Lengai Ole Sabaya amerejeshewa ulinzi?

Mimi nawashauri ndugu zangu wachagga warudi kuwa na impression ya national unity. Hizi groupings hazitawasaidia kitu. Mali mlizonazo mmevunia Tanzania nzima. Acheni kujipenda kupita kiasi na kupenda kuwabagua wengine au kupenda kuongozwa na mtu wa kwenu tu. Kuna awareness kubwa sana juu ya biasness yenu sasa katika hii nchi. Rudini katika hali ya umoja wa kitaifa.
Ninyi ni ndugu zangu kwa sababu tumeoa kwa wachagga na wachagga wameoa kwetu.
Nawafahamu wachagga kwa makundi yao vizuri sana. Wachagga wasomi na wenye pesa mnakoelekea kwenye maswala ya kitaifa siko. Rudini nyuma.
Ombeni ushauri mzuri kwa kina CD Msuya, Balozi Sefue, IGP Said Mwema(mstaafu) etc.
Ningekuelewa kama ungetumia muda wako kutoa ushauri wa namna ya kuwa na mfumo wa kupata viongozi sahihi wa kitaifa. Kwa miaka ya karibuni angalau JK alikuwa na exposure nzuri ya kufahamu namna kiongozi mkuu wa umma anapaswa kuwa. Siyo mnaokota mtu aliyejaa chuki na vinyongo na anayetaka apendwe nchi nzima. Kiongozi huwezi pendwa kila mahali, hata JK kuna maeneo aliwahi kuzinguliwa, ila akishinda uchaguzi haanzi kubagua waliompigia kura au mambo ya ukanda. Unavyoona watu wanaachiwa kutoka magezarani kwa sasa ndio ujue namna uongozi uliopita ulivyokuwa na uonevu mkubwa, DPP kuchukiwa karibia nchi nzima nayo ilikuwa ni wachaga?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ,leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu ,hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.View attachment 1823073
Nyoko zako, ulitaka aachwe kulindwa atoroke?
 
Una habari kwamba hata Mwinyi aliwahi kuwaachia watu waliotaka kutekeleza mapinduzi ya kijeshi?
 
Tuhuma nyingi wanazomzushia Ole Sabaya hazina ushahidi wowote. Ni malalamiko tu. Kama mtu hakunyang'anywa hela yake, aliamua kutoa mwenyewe kama mtonyo, kuna shida gani? Mpokea rushwa na mtoa rushwa wote wametenda jinai.
Mkuu unaelewa ulichoandika lakin?
 
Wachagga wanaamini they are unatouchables in this country. Mtu yeyote anayewagusa wachagga, basi hutumia vikundi vyao vya kuzikana na kuchangiana kumuandama. Reference ni Mnyeti, Byakanwa, Sabaya, Kihongosi na hata mjomba wao Gambo. Na kwa jinsi wanavyoshadadia kesi ya Sabaya wataishia kuharibu na kuaibika bure.
Acha ujinga wewe mchunga ng'ombe
 
Ukweli usisemwe upande mmoja tu. Kila upande waambiwe ukweli wao. Wapinzani ambao bado hata hawajaweza kujitawala kimfumo wanataka mabadiikoya kimfumo ya nchi. Chadema wameshauriwa mara kadhaa kubadili chama na kuwa cha kimfumo, wamekataa kwa sababu wanaona ni risk, chama kinaweza kikatoka mikononi mwa wachagga.
 
Ukiangalia mkono wa Sabaya ni Kama umevimba au Kanenepa. Imenikumbusha nikiwahi kung'atwa na nyigu, hata jela manyigu yapo anyways.
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ,leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu ,hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.View attachment 1823073
Umeumia sana bwana yako kuwa jela?? Nenda na wewe
 
Ulivyo mjinga wewe unaona umenitukana au umenidharau. Kuchunga ng'ombe ni kazi ya kawaida kama kulima, kuuza kiduka chako, kutembeza machinga nk.
Tena ni liquid assets kuliko zote hizo.
Ukichunga ng'ombe akili zako zinakuwa ka hao unao wachunga tu na hamna utofauti, ndio maana wakoloni hawakuhangaika na wachunga ng'ombe
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ,leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu ,hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.View attachment 1823073
Huoni nguo zimeanza kumpwaya subiri safari ijayo uone atakavyokuwa na huzuni
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ,leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu ,hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.View attachment 1823073
Hata kaburi lake tutalipambana kwa marumaru kama la mwendazake ili wazalendo mfurahi
 
Hii Takataka mbona wana cheza nayo. Funga pingu ikae gerezani.

Hana mastaka zaidi ya kumi eti na bado wanasubiria ushaidi ni ushaidi gani,
Ili Takataka lifungwe tuu milele imeumiza watu wengi sana
 
Back
Top Bottom