Zero Star
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 4,256
- 8,615
Ni ule ukweli/ulongo anaoubeba mtu kwa ajasili juu ya kitu fulani....hcho ktu kinaweza kuonekana kwa macho au hisia tu.Imani ni nini?
Ni ule ukweli/ulongo anaoubeba mtu kwa ajasili juu ya kitu fulani....hcho ktu kinaweza kuonekana kwa macho au hisia tu.Imani ni nini?
Kwa definition yako ya imani unamaanisha huna uhakika na uwepo wa majini kama wapo au hawapo?Ni ule ukweli/ulongo anaoubeba mtu kwa ajasili juu ya kitu fulani
Ni rahisi tuu..Unawezaje kuthibitisha mambo yaliyo base kwenye imani?
Nina uhakika 100%...Kwa definition yako ya imani unamaanisha huna uhakika na uwepo wa majini kama wapo au hawapo?
ndio,na hakuna imani inayoweza kuthibitishwaUnajua vizur lakini maana ya Imani..?
ThibitishaNi rahisi tuu..
Kama uwezo wa kuthibtsha uwepo wa Mungu upo sembuse majini..
Thibitisha uwepo wa majini bila ya contradictions wala shaka kwa 100%Nina uhakika 100%...
Katka dfntn nimesema apo ukweli au uwongo.....kwangu namaanisha ukweli ambao hauna shaka kabsa.
Kutokua na imani juu ya uwepo wa mungu haikuzuii wewe kujibu hoja zangu, ulichokijibu hapa kipo katika kundi la Genetic fallacyNimesoma andiko lako nimekuelewa vizuri sana ila kwa uandishi wako tu unaonekana kwanza huna imani juu ya uwepo wa Mungu na utukufu wake, kwahiyo haina haja ya tuendelee kubishana na wewe.
Hapati faida yoyote wala hapungukiwi na chochote wala haongezekewi na chochote.ukimuabudu yeye anapata faida gani
Kama ndiyo hivyo vipi unamuhusisha Mola na utumwa ?Kuwa chini ya mtu na kumtumikia
Kuna wazazi tunapaswa kuwaomba watoto wetu msamaha kwa kuto walea vizuri.Umeona eee , i wish kungekuwa na opportunity ya kuulizwa uende duniani au la!!
ili uwepo uhai mwengine kwa kiumbe kingineKwanini uhai uwepo???
Swali "Kwanini Tunaishi" ni swali linalofikirisha watu wengi. Swali hili linatafuta kujua sababu.Tunazaliwa, tunakua tunazeeka tunakufa!
Lengo la sie kuwa hapa duniani ni nini?
Kwa nini tuko hapa na tumetokea wapi, kwanini tunaishi hapa??
Kwa nini tunazaa watoto?
Tunawazaa Waje wafanye nini hapa wakati mwisho wao nikufa??
Siku zote tunaangaika na maisha kupata fedha ili kupata chakula cha asubui mchana na jioni, then tuna lala tunaamka tunaendela kutafuta fedha kwa ajili ya chakula cha asubui mchana na jioni tuna lala tena, siku zinakwenda tunazeeka tuna kufa, mzunguko unaendelea nini maaana yake???
Kuna haja ya kuzaa mtoto ili aje kupitia mzungukuko huu wa maisha?
Yaani kuamka asubui kwenda kutafuta, kula, kulala na kusubiri kufa??
NINI MAANA YA MAISHA, KWA NINI TUNAISHI?
Tunafanyaa meeengi, yote ni kama kujisahaulisha hitimisho letu (kifo)!!
Utajenga jumba kubwa kuliko yoote, utafanikiwa kupita binadamu wooooote duniani, utakuwa na pesa nyiiiingi sana mpaka hujui cha kuzifanyia lakini unakufa, sasa kwanini tunaishi hapa duniani??? Kulikua na ulazima gani wasie kuwepo hapa duniani kama tunakufa?
JeTunaishi ili tufe???
Nini maana ya maisha???
Uhai na kifo ni kama mfano wa mti na tunda lake. Ukitaka kujua huo mti ni nini basi fahamu matunda yake! Halikadhalika ukitaka kufahamu uhai ni nini basi yakupasa utambue kwanza kifo ni nini! Ukiujua muktadha wa kifo utajua muktadha wa uhai na ukiijua muktadha wa uhai utajua kwa nini tunaishi.lakini sababisho la kifo ndio maana ya kuwepo kifo
Sababisho la kifo ni kutokwa kwa uhai. Hakuna kinachokumbwa na kifo isipokuwa kile kilochopokwa uhai. Ama uhai ukipokwa unasababisha kifo. Ama bila kifo ni bila uhai! Ndivyo kanuni ya huu ulimwengu invyotutendea.lakini sababisho la kifo ndio maana ya kuwepo kifo
Kila kitu msingi wake ni imani. Imani imetokana na kuamini. Kuamini ni kukiri uwepo wa jambo fulani ama wa kitu fulani. Ukiamini kitu ama jambo unakuwa una imani nacho, ni mwenye imani na hicho.ndio,na hakuna imani inayoweza kuthibitishwa
Kila kinachothibitishwa kina misingi yake ya kuthibitisha. Kuna masuala yanathibitika kutokana na athari na wala siyo kwa kufuata taratibu tulizokaririshwa.Thibitisha uwepo wa majini bila ya contradictions wala shaka kwa 100%
Namhusishaje yeye.! Au yeye ndiye kadai kaumbwa na watu ili wamuabudu.!?Kama ndiyo hivyo vipi unamuhusisha Mola na utumwa ?
Amedai hili wapi ?Namhusishaje yeye.! Au yeye ndiye kadai kaumbwa na watu ili wamuabudu.!?
Soma kwa uelewa..usinilazimisheni nimjadili yeye wakati mimi nipo na wewe hapa.!Amedai hili wapi ?
Kwa imani yako. Mungu yuko hai au hayupo hai?Uhai na kifo ni kama mfano wa mti na tunda lake. Ukitaka kujua huo mti ni nini basi fahamu matunda yake! Halikadhalika ukitaka kufahamu uhai ni nini basi yakupasa utambue kwanza kifo ni nini! Ukiujua muktadha wa kifo utajua muktadha wa uhai na ukiijua muktadha wa uhai utajua kwa nini tunaishi.
Sababisho la kifo ni kutokwa kwa uhai. Hakuna kinachokumbwa na kifo isipokuwa kile kilochopokwa uhai. Ama uhai ukipokwa unasababisha kifo. Ama bila kifo ni bila uhai! Ndivyo kanuni ya huu ulimwengu invyotutendea.
Chenye uhai ndicho kinachoishi. Inakujiaje uhai uliyonao unakujia kwa mara moja na baada ya hapo unapotea. Ni kana kwamba umepewa baraka! Lakini ni baraka ambayo kwa ghafla itapotea pasipo kukutaarifu bali ni kwa kutaka yenyewe. Umekiendea kifo!
Ukitaka kujua kwa nini tunaishi jua kwanza kifo ni nini! Ni sawa sawa ukitaka kujua utajiri ni nini basi uonje (ufahamu) umasikini ni nini!