Lengai Ole Sabaya amerejeshewa ulinzi?

Lengai Ole Sabaya amerejeshewa ulinzi?

Hata mbowe alishakaa ndani alipomuuwa Akwilina
Duuh, Mbowe ndiye aliyepiga risasi siku ile? Ccm mmeua watu wengi sana nchi hii na Mungu atawalipa tu, wengine ameanza nao hapa hapa duniani ( Lengai)! Jiwe aliasisi siasa za kishamba mno!
 
Wachagga wanaamini they are unatouchables in this country. Mtu yeyote anayewagusa wachagga, basi hutumia vikundi vyao vya kuzikana na kuchangiana kumuandama. Reference ni Mnyeti, Byakanwa, Sabaya, Kihongosi na hata mjomba wao Gambo. Na kwa jinsi wanavyoshadadia kesi ya Sabaya wataishia kuharibu na kuaibika bure.
Ndugu yangu,
Ungekuwa na subira japo kidogo ingekusaidia kupata akiba ya maneno.
Sheria ikichukua na ikaonekana KWELI yachukua mkondo wake ndio angalau haki itaonekana kuwa imetendeka. Nawe kama BINADAMU mwenye nyama na damu, watakiwa kutambua kuwa WALE walofanyiwa udhalimu/ukatili hata kama wangekuwa wenu/wa kwenu, wanayo haki kamili kama binadamu, kumtuhumu aliyewatendea wakiwamo pamoja na wengine ambao hukuwaorodhesha hapo.
Kama yeyote alikuwa katumwa basi itabidi huyo mtu nae asakwe bila ya kujali ni nani au alikuwa nani. Yawezekana mpo weni mliyokuwa mmeanza kuzoea maisha YALE ya watu kwa visingizio mbalimbali, kujipa mamlaka ya kufanya unyama kwa binadamu wengine. Mambo ya aina hiyo ndio yamekuwa chanzo cha kuharibu IMANI NA AMANI katika nchi nyingi kama ilivyowahi kuwa kwa majirani zetu RWANDA.
Kwa kweli pamoja na waliyoathirika twamshukuru sana MUNGU kwa kumjalia Mama ujasiri wa kulikabiri hilo ili kuepusha TAIFA letu kwenda kombo zaidi. Ninaamini kuwa huu ni mwanzo tu wa kuisafisha milki ya shetani iliyokuwa inatandaa kwa kasi.
Mwisho, ninamuomba Mungu akuangazie utoke kwenye hilo giza la chuki na ukabila, ili nawe utambue kuwa penye hukumu ya haki na kweli, wenye haki ndio wanastahili kucheka kicheko (cha kweli) cha mwisho. AMEN.
 
Wachagga wanaamini they are unatouchables in this country. Mtu yeyote anayewagusa wachagga, basi hutumia vikundi vyao vya kuzikana na kuchangiana kumuandama. Reference ni Mnyeti, Byakanwa, Sabaya, Kihongosi na hata mjomba wao Gambo. Na kwa jinsi wanavyoshadadia kesi ya Sabaya wataishia kuharibu na kuaibika bure.
Hoja za watu wapumbavu na majambazi
 
Ningekuelewa kama ungetumia muda wako kutoa ushauri wa namna ya kuwa na mfumo wa kupata viongozi sahihi wa kitaifa. Kwa miaka ya karibuni angalau JK alikuwa na exposure nzuri ya kufahamu namna kiongozi mkuu wa umma anapaswa kuwa. Siyo mnaokota mtu aliyejaa chuki na vinyongo na anayetaka apendwe nchi nzima. Kiongozi huwezi pendwa kila mahali, hata JK kuna maeneo aliwahi kuzinguliwa, ila akishinda uchaguzi haanzi kubagua waliompigia kura au mambo ya ukanda. Unavyoona watu wanaachiwa kutoka magezarani kwa sasa ndio ujue namna uongozi uliopita ulivyokuwa na uonevu mkubwa, DPP kuchukiwa karibia nchi nzima nayo ilikuwa ni wachaga?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ahsante sana UJOBHILE.
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu, hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.​

View attachment 1823073
Kaogeshwa na Kuvishwa Nguo na Nyapara Zimbwe wa Gereza la Kisongo.
Naona unamuonea Wivu Mwenzako Sabaya Kapata Bwana huko Jela.
Wewe unawezapata Bwana huku u Raiani mbona
 
Those who were by Nelson Mandela for 27 years he was in prison were they in prison with him? If not, were they mocking him?
You are comparing two things which are different and distinct. We all know what Mandela stood for. The guy you wrongly compare with Mandela has nothing to show to show to the public. Sabaya is someone who always make wrong decisions and conspicuous association with criminal elements such rape, armed robbery, assaults, malicious damage to properties to mention but a few.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi naona alikuwa na bashasha 😂😂😂🤪
Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu
Screenshot_20210619-103456.png
 
You are comparing two things which are different and distinct. We all know what Mandela stood for. The guy you wrongly compare with Mandela has nothing to show to show to the public. Sabaya is someone who always make wrong decisions and conspicuous association with criminal elements such rape, armed robbery, assaults, malicious damage to properties to mention but a few.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Do you know the "official" charges of Mandela that made him imprisoned? Ahahahaha!
 
Wanateua hadi jambazi kuwa mkuu wa wilaya, hii nchi ni ya ajabu sana na ndio maana tunapiga kelele tupate katiba mpya kabisa ambapo kwangu mimi naona hata ile ya Waryoba bado ina mapungufu tu kwani bado ina mianya ya kuwafanya haya majambazi kama akina Sabaya yaendelee kuwepo na kutesa raia wasio na hatia.

Huyo jambazi inafaa afungwe maisha akafie huko jela amfuate yule dikteta aliyekuwa anamuabudu. Very useless.
 
Subirini labda mwakani mtakuja na hoja nyingine akishakula mvua. Sabaya ana ulinzi gani hapo wa kumzidi mdude?
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu, hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.​

View attachment 1823073
We Jamaa ubongo wako sijui uko sehemu gani kwenye mwili
 
Back
Top Bottom