KabisaTunaishi kwa kiki
Angalia usije tokea kuwa mende kwangu[emoji16][emoji16]Mimi binafsi nafurahia hi experience niliyoipata hapa duniani nasubiri kwa hamu Sana kujua siku nikifa nitatokea wapi tena!
Nitatafuna nguo zako zote kabatini!Angalia usije tokea kuwa mende kwangu[emoji16][emoji16]
Joke mkuu
Manabii noma sana au yule Ayubu mweh[emoji848]Mkuu mbna jbu simple tuu...
Kama lengo la kwenda shule ni kusoma kwanini tupitie magumu mfno...fimbo,adhabu,kulima,kushinda na njaa,kuwai namba,sapu, mambo ya disco,bado apo mambo ya kukesho usku na mengineyo...
Si tungewekewa mazngira mazur tu tusome kwa furaha na amani..
Ila mitume na manabii wa Mungu wamepitia mazito zaidi ya haya....tunayoyapitia sisi..
Zaaa mkuu huwezi jua, unaweza kutupiamo na JIWE, ukala kuku kwa mrijaNdio maana nawaza kutoongeza watoto.
Hawa wawili wanatosha.
Hakuna tuzo ya kupata watoto wengi
Hata kuku anajiuliza hivo hivo...ila mfugajj ndio mwenye jibu
Same kwa mungu..jiweke wewe position ya kuku na mungu mfanye ndio mfugaj..
So jibu la faida ya kufuga kuku analo mfugaj na sio kuku.
He he he he [emoji16]Kuna wazazi tunapaswa kuwaomba watoto wetu msamaha kwa kuto walea vizuri.
Unakuta mzazi anamwambia mtoto..." Unishukuru sana maana nimeteseka na wewe"
Huwa najiuliza nilikwambia unizae?
Angalau wewe umekuja na mfano haiLabda hujui maana ya kuabudiwa...
Hii inajumlisha sheria zote ambazo ameziweka ili wanadamu wazifuata...kwanini tuzifuate?
Hii ni kawaida kwa sababu yeye ndiye alietuumba na kuiumba hii dunia.....ni sawa na mfano wa machine au simu lazime kwa alieitengeneza aweke utaratibu wa kukitumia hcho kifaa na endapo utaenda against na utaratbu uliowekwa kuna risks zinaweza kutokea atimaye kuharibu kifaa.
Natumia hoja ya kiimani coz adi leo hii sayansi haijathibitisha asili ya dunia na uumbaji wake.
Zaaa mkuu huwezi jua, unaweza kutupiamo na JIWE, ukala kuku kwa mrija
Haaahaaahaa, halafu nakubonda na lapa tumboni unapasuka putuuuu[emoji16][emoji16][emoji28]Nitatafuna nguo zako zote kabatini!
Mi ndo maana nakulaga bata mpaka majogoo, mambo gani tena ya kufa aaaaagh[emoji26]Maisha haya! huyu ale kuku kwa mrija yule ale mlenda daily mwisho wa siku wote mnakufa na kwenda kubanguliwa na bacteria huko kaburini.
Yaani kila kitu ni kujilisha tu upepo hakuna cha maana![emoji3]
Umeona eeh..Manabii noma sana au yule Ayubu mweh[emoji848]
Bora sisi
Sawa sawa. Pia zaidi, sie binadamu...kuna hizi nguvu zinazotupa hekima/maarifa, zile zilizo nyuma ya kifo, bila kusahau nguvu ya kutuleta duniani bila idhini/hiari yetu. Hzi nguvu hatuziwezi kabisa.Utakufa kwa vitu vingine ila sio njaa mtoto akizaliwa asiponyonyeshwa anadanja.na asilimia kubwa tunahangaika kutafuta chakula, sio binaadam tu hata kuku akiamka tu anatafuta jalala lilipo .
Haaahaaahaa, halafu nakubonda na lapa tumboni unapasuka putuuuu[emoji16][emoji16][emoji28]😂😂😂
Ila inauma balaa,hata kwenye bible M/ Mungu hagusii kabisa kuhusu kufa yaaan[emoji134][emoji134]Tatizo mnaojibu kwamba kuna maisha baada ya kifo, na baada ya kifo ndipo utajua kusudi la ww kuishi duniani ni lipi-nyote hamjawahi kufa.Mbaya zaidi kakuna aliewahi kufa baadae akafufuka na kutueleza alichokiona huko kifoni[emoji35],hata Yesu alikufa akafufuka ila hakueleza zle cku 3 alikuwa akifanya nn huko kifoni.Tuishi tu kwenye huo mzunguko dada,damn!
Ila inauma balaa,hata kwenye bible M/ Mungu hagusii kabisa kuhusu kufa yaaan[emoji134][emoji134]