Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

yoga

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
2,004
Reaction score
10,397
Tunazaliwa, tunakua tunazeeka tunakufa!

Lengo la sie kuwa hapa duniani ni nini?

Kwa nini tuko hapa na tumetokea wapi, kwanini tunaishi hapa??

Kwa nini tunazaa watoto?

Tunawazaa Waje wafanye nini hapa wakati mwisho wao nikufa??

Siku zote tunaangaika na maisha kupata fedha ili kupata chakula cha asubui mchana na jioni, then tuna lala tunaamka tunaendela kutafuta fedha kwa ajili ya chakula cha asubui mchana na jioni tuna lala tena, siku zinakwenda tunazeeka tuna kufa, mzunguko unaendelea nini maaana yake???

Kuna haja ya kuzaa mtoto ili aje kupitia mzungukuko huu wa maisha?

Yaani kuamka asubui kwenda kutafuta, kula, kulala na kusubiri kufa??

NINI MAANA YA MAISHA, KWA NINI TUNAISHI?

Tunafanyaa meeengi, yote ni kama kujisahaulisha hitimisho letu (kifo)!!

Utajenga jumba kubwa kuliko yoote, utafanikiwa kupita binadamu wooooote duniani, utakuwa na pesa nyiiiingi sana mpaka hujui cha kuzifanyia lakini unakufa, sasa kwanini tunaishi hapa duniani??? Kulikua na ulazima gani wasie kuwepo hapa duniani kama tunakufa?

JeTunaishi ili tufe???

Nini maana ya maisha???
IMG_20200920_133400.jpeg
 
Nitakujibu kwa uelewa wangu tu maana ya maisha ila hayo mengine nami ni kiu yangu kuyajua na siyajui!..

Maisha ni uhai.
Hakuna uhai,hakuna maisha..

Vitabu vya dini vimejaribu kudadavua juu ya sababu za kuishi lkn ni Kama vile hazina mashiko!..
Sayansi ndo haijui!

Hata vyanzo vya maisha imekuwa na mapendekezo bado haijapata jibu la moja kwa moja.. wengi wao wamekuwa wakiilaumu sayansi lkn sayansi bado haijua..

Mapendekezo yangu juu ya swali kwanini tunaishi..? Sijui kwanini lkn huenda pia tukawa tunauliza swali lisilo sahihi!.. kwenye ulimwengu Kuna laws nyingi na nyengine bado hatujazijua.. ili tufahamu kwanini basi ingekuwa vyema tukajua chanzo chetu..

Sasa Kama vyanzo vilivyopo watu wanaona havitoi majibu mpk wanakuja na maswali yaleyale ya kwanini tunaishi Basi ninawalakini juu ya vyanzo husika!.. kwangu bado naiamini sayansi ndio itakayokuja na majibu japo naona ugumu maana sidhani ni jibu la Leo!!..

Huenda ulimwenguni hakuna law ya kwanini!!! Na sisi tunauliza kwanini..!! Hili ni ono langu tu..

Ukweli mchungu ni huu vyanzo vingi vilivyo leta majibu ya kwanini tunaishi bado inaonekana Kuna walakini mkubwa Sana hivyo mpk leo hatujajua chanzo chenye jibu kwanini tunaishi na chanzo hicho kikajibu kwa asilimia Mia.!!
 
Tunazaliwa, tunakua tunazeeka tunakufa!

Lengo la sie kuwa hapa duniani ni nini?

Kwa nini tuko hapa na tumetokea wapi, kwanini tunaishi hapa??

Kwa nini tunazaa watoto?

Tunawazaa Waje wafanye nini hapa wakati mwisho wao nikufa??

Siku zote tunaangaika na maisha kupata fedha ili kupata chakula cha asubui mchana na jioni, then tuna lala tunaamka tunaendela kutafuta fedha kwa ajili ya chakula cha asubui mchana na jioni tuna lala tena, siku zinakwenda tunazeeka tuna kufa, mzunguko unaendelea nini maaana yake???

Kuna haja ya kuzaa mtoto ili aje kupitia mzungukuko huu wa maisha?

Yaani kuamka asubui kwenda kutafuta, kula, kulala na kusubiri kufa??

NINI MAANA YA MAISHA, KWA NINI TUNAISHI?

Tunafanyaa meeengi, yote ni kama kujisahaulisha hitimisho letu (kifo)!!

Utajenga jumba kubwa kuliko yoote, utafanikiwa kupita binadamu wooooote duniani, utakuwa na pesa nyiiiingi sana mpaka hujui cha kuzifanyia lakini unakufa, sasa kwanini tunaishi hapa duniani??? Kulikua na ulazima gani wasie kuwepo hapa duniani kama tunakufa?

JeTunaishi ili tufe???

Nini maana ya maisha???View attachment 1575137
Habari yako dada.

Samahani kabla sijakujibu swali lako, ninaomba na mimi kukuuliza swali moja tu.

Je, kuna magumu unayoyapitia katika maisha yako kwa sasa na umekata tamaa ya kuendelea kuishi?

Kulingana na nilivyousoma huu uzi wako inaelekea unatafuta sababu ya kutaka kutoa uhai wako ndio maana unazungumzia sana habari za kifo.

Please don't ever try that, kama una mawazo hayo. Tunaweza kupeana ushauri if possible.
 
Tunaishi kwa kiki
 
....hongera dada ndo mwanzo wa kujitambua uko...

Na ukishajua hilo utajiona tofauti sna...

Binadamu huwa tunajitoa ufahamu Sana kuhusu lengo letu la kuishi apa duniani, kuna watu hawataki ata kusikia hii mada sio tu kusoma....ipo sababu ya wao kufanya hvyo....

Lipo kundi la watu linafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha linawapumbaza wanadamu wasijue lengo la uwepo wao apa dunia....na lipo kundi la watu linapambana kutaka watu wajitambue lengo la kuumbwa kwao japo hili kundi lapigwa vita Sana.

Kwaufupi lengo kuu la kuumbwa wanadamu na majini ni kumuabudu mola wao...na neno kumuabudu ni kumpwekesha yeye (kumtukuza na kumtegemea yeye) ktk kila kitu...

Dunia ni mapito....dunia ni njia...dunia ni kituo
Mwanadamu tunapitia vituo mbalimbali kila kituo kinaradha yake na machungu yake ila kituo cha mwsho inategemea na jinsi ulivyoishi kituo cha duniani...

Kituo 1:- maji yenye kuchupa (manii)
Kituo 2:-. Ndani ya matumbo ya mama zetu
Kituo 3:-. Duniani
Kituo 4:- Kaburini
Kituo 5:- Peponi au motoni inategemea na matendo yako ya duniani na huruma ya Muumba wako.

Maisha ya duniani ndo maisha ambayo yamebeba siri kubwa sana na hatma ya mwanadamu....na apa ndo tumepewa ule uwezo wa nguvu za kujicontrol....Ila baada na kabla ya apo ni out of our control ni amri tu ya Muumba wetu...

Mtu akifa hazikwi na yale aliyoyachuma isipokuwa matendo yake tuu...
 
Habari yako dada.

Samahani kabla sijakujibu swali lako, ninaomba na mimi kukuuliza swali moja tu.

Je, kuna magumu unayoyapitia katika maisha yako kwa sasa na umekata tamaa ya kuendelea kuishi?

Kulingana na nilivyousoma huu uzi wako inaelekea unatafuta sababu ya kutaka kutoa uhai wako ndio maana unazungumzia sana habari za kifo.

Please don't ever try that, kama una mawazo hayo.
Nooo, walaaaa, usinwazie ivo. am okey kabisaa, nlikua natafakari tu, nkaona nishare na members wenzangy tutafakari pamoja am okey kabisa and very fineeeee!! Dont wory dear
 
....hongera dada ndo mwanzo wa kujitambua uko...

Na ukishajua hilo utajiona tofauti sna...

Binadamu huwa tunajitoa ufahamu Sana kuhusu lengo letu la kuishi apa duniani, kuna watu hawataki ata kusikia hii mada sio tu kusoma....ipo sababu ya wao kufanya hvyo....

Lipo kundi la watu linafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha linawapumbaza wanadamu wasijue lengo la uwepo wao apa dunia....na lipo kundi la watu linapambana kutaka watu wajitambue lengo la kuumbwa kwao japo hili kundi lapigwa vita Sana.

Kwaufupi lengo kuu la kuumbwa wanadamu na majini ni kumuabudu mola wao...na neno kumuabudu ni kumpwekesha yeye (kumtukuza na kumtegemea yeye) ktk kila kitu...

Dunia ni mapito....dunia ni njia...dunia ni kituo
Mwanadamu tunapitia vituo mbalimbali kila kituo kinaradha yake na machungu yake ila kituo cha mwsho inategemea na jinsi ulivyoishi kituo cha duniani...

Kituo 1:- maji yenye kuchupa (manii)
Kituo 2:-. Ndani ya matumbo ya mama zetu
Kituo 3:-. Duniani
Kituo 4:- Kaburini
Kituo 5:- Peponi au motoni inategemea na matendo yako ya duniani na huruma ya Muumba wako.

Maisha ya duniani ndo maisha ambayo yamebeba siri kubwa sana na hatma ya mwanadamu....na apa ndo tumepewa ule uwezo wa nguvu za kujicontrol....Ila baada na kabla ya apo ni out of our control ni amri tu ya Muumba wetu...

Mtu akifa hazikwi na yale aliyoyachuma isipokuwa matendo yake tuu...
Hujajibu swali
 
Dah mi mwenyewe huwaga nachoka hapo tu,nahangaika ili nipate kitu cha kula leo na kuweka akiba ya kesho na ukisema ukae tu bila kuls chochote unakufa njaa!sasa sijui lengo letu hapa duniani ni kula tu?maana yote wanayosema ndio lengo la kuletwa duniani ukiyaacha kuyafanya haufi sasa acha kula kama week nenda kasali uone.
 
....
Hata gerezani walioko humo wanapaona hapana maana lakini bado wangali wakiishi humo.
Binafsi kama kungekuwa na option ya kuchagua kati ya kuzaliwa na kutokuzaliwa ni ngechagua kutokuzaliwa
....Ume argue kitoto sana ina maana hujui wanaoishi magereza wanaishi mule kwa shinikizo na ulinzi mkali? ww unashinikizwa na nani kuishi? nani anakulinda usife? mbona milango ya kujiua iko wazi? Una kwama wapi kujiua ili kusudi uachane na haya maisha unayosema hayana maana?...
 
Wewe ndio umeargue kitoto sababu hata magereza watu wakitaka wanaweza kujiua lakini hawafanyi hivyo.
Swala la shinikizo sio magerezani tu bali wanadamu wote tupo hapa duniani kwa shinikizo!
 
Back
Top Bottom