Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

Inawezekana dini nyingi zimeshindwa kujibu maswali mengi ya msingi, huwezi na kamwe hutokujakukuta muislam anauliza swali la Aina hii..Kama huamini take a time uisome Qur aan then uje na mrejesho hapa...
 
Tunazaliwa, tunakua tunazeeka tunakufa!

Lengo la sie kuwa hapa duniani ni nini?

Kwa nini tuko hapa na tumetokea wapi, kwanini tunaishi hapa??

Kwa nini tunazaa watoto?

Tunawazaa Waje wafanye nini hapa wakati mwisho wao nikufa??

Siku zote tunaangaika na maisha kupata fedha ili kupata chakula cha asubui mchana na jioni, then tuna lala tunaamka tunaendela kutafuta fedha kwa ajili ya chakula cha asubui mchana na jioni tuna lala tena, siku zinakwenda tunazeeka tuna kufa, mzunguko unaendelea nini maaana yake???

Kuna haja ya kuzaa mtoto ili aje kupitia mzungukuko huu wa maisha?

Yaani kuamka asubui kwenda kutafuta, kula, kulala na kusubiri kufa??

NINI MAANA YA MAISHA, KWA NINI TUNAISHI?

Tunafanyaa meeengi, yote ni kama kujisahaulisha hitimisho letu (kifo)!!

Utajenga jumba kubwa kuliko yoote, utafanikiwa kupita binadamu wooooote duniani, utakuwa na pesa nyiiiingi sana mpaka hujui cha kuzifanyia lakini unakufa, sasa kwanini tunaishi hapa duniani??? Kulikua na ulazima gani wasie kuwepo hapa duniani kama tunakufa?

JeTunaishi ili tufe???

Nini maana ya maisha???View attachment 1575137
kuna watu watakuja hapa na nadharia zao oooh ili tumsifu nani na nan sjui huko!!
 
Lengo ni uhalisia, uhalisia haukwepi aidha kwa kuujua au kutoujua.

Sababu halikuwahi kutokuwepo yaani lipo. Kwahiyo swali la kuuliza kwanini lazima kuwepo lengo, ni swali batili.

Lengo maji kutiririka toka milimani kwanza yana tii shuruti na kuhudumia vilivyomo baharini.

Swali la kutiririka toka juu, ni swali batili, sababu tamko "Kutiririka" ni maalumu kwa kutiririka chini na si juu, yaani juu na kutiririka havikai pamoja vikaleta maana. Haulizi swali la namna hili isipokuwa yule aisye jua mipaka ya maji, kutiririka na juu.

Ahsante.
Mufti hivi ni lini utabadilika.?
 
Hata gerezani walioko humo wanapaona hapana maana lakini bado wangali wakiishi humo.
Binafsi kama kungekuwa na option ya kuchagua kati ya kuzaliwa na kutokuzaliwa ni ngechagua kutokuzaliwa
naungana na ww!!! haiwezekan nizaliwe bila ridhaa yangu afu nije niambiwe ohhh sjui ukifa kuna jehanam ya moto??? what for???kwa nn skuulizwa kama nko tayar kuzaliwa au lah!!!
 
....

....Ume argue kitoto sana ina maana hujui wanaoishi magereza wanaishi mule kwa shinikizo na ulinzi mkali? ww unashinikizwa na nani kuishi? nani anakulinda usife? mbona milango ya kujiua iko wazi? Una kwama wapi kujiua ili kusudi uachane na haya maisha unayosema hayana maana?...
umeelewa hiyo comment yake au umekurupuka
 
Kuna thread moja nilijaribu kuelezea mawazo yangu juu ya hiki kitu sema mods wakaitumbukiza kwenye jukwaa la dini huko.

Ila kwa mimi naamini kuwa; tupo duniani si kwa mapenzi yetu. Sisi ni kamq mimea shambani kwa mwenye shamba. Mimea hiwezi ikajua kwa nini ipo hapo ila itishi kulingana na utaratibu na kanuni za asili yake, lakini mwenye shamba ndiye anajua kwa nini mimea hiyo ipo shambani.
huu mtazamo wako naona unamake sense
sisi n kama mimea maana hatuna maamuz na kesho yetu yan kesho yetu wala chochote kuhusu maisha haya unaweza amka ukakuta babako kafa bila maamuz yako/yake,unaeza amka haupo sawa,unaweza amka ukakutana na taarifa mbaya n.k
 
Tunapitia magumu, mateso, dhiki na majanga ya kila aina yote hii Mungu anatukumbusha kuwa yeye yupo na anapaswa kuabudiwa.
Mazingira mazuri Mungu alishatutengenezea tangu anaiumba dunia, ila tunapitia magumu sababu ya maasi na madhambi yetu wenyewe, mf. dhulma, ukatili, ufisadi, kuuana, uzinzi n.k,
Leo Dunia ina kila aina ya ushenzi na uchafu unafikiri Mungu ataacha kutupiga njaa, magonjwa na mateso ili tumkumbuke?
Kama wewe mkristo mpokee bwana na kama wewe muislamu mgeukie Allah, tubu toba ya kweli uwe mtu wa mungu hutaiona hiyo dunia ya mateso,njaa na dhiki yanatupata haya sababu ya dhambi zetu.
mh!
 
Lengo maji kutiririka toka milimani kwanza yana tii shuruti na kuhudumia vilivyomo baharini.
Unajadiliana na mtu ambaye hamjui Mungu wako wala kutambua uwepo wake

Kisha unampa sababu kama hizi.. Huoni kama unampa uvivu wa kukujibu.! Lazima atahisi humuelewi
 
Tunazaliwa, tunakua tunazeeka tunakufa!

Lengo la sie kuwa hapa duniani ni nini?

Kwa nini tuko hapa na tumetokea wapi, kwanini tunaishi hapa??

Kwa nini tunazaa watoto?

Tunawazaa Waje wafanye nini hapa wakati mwisho wao nikufa??

Siku zote tunaangaika na maisha kupata fedha ili kupata chakula cha asubui mchana na jioni, then tuna lala tunaamka tunaendela kutafuta fedha kwa ajili ya chakula cha asubui mchana na jioni tuna lala tena, siku zinakwenda tunazeeka tuna kufa, mzunguko unaendelea nini maaana yake???

Kuna haja ya kuzaa mtoto ili aje kupitia mzungukuko huu wa maisha?

Yaani kuamka asubui kwenda kutafuta, kula, kulala na kusubiri kufa??

NINI MAANA YA MAISHA, KWA NINI TUNAISHI?

Tunafanyaa meeengi, yote ni kama kujisahaulisha hitimisho letu (kifo)!!

Utajenga jumba kubwa kuliko yoote, utafanikiwa kupita binadamu wooooote duniani, utakuwa na pesa nyiiiingi sana mpaka hujui cha kuzifanyia lakini unakufa, sasa kwanini tunaishi hapa duniani??? Kulikua na ulazima gani wasie kuwepo hapa duniani kama tunakufa?

JeTunaishi ili tufe???

Nini maana ya maisha???View attachment 1575137
Ahsante kwa swali zuri sana na ufafanuzi.

Swali hili halina majibu ya moja kwaoja. Kuna makundi mawili yanaweza kukujibu.

1. Wadhanifu (theologians). Wao wanaangalia mchakato mzima kama kuzaliwa ili kutimiza mpango wa Mungu. Kuwa tunamfurahisha Mungu. Kuwa anatuleta duniani na anatuchukua mbinguni. Ambapo tutaenda kwenye raha au motoni (mateso) kama tutakuwa tumetenda dhambi.

Hawa jamaa, wanaona uwepo wetu ni kutupima jinsi tunavyojitoa kwa Mungu.

UDHAIFU:
i. Hawaelezi vifo kabla ya uzee mfano mtoto wa mwezi au aliyeko tumboni
ii. Hawasemi iwapo vifo husabishwa na Mungu au shetani au bahati mbaya.
iii. Majibu yao ni ya kiimani na kufikirika tu.

2. Wayakinishi (Materialists)
Hawa wanaamini kuwa mchakato mzima (kuzaliwa hadi kufa) ni sehemu ya maisha kama wilivyo viumbe hai wengine. Hawatofautishi. Kuwa kuzaliwa na kufa ni sawa. Kuwa lazima viumbe hai wafe ili kupisha viumbe wengine wazaliwe.

Wanaamini kuwa viumbe hai huzaliwa ili kuendeleza ulithi wao (transfer of genes).

UDHAIFU:
i. Wanaongelea (nature) asili kama ndio inaongoza dunia, hawana majibu ya asili ni nini?
 
Kuitoa ccm madarakami
Tunazaliwa, tunakua tunazeeka tunakufa!

Lengo la sie kuwa hapa duniani ni nini?

Kwa nini tuko hapa na tumetokea wapi, kwanini tunaishi hapa??

Kwa nini tunazaa watoto?

Tunawazaa Waje wafanye nini hapa wakati mwisho wao nikufa??

Siku zote tunaangaika na maisha kupata fedha ili kupata chakula cha asubui mchana na jioni, then tuna lala tunaamka tunaendela kutafuta fedha kwa ajili ya chakula cha asubui mchana na jioni tuna lala tena, siku zinakwenda tunazeeka tuna kufa, mzunguko unaendelea nini maaana yake???

Kuna haja ya kuzaa mtoto ili aje kupitia mzungukuko huu wa maisha?

Yaani kuamka asubui kwenda kutafuta, kula, kulala na kusubiri kufa??

NINI MAANA YA MAISHA, KWA NINI TUNAISHI?

Tunafanyaa meeengi, yote ni kama kujisahaulisha hitimisho letu (kifo)!!

Utajenga jumba kubwa kuliko yoote, utafanikiwa kupita binadamu wooooote duniani, utakuwa na pesa nyiiiingi sana mpaka hujui cha kuzifanyia lakini unakufa, sasa kwanini tunaishi hapa duniani??? Kulikua na ulazima gani wasie kuwepo hapa duniani kama tunakufa?

JeTunaishi ili tufe???

Nini maana ya maisha???View attachment 1575137
 
kwamba maisha ya kumuabudu yeye hayawezekani bila vimbunga na masunami?

Unazungumziaje vimbunga ambavyo vinaua hadi watoto wachanga? Kwamba mungu anakua anavikumbusha vitoto vichanga vimuabudu?

Au tuseme kwamba mungu analeta kimbunga kuua vitoto vichanga ili watu wazima kupitia vidonda na uchungu wa kuwapoteza watoto zao wapendwa wamkumbuke kumuabudu Mungu ?

Kwanini mungu huyo atumie ukatiri usio mithirika kuwakumbusha watu wake wamuabudu wakati vitabu vinadai kua ni mungu mwenye upendo wote?

Na huyu mungu kama amekamilika kwa namna ambavyo vitabu vimesema kua amejitosheleza asiye na uhitaji wa chochote imekuaje tena ashupalie kutaka kuabudiwa (tena kwa kuwatesa)

Anapungukiwa nini huyo mungu endapo watu wasipo muabudu?

Binafsi naona hizi ni sifa za wale maslave master ambao walikua wanapenda kuabudiwa na watumwa hata kwa kuwanyonga hadharani kwa ishara ya kuwatisha wale wengine ili waingiwe uoga na hatinaye kutii kila command

Sasa naanza kupata picha kua kitabu kilichoandika hayo mambo ya kuua hadi watoto wachanga ili wakubwa wakumbuke kumuabudu mungu, kuna uwezekano mkubwa kikawa kimeandikwa na slave master
point!
 
Back
Top Bottom