Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,824
- 156,167
Kwa sababu ya second law of thermodynamics.Kwa nini vinasaba vya maisha,Genes na seli hai vinataka kujiongeza kila mara?
Kwa sababu ya second law of thermodynamics.Kwa nini vinasaba vya maisha,Genes na seli hai vinataka kujiongeza kila mara?
Nimecheka sana.
Umeuliza maswali nmekujibu, kama sijajibu ungekosoa jibu langu.
Sasa nikikuuliza thibitisha ya kuwa hizo ni tungo za watu.Najua huwezi na hamjawahi kuweza.
Ila haya mnayoyaandika nyinyi ndiyo nadharia za watu, sababu hazina ushahidi na maswali tukiwauliza hamuwezi kujibu.
Swali la pili, kwahiyo kutokujibiwa moja kwa moja ndiyo hujajibiwa au ?
Naona umekimbia hoja.weka quote uliyowahi kujibu kwa uthibitisho humu_ukiweka na mimi naacha kutumia hii ID
Hilo malaika nalo limekushinda
Sasa nakupa kazi kijana. Sababu dini yetu ya Uislamu ni kutoka katika Qur'aan na Hadithi za mtume, nakupa kazi ambayo mpaka unakufa hutaweza kuifanya, nitafutie toka katika vyanzo hivyo viwili ukiona jina la Malaika Mtoa Roho (Malakul Mawti) kuwa ni "Israel" nitaomba uongozi wa "jf" wanipige ban la maisha.Nakupa miaka mia kutangua hili.. hata huku mtaani kwetu Mashehe wanamuita 'islaeli mtoa roho'
Kwa sababu ya second law of thermodynamics.
Humu huwa najadiliana na watoto kiakili na maarifa. Nakuuliza jambo maalumu unaniletea habari za Mabala.Tungo hua hazihitaji kuthibitishwa maana zipo dhahiri kua ni hadith Sasa unataka tusibitishe kua mabara the farma yupo kiuhalisia la hasha lakini mtunzi wa tungo yupo lakini alichokiandka huwezi kukithibitisha Kama kitu halisi
Mchakato wa Second Law of Thermodynamics unahusiana vipi na jambo hilo ?Kwa sababu ya second law of thermodynamics.
Nimezisoma comment naona uzi umeingiliwa na wafia dini hawana lolote zaidi ya ubishi
Kwako mtu wa mungu elewa kua kila tunachokijua sisi kwa sasa hakuna aliyeanzisha. Chake yeye kama yeye japo tunafuata to history zilizo andikwa hivyo hakuna aliye sahihi yeye kama yeye kwa ujuzi wake lakini yote anayoyajua ameyapata kwa kusimuliwa Kusoma ama kutizama hivyo basi ukielewa kwamba hata huu ubishi unao bishania ni masimulizi ya zamani ungekaa kujifunza maana science inagundua mambo mapya hata sasa na kuviweka kwenye uhalisia tulia jifunze uelewa sio unaufunga tu ubongo wako na mambo ya kizamani uliyoyasikia jana ambayo hayana uthibitisho
[/QUOTT
Jina lako ndio shida yako? Badili jina utauona ukweli kuhusu vitu vilivyofichika katika ulimwengu huu.Ushahidi ni jambo muhimu unapodili na Maada.ila sio muhimu kabisa unapozungumzia non Matter. Sijui unanielewa?
Ka sababu ya kanuni ya pili ya mwendojoto.Kwa kiswahili fasaha.
sio kweli kabisa hapo umepuyanga.theory sio imani ni idea ambayo ipo intended kwa ajili ya kujusty course of action.halafu gravition sio imani maana ni movement toward centre na inaweza kupimwa .
huna uwezo wa kuthibitisha kitu ambacho ni imani.thibitisha kwamba kuna moto wa kuchoma watu
Tusipangiane nini cha kuandikausifananishe malaika na hewa au upepo.kuna kipimo cha upepo Wind vane na upepo unaezua hadi mapaa ya nyuma ukivuma kupita kiasi ,hewa ipo inapimwa na unajulikana kama ni oxygen au c02 ,chafu au safi ila malaika ni imaginary huwezi kuthibisha kwa kifaa chchote kama wapo
Sijasoma comments zote sijui maswali yako yatakuwa yamekwishajibiwa au la!.?Tunazaliwa, tunakua tunazeeka tunakufa!
Lengo la sie kuwa hapa duniani ni nini?
Kwa nini tuko hapa na tumetokea wapi, kwanini tunaishi hapa??
Kwa nini tunazaa watoto?
Tunawazaa Waje wafanye nini hapa wakati mwisho wao nikufa??
Siku zote tunaangaika na maisha kupata fedha ili kupata chakula cha asubui mchana na jioni, then tuna lala tunaamka tunaendela kutafuta fedha kwa ajili ya chakula cha asubui mchana na jioni tuna lala tena, siku zinakwenda tunazeeka tuna kufa, mzunguko unaendelea nini maaana yake???
Kuna haja ya kuzaa mtoto ili aje kupitia mzungukuko huu wa maisha?
Yaani kuamka asubui kwenda kutafuta, kula, kulala na kusubiri kufa??
NINI MAANA YA MAISHA, KWA NINI TUNAISHI?
Tunafanyaa meeengi, yote ni kama kujisahaulisha hitimisho letu (kifo)!!
Utajenga jumba kubwa kuliko yoote, utafanikiwa kupita binadamu wooooote duniani, utakuwa na pesa nyiiiingi sana mpaka hujui cha kuzifanyia lakini unakufa, sasa kwanini tunaishi hapa duniani??? Kulikua na ulazima gani wasie kuwepo hapa duniani kama tunakufa?
JeTunaishi ili tufe???
Nini maana ya maisha???View attachment 1575137
Kuhusu kuzaa kuchuma mali na kuzitumia vyote ni katika kundi la ibada. Ibada ni kufanya unachotaka kufanya/ unachotakiwa kufanya kwa kufata taratibu za aliekuumba. Yani kama unataka kuzaa mtoto ukafata taratibu za mola wako katika kumpata huyo mtoto hapo umefanya Ibada. Mwenyezi Mungu katupa muda maalum wa kuishi kwa kila mmoja wetu mfano kuna aliepewa miaka 20, 90, 70,10 nk. Hivyo mahitaji yako yote unapaswa uyafanye katika muda ulopewa afu baada ya muda kuisha unarudishwa kwake anakuuliza ndani ya muda alokupa ulifanya nini na nini ( uliutumiaje) kipi umefanya hukutakiwa kufanya na kipi hukufanya na ulitakiwa ufanye hapo mtapigiana hesabu then unapewa hukumu yako.Sijasoma comments zote sijui maswali yako yatakuwa yamekwishajibiwa au la!.?
Ipo hivi: kwenye kila utengenezwaji au uumbwaji wa kitu chochote panakuwa na uhataji wake , yani kila kilichotengenezwa kilihitajika kabda mfn kabda ya wewe kununua/ kutengeneza simu kwanza ulihitaji kuwa na simu.
HISTORIA YA MWANADAMU .(KIIMANI )
Kwa ushahidi kutoka vitabu vyote vya kiimani ambavyo tunavitumia kama muongozo vinathibitisha kuwa mwanzo kabda ya kuumbwa binadamu palikuwa na maisha ya viumbe wengine kama Malaika ,Majini, wanyama ndege na wadudu ambavyo vilikuwa vikiishi peponi. (kitabu cha mwanzo katika Bibilia na surat Baqara katika Qur'an vinathibitisha ) . Kipindi hicho dunia ilikuwa imatawaliwa na maji matupu. Baada ya hapo Mwenyezi Mungu akaona ipo haja yakumuumba Kiumbe mwingne aitwaye mwanadamu akajumuike nawo peponi ambapo alivyowaambia malaika walishangaa sana wakamuuliza "Ewe Mwenyezi Mungu sisi tumekuwa tukikutii kwa kila jambo hatufanyi ispokuwa ulichotuamrisha na hatuachi kufanya ispokuwa ulichotukataza sasa kwanini unataka ulete kiumbe mwingne ambae atakuja kuleta machafuko na kumwaga damu katika ardhi? " Mwenyezi Mungu akajibu "mimi nayajuwa msio yajua ninyi".
Baada ya MWENYEZI MUNGU kumuumba mwanadamu kwa udongo ndipo akawataka viumbe wote walikuwepo mwanzo wamsujudie Mwnadamu , apo ndipo baadhi yao wakakataa kwa kigezo kuwa hawawezi kusujudia kilichoumbwa kwa udongo wakati wao wameumbwa kwa Nuru wengne Moto. Hapo ndipo baadhi(ibilisi) wakafukuzwa katika kundi lile la viumbe watukufu.
Baada ya hapo Malaika wakaambiwa wataje majina ya vitu wakashindwa huku wakijibu " Ewe Mola wetu sisi hatujui chochote ispokuwa kwa yale ulokwisha tufundisha tu" Mwanadamu akapewa mtihani huo akafauli na Malaika wote wakamkili na kumsujudia.
Baada ya hapo Mwanadamu akapelekwa bustanini (peponi) badae akatenda kosa akaletwa duniani na maisha yake yanaendelea mpaka leo. ( nimeeleza kwa kufupisha hivyo nimeacha matukio mengi)
Sasa kuna mazingatio katika kisa hiki.
1: kwanini viumbe wote waliumbwa. Jibu : ni ili kukamilisha sifa na utukufu wa Uungu wa Mungu mana sifa ya Mungu ni pamoja na kuumba . Mfn ili uitwe Fundi ni uwe umeunda kitu
2: jukumu la viumbe kwa Mola wetu ni nini ? Jibu: ni KUMUABUDU aliye tufanya tukawepo wakati hatukuwepo . Jekuabudu ni nn? : kuabudu nikuacha aliyokukataza na kufanya aliyokuamrisha unaemuabudu ikiwemo kumtukuza, kumtegemea na kumuamini.
3: Kwanni aliumbwa Mwanadamu? Jibu: Kwanza kupitia kisa hicho tunajifunza kuwa Mwenyezi Mungu anawajua viumbe wake zaidi ya wanavyojijua umeona pamoja kuwa malaika na Majini walikuwa ni watii kwa kila kitu ila alipowataka wamsujudie mwanadamu waligoma hivyo tunapata picha kuwa Mungu alitambua kuwa si viumbe wote wanatakiwa kuwepo peponi kumbe vilikuwepo viumbe havistahili . Pia alihitaji viumbe vya aina tofauti zaidi kuthibitisha ukuu wake. Na ndio mana aliumba kwa Nuru (Malaika) akaumba kwa Moto ( majini) pia akaumba kwa udongo ( Binadamu).
4: Kama lengo kuumba Mwanadamu nikuja duniani kwanini Mwanadamu alipita peponi (bustan ya eden) na hakuja duniani moja kwa moja na kwann matokeo ya kuja duniani kwa mwanadamu ni baada ya kumkosea Mungu je kama Mungu anauwezo wakujua yatakayo tokea kwanini asubiri Mwanadamu akosee ili amlete duniani na asingekosea je ingekuaje? Jibu: Mwenyezi Mungu hata akitaka kitu kiwe hakifanyi kiwe ila kwa sababu. Sijui nimeeleweka apo? Yani kuna kanuni inasema E+R =O ( Event plus Responding is equal to Outcomes) ikiwa inamaana Matukio + muitikio ndo unapata matokeo. Hivyo Mwenyezi Mungu huleta matukio mwanadamu ata respond kulingana na tukio husika afu atapata matokeo kutokana na alivyo respond mfano Mwenyezi Mungu analeta mvua mwanadamu analima/ anakinga maji/ analala kwa baridi nk so matokeo ni kuvuna ulichopanda. Ko Mwenyezi MUNGU aliumba viumbe wote akaweka Moto na pepo then akatupa jukumu na kutubainishia kuwa ukifanya hichi utaenda peponi na ukifanya hichi utaenda Motoni so is up to wewe kurespond.
5: Kwanini tunaishi? Tunaishi ili kutimiza azma ya Mungu ya kusudi la kutuumba ili mwisho wa siku akatupe mataji yetu kwa yale tuloyafanya kwa uhai huu. Mana usipopewa nafasi yakufanya utasema ungepewa ungefanya zaidi. Pia tupo hapa ili kujichuja wenyewe ipi pumba ipi mchele nani alistahili kuishi bustanini na nani hastahili mfano Ibilisi kabda hajachujwa alikuwa akiishi bustanini kumbe hakustahili ko kama tungeumbwa tukapelekwa moja kwa moja huwenda kuna ambao hawastahili wengeenda bustanini( Yani hapa tupo kwenye chumba cha mtihani)
Mwisho: Kuna sayari nyingi zinazoishi viumbe na hatima yetu sote nikurudishwa kwa aliyetuumba tubaguliwe viumbe watakaofauli wawe pamoja na watakao feli wawe pamoja. Hivyo hapa ni sawa tupo safarini tunarudi tulikotoka.
Je kuna haja yakufanya mambo yakidunia kama kujenga, kununua magali nk. Jibu: " Itumikie dunia kama upo milele( kwa kufata utaratibu ulopewa na Mola wako) na itumikie akhera kama unakufa kesho"
Naam...majini nao ni viumbe kama sisi Ila wao wameumbwa kwa moto na sisi kwa udongo na malaika kwa nuru..Na majini pia?
Tunasupport hiyo experimental project inakuwa Controlled na nini au na nani maana hapo Hujakamilisha Maelezo ,KWA sababu kila ulipoweka point inafikia hatua unaiacha inaelea KWA kusema Kuna kitu kinafanya hivyo Sasa hicho kitu ndio ungekiweka wazi, maana dini hapo ndio zinaonyesha kuwa Kuna uwepo wa MunguKuna kitu watu huwa hawawezi elewa kwa sababu they cant think outside the box..
Wea re living in a simulated world( universe) ..
Ni somo pana sana hili kiasi kwamba ukimweleza mtu hawezi kukuelewa na zaidi utaishia kuzinguana nae kwa sababu atakuona unapotoka sijui umemdharau muumba aliyekuumba but reality kabisa we are living in a simulated controlled manner of life..
Amini usiamini something super intelligent being is controlling your(my) life..
We human being and other seenable species are just existing kwa sababu ya experimental issues..
kuna kundi la viumbe somewhere wametengeneza viumbe sisi kwa sababu ya majaribio yao binafsi and probably cross link superhybrid ya genetics zao...
Ukikaa na kufikiria kwa makini lengo la wewe au mimi kuwepo hapa duniani physically ni utopolo kabisa yani unazaliwa unasoma unakuwa unaoa na kuwa na familia yako kisha unazeeka unakufa then unajiuliza lengo la kupitia hizo changamoto zote ni nini sasa ...
Hakuna thamani yoyote hapa duniani zaidi ya kupitia intensity ya maumivu katika kusurvive kwa sababu tunassma "surviving is costful".
Kaaa chini mwenyewe jifungie ndani halafu uwaze bila kumhusicha mtu yoyote kwanini upo hapa utagundua kuwa the world was artificially created for making habitation ya sisi ambao ni experimental organisms kwa ajili ya maisha ya watu( beings of somewhere).
You must believe in any ways kuwa The world is just an eco systeme artificially created enveronment kwa ajili ya kusupport maisha ya hawa viumbe ambao walikuja kumwagwa hapa ili kuenddelea kuchunguzwa..
.........ni kama vile uchimbe bwawa kubwa kisha uje umwage mayai ya samaki kutoka china halafu uanze kumonitor jinsi samaki hao wanavyokuwa na kuzaliana huku lengo unakuwa unaangalia jinsi unavyoweza kuwafanyia hydridization changes katika mfumo wao mzima wa kijenetiki zaidi ili upate the desirable species kwa experiments zako ..
we are living in an eco systemed simulated world ambyo imewekewa mazingira yote ya kusurvive and no body can escape the dome..
View attachment 1586802
Amini usiamini we are nothing rather than experimental part of beings controlled by other species of which you can call in whatever names but belive kuwa hilo kundi lipo..
Chukulia mfano unafuga kuku za kizungu ambazo umewafungia ndani ya jumba kwa kuwapa mwanga wa taa ambazo zinawaka zenyewe giza likiingia na kujizima jua likichomoza(self controlling) , umewekea maji ya bomba ambayo hutiririka baada ya masaa kadhaa ,halafu wanakula mchele wa kudonoa ambao umeuweka kwenye vikontena humo humo ndani ila kuku hao wanatakiwa kujiongeza namna ya kufunua hayo makontena ya mchele,,means kuku anayegundua kuwa humu humu ndani kuna mchele ndo anayesurvive kwa muda mrefu zaidi ila hatajua ni nani ni supplier wa chakula kile kwani stock ni kubwa na ilikuwepo kabla hata hawajatotolewa..so anayejua destination ya maisha ya kuku wale ni mfugaji pekee ambaye kuku hawawezi kumuona ..
Hayo ndo maisha halisi tunayoyaishi..dunia yetu ina majani na mimea na kila aina ya chakula ili kuweza kukufanya wew uendelee kusurvive while contuing being controlled mindly and all other aspect of you life but you can not escape the dome..
View attachment 1586812
The human eye can only see visible light, but light comes in many other "colors"—radio, infrared, ultraviolet, X-ray, and gamma-ray—that are invisible to the naked eye.
human eyes can not see and tell us the real life behind us which controls our fate kwa sababu macho yanaona visible light ambayo ni 3% tu means 97% ni invisible light ...manake nini chochote unachokiona ni 3 percent ya all components za mwanga hence vingi huwez viona so kumuona anayekucontrol ni ngumu sana kwa sababu umepewa limit ya kung'amua mambo..kuna mengi hatuyajui na ni ngumu sana kuyaelewa ..
Kwa hiyo binafsi naamini we are nothing rather than the chosen species to exist in this super conducted life support experimental project ..
..
Bila shaka hapo ulipo uvaa nguo basi akaja mtu akauliza hiyo nguo ulitoa wapi........? Nilinunua dukani afu akwambie thibitisha Kama kweli ulinunua basi unampa list ya uthibitisho kua ulinunuaHumu huwa najadiliana na watoto kiakili na maarifa. Nakuuliza jambo maalumu unaniletea habari za Mabala.
Nimekwambia hivi thibitisha ya kuwa zile ni hadithi za kutungwa, maana nazo waandishi wake walipata kuishi.
Pili, nani alikwambia ya kuwa tungo hazihitaji ithibati ? Ithibati ya kwanza kujua ukweli wa tungo kwanza tunaangalia tungo hiyo ipo katika kundi gani yaani la kifani je ni fasihi katika lugha au kinyume chake ? Kadhalika tuna muuliza mtunzi juj ya hakika ya tungo yake,kisha tunaangalia kilichomo tunakipima kwa mzani wa "UHALISIA".
Tatu, si kila Tungo ni tungo ya kufikirika hata muandika tungo huitwa mtunzi, hata muandishi wa kitabu cha hesabu huitwa "Mtunzi" na husemwa "Ametunga kitabu".
Hitimisho
Usiwe una hitimisha jambo ambalo huna elimu nalo, labda kama huishi katika ulimwengu wa vitabu, leo hii kuna vitabu vingi sana hawajulikani waandishi wake. Vipi unatumia nini kujia ukweli wa tungo hizo ? Sasa acheni utoto. Swali langu liko pale pale "Thibitisha ya kuwa hizo ni tungo".
naungana na ww!!! haiwezekan nizaliwe bila ridhaa yangu afu nije niambiwe ohhh sjui ukifa kuna jehanam ya moto??? what for???kwa nn skuulizwa kama nko tayar kuzaliwa au lah!!!
[/QUO
Cheef umetukumbusha ukumbusho mzuri lkn hujatoa jb wala hujajibu swali.na sijui ni uvivu wa kufikiri au tuna matatizo ya uelewa...swali ni faida ya uhai wa kuishi hapa dunian ni nini? NaSijasoma comments zote sijui maswali yako yatakuwa yamekwishajibiwa au la!.?
Ipo hivi: kwenye kila utengenezwaji au uumbwaji wa kitu chochote panakuwa na uhataji wake , yani kila kilichotengenezwa kilihitajika kabda mfn kabda ya wewe kununua/ kutengeneza simu kwanza ulihitaji kuwa na simu.
HISTORIA YA MWANADAMU .(KIIMANI )
Kwa ushahidi kutoka vitabu vyote vya kiimani ambavyo tunavitumia kama muongozo vinathibitisha kuwa mwanzo kabda ya kuumbwa binadamu palikuwa na maisha ya viumbe wengine kama Malaika ,Majini, wanyama ndege na wadudu ambavyo vilikuwa vikiishi peponi. (kitabu cha mwanzo katika Bibilia na surat Baqara katika Qur'an vinathibitisha ) . Kipindi hicho dunia ilikuwa imatawaliwa na maji matupu. Baada ya hapo Mwenyezi Mungu akaona ipo haja yakumuumba Kiumbe mwingne aitwaye mwanadamu akajumuike nawo peponi ambapo alivyowaambia malaika walishangaa sana wakamuuliza "Ewe Mwenyezi Mungu sisi tumekuwa tukikutii kwa kila jambo hatufanyi ispokuwa ulichotuamrisha na hatuachi kufanya ispokuwa ulichotukataza sasa kwanini unataka ulete kiumbe mwingne ambae atakuja kuleta machafuko na kumwaga damu katika ardhi? " Mwenyezi Mungu akajibu "mimi nayajuwa msio yajua ninyi".
Baada ya MWENYEZI MUNGU kumuumba mwanadamu kwa udongo ndipo akawataka viumbe wote walikuwepo mwanzo wamsujudie Mwnadamu , apo ndipo baadhi yao wakakataa kwa kigezo kuwa hawawezi kusujudia kilichoumbwa kwa udongo wakati wao wameumbwa kwa Nuru wengne Moto. Hapo ndipo baadhi(ibilisi) wakafukuzwa katika kundi lile la viumbe watukufu.
Baada ya hapo Malaika wakaambiwa wataje majina ya vitu wakashindwa huku wakijibu " Ewe Mola wetu sisi hatujui chochote ispokuwa kwa yale ulokwisha tufundisha tu" Mwanadamu akapewa mtihani huo akafauli na Malaika wote wakamkili na kumsujudia.
Baada ya hapo Mwanadamu akapelekwa bustanini (peponi) badae akatenda kosa akaletwa duniani na maisha yake yanaendelea mpaka leo. ( nimeeleza kwa kufupisha hivyo nimeacha matukio mengi)
Sasa kuna mazingatio katika kisa hiki.
1: kwanini viumbe wote waliumbwa. Jibu : ni ili kukamilisha sifa na utukufu wa Uungu wa Mungu mana sifa ya Mungu ni pamoja na kuumba . Mfn ili uitwe Fundi ni uwe umeunda kitu
2: jukumu la viumbe kwa Mola wetu ni nini ? Jibu: ni KUMUABUDU aliye tufanya tukawepo wakati hatukuwepo . Jekuabudu ni nn? : kuabudu nikuacha aliyokukataza na kufanya aliyokuamrisha unaemuabudu ikiwemo kumtukuza, kumtegemea na kumuamini.
3: Kwanni aliumbwa Mwanadamu? Jibu: Kwanza kupitia kisa hicho tunajifunza kuwa Mwenyezi Mungu anawajua viumbe wake zaidi ya wanavyojijua umeona pamoja kuwa malaika na Majini walikuwa ni watii kwa kila kitu ila alipowataka wamsujudie mwanadamu waligoma hivyo tunapata picha kuwa Mungu alitambua kuwa si viumbe wote wanatakiwa kuwepo peponi kumbe vilikuwepo viumbe havistahili . Pia alihitaji viumbe vya aina tofauti zaidi kuthibitisha ukuu wake. Na ndio mana aliumba kwa Nuru (Malaika) akaumba kwa Moto ( majini) pia akaumba kwa udongo ( Binadamu).
4: Kama lengo kuumba Mwanadamu nikuja duniani kwanini Mwanadamu alipita peponi (bustan ya eden) na hakuja duniani moja kwa moja na kwann matokeo ya kuja duniani kwa mwanadamu ni baada ya kumkosea Mungu je kama Mungu anauwezo wakujua yatakayo tokea kwanini asubiri Mwanadamu akosee ili amlete duniani na asingekosea je ingekuaje? Jibu: Mwenyezi Mungu hata akitaka kitu kiwe hakifanyi kiwe ila kwa sababu. Sijui nimeeleweka apo? Yani kuna kanuni inasema E+R =O ( Event plus Responding is equal to Outcomes) ikiwa inamaana Matukio + muitikio ndo unapata matokeo. Hivyo Mwenyezi Mungu huleta matukio mwanadamu ata respond kulingana na tukio husika afu atapata matokeo kutokana na alivyo respond mfano Mwenyezi Mungu analeta mvua mwanadamu analima/ anakinga maji/ analala kwa baridi nk so matokeo ni kuvuna ulichopanda. Ko Mwenyezi MUNGU aliumba viumbe wote akaweka Moto na pepo then akatupa jukumu na kutubainishia kuwa ukifanya hichi utaenda peponi na ukifanya hichi utaenda Motoni so is up to wewe kurespond.
5: Kwanini tunaishi? Tunaishi ili kutimiza azma ya Mungu ya kusudi la kutuumba ili mwisho wa siku akatupe mataji yetu kwa yale tuloyafanya kwa uhai huu. Mana usipopewa nafasi yakufanya utasema ungepewa ungefanya zaidi. Pia tupo hapa ili kujichuja wenyewe ipi pumba ipi mchele nani alistahili kuishi bustanini na nani hastahili mfano Ibilisi kabda hajachujwa alikuwa akiishi bustanini kumbe hakustahili ko kama tungeumbwa tukapelekwa moja kwa moja huwenda kuna ambao hawastahili wengeenda bustanini( Yani hapa tupo kwenye chumba cha mtihani)
Mwisho: Kuna sayari nyingi zinazoishi viumbe na hatima yetu sote nikurudishwa kwa aliyetuumba tubaguliwe viumbe watakaofauli wawe pamoja na watakao feli wawe pamoja. Hivyo hapa ni sawa tupo safarini tunarudi tulikotoka.
Je kuna haja yakufanya mambo yakidunia kama kujenga, kununua magali nk. Jibu: " Itumikie dunia kama upo milele( kwa kufata utaratibu ulopewa na Mola wako) na itumikie akhera kama unakufa kesho"
Hizi ndiyo shida za kujadiliana na watu wasiyo kijua kile wannacho jadiliana kwacho na kushindwa kuweka mifano pahala pake. Mifano unayoitoa si hai, ndiyo maana huwa nawaambia salama yenu ni bora muwe mnajibu maswali tunayo wauliza hapo kidogo mtapata afadhali. Sasa usilazimishe kila mfano uingie mahala ambapo si pake.Bila shaka hapo ulipo uvaa nguo basi akaja mtu akauliza hiyo nguo ulitoa wapi........? Nilinunua dukani afu akwambie thibitisha Kama kweli ulinunua basi unampa list ya uthibitisho kua ulinunua
Mnaenda kwa mwenye duka mnamuuliza hizi nguo hua zinapatikana vipi.........? Muuzaji hua nashona mwenyewe na hii niliyo vaa nimeshona mwenyewe unamwambia thibitisha kama uliishona wewe Je atakuthibitishia vipi ingali wewe hutaki ashone nyingine ila unalazimisha tu athibitishe
Basi utaonekana limbukeni na watakuacha Kama ulivyo maana wewe ni mbishi bila Sababu za msingi
Bwana mkubwa hizo sio safari wala vituo.hio ni process ya kuumbwa.na mwisho wa process hio ni ama motoni au peponi.....hongera dada ndo mwanzo wa kujitambua uko...
Na ukishajua hilo utajiona tofauti sna...
Binadamu huwa tunajitoa ufahamu Sana kuhusu lengo letu la kuishi apa duniani, kuna watu hawataki ata kusikia hii mada sio tu kusoma....ipo sababu ya wao kufanya hvyo....
Lipo kundi la watu linafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha linawapumbaza wanadamu wasijue lengo la uwepo wao apa dunia....na lipo kundi la watu linapambana kutaka watu wajitambue lengo la kuumbwa kwao japo hili kundi lapigwa vita Sana.
Kwaufupi lengo kuu la kuumbwa wanadamu na majini ni kumuabudu mola wao...na neno kumuabudu ni kumpwekesha yeye (kumtukuza na kumtegemea yeye) ktk kila kitu...
Dunia ni mapito....dunia ni njia...dunia ni kituo
Mwanadamu tunapitia vituo mbalimbali kila kituo kinaradha yake na machungu yake ila kituo cha mwsho inategemea na jinsi ulivyoishi kituo cha duniani...
Kituo 1:- maji yenye kuchupa (manii)
Kituo 2:-. Ndani ya matumbo ya mama zetu
Kituo 3:-. Duniani
Kituo 4:- Kaburini
Kituo 5:- Peponi au motoni inategemea na matendo yako ya duniani na huruma ya Muumba wako.
Maisha ya duniani ndo maisha ambayo yamebeba siri kubwa sana na hatma ya mwanadamu....na apa ndo tumepewa ule uwezo wa nguvu za kujicontrol....Ila baada na kabla ya apo ni out of our control ni amri tu ya Muumba wetu...
Mtu akifa hazikwi na yale aliyoyachuma isipokuwa matendo yake tuu...