Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

Tunapitia magumu, mateso, dhiki na majanga ya kila aina yote hii Mungu anatukumbusha kuwa yeye yupo na anapaswa kuabudiwa.
kwamba maisha ya kumuabudu yeye hayawezekani bila vimbunga na masunami?

Unazungumziaje vimbunga ambavyo vinaua hadi watoto wachanga? Kwamba mungu anakua anavikumbusha vitoto vichanga vimuabudu?

Au tuseme kwamba mungu analeta kimbunga kuua vitoto vichanga ili watu wazima kupitia vidonda na uchungu wa kuwapoteza watoto zao wapendwa wamkumbuke kumuabudu Mungu ?

Kwanini mungu huyo atumie ukatiri usio mithirika kuwakumbusha watu wake wamuabudu wakati vitabu vinadai kua ni mungu mwenye upendo wote?

Na huyu mungu kama amekamilika kwa namna ambavyo vitabu vimesema kua amejitosheleza asiye na uhitaji wa chochote imekuaje tena ashupalie kutaka kuabudiwa (tena kwa kuwatesa)

Anapungukiwa nini huyo mungu endapo watu wasipo muabudu?

Binafsi naona hizi ni sifa za wale maslave master ambao walikua wanapenda kuabudiwa na watumwa hata kwa kuwanyonga hadharani kwa ishara ya kuwatisha wale wengine ili waingiwe uoga na hatinaye kutii kila command

Sasa naanza kupata picha kua kitabu kilichoandika hayo mambo ya kuua hadi watoto wachanga ili wakubwa wakumbuke kumuabudu mungu, kuna uwezekano mkubwa kikawa kimeandikwa na slave master
 
Ukijua ni nini maana ya kifo utafumbua fumbo lako kwa nini tunaishi.
 
Doh!!! Yaani Imagin, unajikuta tu umezaliwa, umekuwa, unapewa sheria za kufwata,

unakuwa kama vile unakuwa programed kwamba hiki huwa kipo hivi na kile huwa kipo vile, hiki kinafanywa hivi!

Ukuulizwa kama unakubali kuja hapa, unajikuta tu upo, unaishi, unapumua unaona unakufa unasahulika!! Aint fair!!
 
Uhalisiya kuhusu fumbo la kifo limekuwa ni kama mwangwi kwenye akili limebaki kuwa ni moja la suala gumu ambalo humuangukia kila aliye na kilicho hai. Ukijua nini maana ya kifo utajua ni nini maana ya uhai.

Ni sawa sawa na ukiijua ni nini tarakimu 1 inakubidi uwe na tarakimu 2.
 
Doh!!! Yaani Imagin, unajikuta tu umezaliwa, umekuwa, unapewa sheria za kufwata,

unakuwa kama vile unakuwa programed kwamba hiki huwa kipo hivi na kile huwa kipo vile, hiki kinafanywa hivi!

Ukuulizwa kama unakubali kuja hapa, unajikuta tu upo, unaishi, unapumua unaona unakufa unasahulika!! Aint fair!!
Halafu at the same time unaambiwa tumepewa uhuru wa kuchagua
 
kwa mfano sababisho la kifo cha mti wa mbao ni kupata mbao vile vile kwa viumbe wengine ni hivyo
 
yani kufa kwa sperm milions imabaki yako ndo ukaoatikana yani nikifo cha sperm pia kimesababisha ukapatikana
 
sperm zimepatikana kwenye protein ambapo kuna vegetables ulikula na nyama na matunda nakazalika kumbuka hivyo vyote pia vilikufa ndo ikapatikana sperm
 
kwamba maisha ya kumuabudu yeye hayawezekani bila vimbunga na masunami?

Unazungumziaje vimbunga ambavyo vinaua hadi watoto wachanga? Kwamba mungu anakua anavikumbusha vitoto vichanga vimuabudu?

Au tuseme kwamba mungu analeta kimbunga kuua vitoto vichanga ili watu wazima kupitia vidonda na uchungu wa kuwapoteza watoto zao wapendwa wamkumbuke kumuabudu Mungu ?

Kwanini mungu huyo atumie ukatiri usio mithirika kuwakumbusha watu wake wamuabudu wakati vitabu vinadai kua ni mungu mwenye upendo wote?

Na huyu mungu kama amekamilika kwa namna ambavyo vitabu vimesema kua amejitosheleza asiye na uhitaji wa chochote imekuaje tena ashupalie kutaka kuabudiwa (tena kwa kuwatesa)

Anapungukiwa nini huyo mungu endapo watu wasipo muabudu?

Binafsi naona hizi ni sifa za wale maslave master ambao walikua wanapenda kuabudiwa na watumwa hata kwa kuwanyonga hadharani kwa ishara ya kuwatisha wale wengine ili waingiwe uoga na hatinaye kutii kila command

Sasa naanza kupata picha kua kitabu kilichoandika hayo mambo ya kuua hadi watoto wachanga ili wakubwa wakumbuke kumuabudu mungu, kuna uwezekano mkubwa kikawa kimeandikwa na slave master
Nimesoma andiko lako nimekuelewa vizuri sana ila kwa uandishi wako tu unaonekana kwanza huna imani juu ya uwepo wa Mungu na utukufu wake, kwahiyo haina haja ya tuendelee kubishana na wewe.
 
Back
Top Bottom