Nguvu zake kwanza!
Naomba ushahidi wa kitabu cha unayoyasema na unambie kimetokea jamii gani na kimeandikwa na nani...ila asiwe binadamu....?
 
Ila kweli hili swali ni zuri sana pia linatafakarisha sana mimi naona bora hata ingekuwa hakuna ukomo wa maisha (kifo)
Lkn pia kama lengo ni kumwabudu MUNGU kwann tupitie hatua nyingi kiasi cha kushindwa kutimiza lengo? Mimi nadhani Mungu angetuumba maalum tu kwa ajili ya kumwabudu tu hakuna kufanya kazi hakuna kulala hakuna kufikiri kingine chochote yaani ni kuabudu tu...
 
Yeye (Mwenyezi Mungu) aliyekupa huo uhai anaweza akauchukua muda wowote, na hilo unapaswa kulitambua mapema ili kumcha huyo aliyekupa uhai na umtii kwa sheria zake. Hiyo ndiyo sababu tupo duniani.

Maandiko yanatuambia "ni mpumbavu tu anaweza kusema hakuna Mungu"
 
....

....Ume argue kitoto sana ina maana hujui wanaoishi magereza wanaishi mule kwa shinikizo na ulinzi mkali? ww unashinikizwa na nani kuishi? nani anakulinda usife? mbona milango ya kujiua iko wazi? Una kwama wapi kujiua ili kusudi uachane na haya maisha unayosema hayana maana?...
Kujiua ingekuwa rahisi hivyo watu wengi sana wangekuwa wameshajiua
 
Ila kweli hili swali ni zuri sana pia linatafakarisha sana mimi naona bora hata ingekuwa hakuna ukomo wa maisha (kifo)
Lkn pia kama lengo ni kumwabudu MUNGU kwann tupitie hatua nyingi kiasi cha kushindwa kutimiza lengo? Mimi nadhani Mungu angetuumba maalum tu kwa ajili ya kumwabudu tu hakuna kufanya kazi hakuna kulala hakuna kufikiri kingine chochote yaani ni kuabudu tu...
Wewe ni dini gani ndugu?
 
Here is a purpose of life
(lengo la maisha ni hili apa)
Mungu wakati anaumba dunia lengo lake kubwa kwa wanadamu ni ili wamwabudu na waitawale dunia (milele) pasipo kufa ,pasipo, kuugua , pasipo mahangaiko, yeye akiwa kiongozi mkuu. Hilo ndiyo lengo kuu la maisha kwamba kuishi na kutawala kila kitu dunia kwa umilele bila kufa wala kuzeeka.
lakini wan Jf nafkili kila mtu anajua nini kilitokea pale (eden garden) bustani ya eden tulichagua satan over God ( mwenye enzi kuu yehoha) hivyo mungu kaacha tuishi chini ya mtawala tulie mchagua
(Swali tulimchaguaje)
tulimchagua pale alipotoa shutuma za uongo zidi ya mwenye enzi kuu (yehova) tukakubari na wazee wetu wakala lile tunda
Shetan alidai kwamba mungu hataki mle lile tunda sababu mkila mtakua kama yeye ni si kwmba mtakufa (Mwanzo sura ya 3 mtari wa 4-6 ..
kinachotokea leo tunaishi kipindi ambacho inabidi tusibishe madai ya shetanikwa mungu ambae alionya tungekufa ndyo mana leo tunakufa tunazeeka na tunahangaika kwajili ya maisha ya kila siku.
swali ni je lengo la mungu ndyo halipo tena au kuna tumaini lolote??? Itaendelea
 
Tunazaliwa, tunakua tunazeeka tunakufa!

Lengo la sie kuwa hapa duniani ni nini?

Kwa nini tuko hapa na tumetokea wapi, kwanini tunaishi hapa??

Kwa nini tunazaa watoto?

Tunawazaa Waje wafanye nini hapa wakati mwisho wao nikufa??

Siku zote tunaangaika na maisha kupata fedha ili kupata chakula cha asubui mchana na jioni, then tuna lala tunaamka tunaendela kutafuta fedha kwa ajili ya chakula cha asubui mchana na jioni tuna lala tena, siku zinakwenda tunazeeka tuna kufa, mzunguko unaendelea nini maaana yake???

Kuna haja ya kuzaa mtoto ili aje kupitia mzungukuko huu wa maisha?

Yaani kuamka asubui kwenda kutafuta, kula, kulala na kusubiri kufa??

NINI MAANA YA MAISHA, KWA NINI TUNAISHI?

Tunafanyaa meeengi, yote ni kama kujisahaulisha hitimisho letu (kifo)!!

Utajenga jumba kubwa kuliko yoote, utafanikiwa kupita binadamu wooooote duniani, utakuwa na pesa nyiiiingi sana mpaka hujui cha kuzifanyia lakini unakufa, sasa kwanini tunaishi hapa duniani??? Kulikua na ulazima gani wasie kuwepo hapa duniani kama tunakufa?

JeTunaishi ili tufe???

Nini maana ya maisha??nad

Nini maana ya maisha???View attachment 1575137
Hatuko duniani kama ajali, kuna dhumuni lake, mtafute Mungu Kwa Imani.
 
Back
Top Bottom