Tayari ulinzi wa leo unaonyesha huyu Kijana ni mkuu wa wilaya ya Hai
Siyo mkuu wa wilaya ya kisongo?
Tayari ulinzi wa leo unaonyesha huyu Kijana ni mkuu wa wilaya ya Hai
Siasa za majitaka alishakufa nazo Mwemdazakee. Hapa mnapoteza muda tuu.Ni fitina tu za limwinyi la Hai wenye makosaa ni akina mdude Nyagali walikamatwa na Coccaine hand to hand
Wachagga wanaamini they are unatouchables in this country. Mtu yeyote anayewagusa wachagga, basi hutumia vikundi vyao vya kuzikana na kuchangiana kumuandama. Reference ni Mnyeti, Byakanwa, Sabaya, Kihongosi na hata mjomba wao Gambo. Na kwa jinsi wanavyoshadadia kesi ya Sabaya wataishia kuharibu na kuaibika bure.
uliishamchunguza sabaya akitembea hapo kabla,au umeanza kumwona baada ya nyumbu wengine kumpost??Mkuu wa wilaya anachechemea?
Mkuu wa wilaya anavimba macho?
Mkuu wa wilaya anakaa Kisongo?
hisia hisia hisia."" DOUBLE STANDARD YA HALI YA JUU SANA,THIS IS NOT RIGHT AT ALL""
HUYU NI TYPICALLY MUHALIFU ALIYEUMIZA WATU VIBAYA SANA WAMAMA WAMELIA KWA WANAO KUUWAWA HAPA ARUSHA LIVES WHATS THIS?
unaumwa wewe.Acha ukabila wako Mbona watetezi wake wengine wachagga?
Masai ni wajinga sanaShujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ,leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.
Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu ,hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.View attachment 1823073
Hujui lolote wew mwarusha kajifunze kuoga kwanzaWachagga wanaamini they are unatouchables in this country. Mtu yeyote anayewagusa wachagga, basi hutumia vikundi vyao vya kuzikana na kuchangiana kumuandama. Reference ni Mnyeti, Byakanwa, Sabaya, Kihongosi na hata mjomba wao Gambo. Na kwa jinsi wanavyoshadadia kesi ya Sabaya wataishia kuharibu na kuaibika bure.
Usaizi unakuja kwasababu alikuwa na mamlaka au hata akiwa nje ya mamlaka anauwezo WA kushindana na Mbowe?wewe Sabaya sio size yako kaa kimya unyamaze Mbowe mwenyewe si size ya Sabaya yaani ukimuongelea Sabaya nchi inatikisika
Kwani wewe unachunga nini?Watusi wazuri wa sura tofauti na hawa wachunga ng'ombe wabongo empty set kabisa like you.
subiri si muda tu mvua itamnyesheaShujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ,leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.
Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu ,hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.View attachment 1823073
True True...Bila ulinzi wananchi wenye hasira waliokuwa nje ya mahakama wangemuua
Hizo ni tuhuma mpaka mahakama ithibitisheHuyu akiponyoka kwenye mashtaka yanayomkabili, wote walioko magerezani waachiwe tu.Huyu ana tuhuma nyingi Sana...