Lengai Ole Sabaya amerejeshewa ulinzi?

Lengai Ole Sabaya amerejeshewa ulinzi?

Kuna dalili za ukweli hapa, ki ukweli Wachaga inavyoonyesha, hawataki kuongozwa na mtu asiye wa kabila lao, wako hivyo hivyo hadi kwenye biashara, Mchaga hutafuta duka la mchaga mwenziye kununua bidhaa, ataruka maduka yoote akitafuta duka la mkabila mwenzake

Kama wakiendelea hivi, basi ni kuwapelekea moto tu nao katika maeneo mengine yoote kule wamepewa kuongoza, Kwa nini kwao hawataki mtu mwengine awaongoze ila wao wanataka kwenda kuongoza mikoa mingine?

Ni kupiga chini wabunge woote wa kichaga maeneo yote ya nchi wakagombanie kwao wote

Lengai kinachomtesa ni Umaasai wake!!
Mkuu sio sahihi, hata Antony Mtaka na Novatus Makunga wamewahi kuwa wakuu wa wilaya ya Hai na walikuwa watu peace. Byakanwa na Sabaya walipelekwa Hai kimkakati.
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu, hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.

View attachment 1823073
Shujaa au "conman?"
 
Mimi nawashauri ndugu zangu wachagga warudi kuwa na impression ya national unity. Hizi groupings hazitawasaidia kitu. Mali mlizonazo mmevunia Tanzania nzima. Acheni kujipenda kupita kiasi na kupenda kuwabagua wengine au kupenda kuongozwa na mtu wa kwenu tu. Kuna awareness kubwa sana juu ya biasness yenu sasa katika hii nchi. Rudini katika hali ya umoja wa kitaifa.

Ninyi ni ndugu zangu kwa sababu tumeoa kwa wachagga na wachagga wameoa kwetu. Nawafahamu wachagga kwa makundi yao vizuri sana. Wachagga wasomi na wenye pesa mnakoelekea kwenye maswala ya kitaifa siko. Rudini nyuma.

Ombeni ushauri mzuri kwa kina CD Msuya, Balozi Sefue, IGP Said Mwema(mstaafu) etc.
Ukweli Mchungu sana huu
 
Arusha mjini na Hai ni majimbo yenye watu wafitini na wakabila kuliko maeneo yoyote ya nchi hii

Dhalimu alileta siasa za kishenzi sana ndani ya nchi hii, saa hii waovu wenzake wameanza kukamatwa, mnajifanya kucheza mind game mkidhani mtafanikiwa kupotosha watu. Uzuri nyie mna propaganda za kizee, hivyo ni rahisi mtu kujua huu utoto wenu huku mitandaoni.
 
Mimi nawashauri ndugu zangu wachagga warudi kuwa na impression ya national unity. Hizi groupings hazitawasaidia kitu. Mali mlizonazo mmevunia Tanzania nzima. Acheni kujipenda kupita kiasi na kupenda kuwabagua wengine au kupenda kuongozwa na mtu wa kwenu tu. Kuna awareness kubwa sana juu ya biasness yenu sasa katika hii nchi. Rudini katika hali ya umoja wa kitaifa.

Ninyi ni ndugu zangu kwa sababu tumeoa kwa wachagga na wachagga wameoa kwetu. Nawafahamu wachagga kwa makundi yao vizuri sana. Wachagga wasomi na wenye pesa mnakoelekea kwenye maswala ya kitaifa siko. Rudini nyuma.

Ombeni ushauri mzuri kwa kina CD Msuya, Balozi Sefue, IGP Said Mwema(mstaafu) etc.

Hizi ndio siasa za kishenzi Magu alizofanikiwa kupandikiza ndani ya nchi hii kwa muda mfupi kwa wajinga wa aina yako. Kiongozi yule alikuwa mtu muovu na mkatili, leo hii waovu wenzake wameanza kuwekwa hatiani, ndio mnajifanya kupumbaza mamlaka ili ziamini huu utoto wa ukabila mnaoleta hapa. Na kwa taarifa yako, labda hizo mamlaka za uchaguzi na zenyewe ziwe zina upeo mdogo, lakini hizi mind game mnazocheza hapa ni za kitoto ile mbaya. Tunamshukuru Mungu kwa kumuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu, hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.

View attachment 1823073
Huyo au hao ni walinzi au washitakiwa wenzake?
 
Ukiangalia mkono wa Sabaya ni Kama umevimba au Kanenepa. Imenikumbusha nikiwahi kung'atwa na nyigu, hata jela manyigu yapo anyways.
Mkuu Una jicho kama la eagle! Ila itakua alipiga Mtu ngumi, mkono wake ukavimba, katika zile harakati za kuogeshana na kupakana mafuta! Viva Sabaya, hupakwi mafuta kizembe zembe, you fight!😂😂
 
Kwani polisi/mahakamani huwa wana pokea nini kwanza, kabla ya kesi kuanza?kama sio malalamiko/tuhuma ?sasa nani anayelipiza, mahakama ndio itakayo amua kutokana na ushahidi utakaoletwa, ila ki ukweli Sabaya hakuwa kiongozi bali ni muhuni tu!!kwani hizo tuhuma ni za ajabu sana, kwa kiongozi, tumeshazoea kiongozi anatuhumiwa, kwa makosa ya rushwa lakini sio ujambazi!!wa kutumia silaha!!
Wakati Baba ake akiwa mwenyekiti wa halimashauri, wananchi wenye hasira walichoma nyumba yake! Senior Sabaya alikuwaga na ujinga kama huyo dogo!
 
"" DOUBLE STANDARD YA HALI YA JUU SANA,THIS IS NOT RIGHT AT ALL""
HUYU NI TYPICALLY MUHALIFU ALIYEUMIZA WATU VIBAYA SANA WAMAMA WAMELIA KWA WANAO KUUWAWA HAPA ARUSHA LIVES WHATS THIS?
Mnakoelekea mtaharibu hii kesi sababu ya ujuaji wenu, haiwezekani ukodi akina mama kuja kuzomea mtuhumiwa mahakamani!
 
Tujipe muda, haya mambo huwa ya mwisho wake...
 
Ole sabaya jambaz alojificha ma mwamvuli wa ukuu wa wilaya
 
Back
Top Bottom