Umeuliza swali moja katika maswali matatu. Nafaidika pakubwa sana na maisha haya, maisha ni uhai,uhai nilio bao unanipa wasaa wa kutimiza malengo yangu katika kuelekea lengo langu kuu la kuumbwa kwangu.Msomaji inabidi niulize
Wewe unafaidika nini na maisha hayo uliyonayo (uhai) .....?
Je umewahi kuona mtu akifaidika na maisha.......?
Ni faida gani ako nayo.......?
Siyo nimewahi tu bali maisha tu yenyewe ni faida.
Faida aliyo nayo ni ile ambayo mimi niko nayo.
Hitimisho
Maswali uliyo uliza hayana maana sababu hujui lengo la maisha yako au lengo la wewe kuishi. Ngoja nikupe mfano wa lengo la maisha, wewe unaye ishi na dunia. Mfano wa mwanadamu hapa duniani ni mfano wa msafiri katika safari, ambaye amefika katika wenye kivuli akapumzika kisha akaendelea na safari. Mti ndito dunia, na wewe ndiyo msafiri na safari bado inaendelea. Kwahiyo hii Dunia kama kituo.