Lengai Ole Sabaya amerejeshewa ulinzi?

wewe Sabaya sio size yako kaa kimya unyamaze Mbowe mwenyewe si size ya Sabaya yaani ukimuongelea Sabaya nchi inatikisika
Mbona kapigwa madole kule ngome kuu na hata unyasi haujatikisika? Yule ni k kama k zingine tu!! This time tunamvika pedi asituchafulie ground mbwa huyu
 
Tuhuma nyingi wanazomzushia Ole Sabaya hazina ushahidi wowote. Ni malalamiko tu. Kama mtu hakunyang'anywa hela yake, aliamua kutoa mwenyewe kama mtonyo, kuna shida gani? Mpokea rushwa na mtoa rushwa wote wametenda jinai.
Daaaa!!ina maana mtu kupolwa pesa na simu kwa kutishiwa bunduki nayo ni kesi ya rushwa?kumbe hata kesi zenyewe anazotuhumiwa nazo huzifahamu!!!
 
Daaaa!!ina maana mtu kupolwa pesa na simu kwa kutishiwa bunduki nayo ni kesi ya rushwa?kumbe hata kesi zenyewe anazotuhumiwa nazo huzifahamu!!!
Hayo ni malalamiko tu. Mambo yangekuwa marahisi kama wanavyovumisha wao hata wao wengi wangekuwa magerezani.
Ulipizaji hauna mwisho. Acha tuendeleze tu kwa sababu hamna namna.
 
Hayo ni malalamiko tu. Mambo yangekuwa marahisi kama wanavyovumisha wao hata wao wengi wangekuwa magerezani.
Ulipizaji hauna mwisho. Acha tuendeleze tu kwa sababu hamna namnat
Kwani polisi/mahakamani huwa wana pokea nini kwanza, kabla ya kesi kuanza?kama sio malalamiko/tuhuma ?sasa nani anayelipiza, mahakama ndio itakayo amua kutokana na ushahidi utakaoletwa, ila ki ukweli Sabaya hakuwa kiongozi bali ni muhuni tu!!kwani hizo tuhuma ni za ajabu sana, kwa kiongozi, tumeshazoea kiongozi anatuhumiwa, kwa makosa ya rushwa lakini sio ujambazi!!wa kutumia silaha!!
 
UKIONJA KITIMOTO
HATA ULE SWALA HUTOACHA KUMLA NGURUWE UKIONJA TU IMEISHA HIOO

MKUU KAONJA GEREZWA LETU PENDA SO...HIOO HATOKI JIPENI MOYO TU
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ,leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu ,hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.View attachment 1823073
Nadhani kama huna faili mirembe basi unapaswa kupimwa akili
 
Mimi nawashauri ndugu zangu wachagga warudi kuwa na impression ya national unity. Hizi groupings hazitawasaidia kitu. Mali mlizonazo mmevunia Tanzania nzima. Acheni kujipenda kupita kiasi na kupenda kuwabagua wengine au kupenda kuongozwa na mtu wa kwenu tu. Kuna awareness kubwa sana juu ya biasness yenu sasa katika hii nchi. Rudini katika hali ya umoja wa kitaifa.
Ninyi ni ndugu zangu kwa sababu tumeoa kwa wachagga na wachagga wameoa kwetu.
Nawafahamu wachagga kwa makundi yao vizuri sana. Wachagga wasomi na wenye pesa mnakoelekea kwenye maswala ya kitaifa siko. Rudini nyuma.
Ombeni ushauri mzuri kwa kina CD Msuya, Balozi Sefue, IGP Said Mwema(mstaafu) etc.
Peleka ujinga wako huko tunakujua wewe mnafiki mkubwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Watusi wazuri wa sura tofauti na hawa wachunga ng'ombe wabongo empty set kabisa like you.
We demu waga mbishi, lazima utakuwa kafupi sana.

Maana nyie vimtu vifupi ni shida kwa ubishi.

Kajitu kafupi lakini hakashindwi mjadala.

Kaaah!
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ,leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu ,hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.View attachment 1823073
Halafu walinzi akaingia nao lupango
 
Kwa mfano ni mfano tu paaah! Magufuli amerudi unahisi kipi kitatokea hii nchi.
 
Huko usoni amemwagiwa majivu? And anaifedhehesha kaunda suti huyu mwizi, huwezi kupauka hivyo na kutafuna karanga hadharani huku umetwanga suti...! Next time wasimruhusu kuvaa suti tena, labda apake mafuta. And vieitii alilopanda mbona halisomeki?. Hilo jicho la kulia hao walinzi ndio wamelivimbisha?
sabaya.jpg
 
Back
Top Bottom