Lengai Ole Sabaya amerejeshewa ulinzi?

Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu, hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.

View attachment 1823073
Wewe ni mpumbavu . Hujui hatadunia inaendeshwaje? Tanzania inafuata utoaji haji wa jumuiya ya madoka.
Unamisingi take! Mfno.
S
Fair trial . Sabaya anastahili hiyo haki ndo mana hajafungwa pingu wala kubughudhiwa akiwa mahakamani.
Ni mtuhumiwa siyo mtenda makosa ndo maana unaona unaona anapewa haki zote.kama binadamu. ( innocent till proved guilty) nalo hujui?
Inapaswa wanaomtuhumu wathibitishe tuhuma zao... vinginevyo wapenda haki hawalalamikii wala kushangilia mtu kutendewa haki... anataka haki itendeke!
Sabaya anawakilisha akili za UVCCM WENGI
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu, hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.

View attachment 1823073
Kweli wewe ni jingaman hasa,Eti sabaya ni shujaa

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Jifunze kutumia akili, waliolalamika walitoa ushahidi wazi hata kabla ya haya kutokea. Walinzi wake mwenyewe wanakiri baadhi ya makosa ikiwa ni utekaji wa wanawake. Sabaya, Mnyeti, Makonda, Ally Happy , Chalamila mojawapo ya viongozi wabovu na wajinga kuwahi kutokea katika hii nchi. Hawa walilelewa vibaya na mwendazake wakajisahau. Watu hawa wana malalamiko ambayo yanawagusa watu wengi.
Ushahidi huwa unatolewa mahakamani mkuu. Tusubiri kama watautoa. Huo wa polisi unaweza kupotea.
 
a
Arusha mjini na Hai ni majimbo yenye watu wafitini na wakabila kuliko maeneo yoyote ya nchi hii
Arusha ni jiji cosmopolitan sana sawa na Dar es Salam Kuna kila kabila pale jijini huo ukabila na ufitini ni figment of your imagination
Tangu uhuru wamekuwepo wabunge wake wa makabila sita tofauti huku Waarusha kabila asili la huko likitoa Mbunge mmoja tuu Ole Saibul.
 
Yaelekea hujaona ulinzi na unadhifu wa Masheikh wa Uamsho huo wa Sabaya ni Cha mtoto.
Mpaka Zanzibar wamepelekwa kwa ndege ya serikali.
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu, hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.

View attachment 1823073
Hivi ni mimi tu nisiyejua tabasamu likoje au? Maana namuona mtu usoni kama amebanwa na 'shida'...
 
Ndugu yangu,
Ungekuwa na subira japo kidogo ingekusaidia kupata akiba ya maneno.
Sheria ikichukua na ikaonekana KWELI yachukua mkondo wake ndio angalau haki itaonekana kuwa imetendeka. Nawe kama BINADAMU mwenye nyama na damu, watakiwa kutambua kuwa WALE walofanyiwa udhalimu/ukatili hata kama wangekuwa wenu/wa kwenu, wanayo haki kamili kama binadamu, kumtuhumu aliyewatendea wakiwamo pamoja na wengine ambao hukuwaorodhesha hapo.
Kama yeyote alikuwa katumwa basi itabidi huyo mtu nae asakwe bila ya kujali ni nani au alikuwa nani. Yawezekana mpo weni mliyokuwa mmeanza kuzoea maisha YALE ya watu kwa visingizio mbalimbali, kujipa mamlaka ya kufanya unyama kwa binadamu wengine. Mambo ya aina hiyo ndio yamekuwa chanzo cha kuharibu IMANI NA AMANI katika nchi nyingi kama ilivyowahi kuwa kwa majirani zetu RWANDA.
Kwa kweli pamoja na waliyoathirika twamshukuru sana MUNGU kwa kumjalia Mama ujasiri wa kulikabiri hilo ili kuepusha TAIFA letu kwenda kombo zaidi. Ninaamini kuwa huu ni mwanzo tu wa kuisafisha milki ya shetani iliyokuwa inatandaa kwa kasi.
Mwisho, ninamuomba Mungu akuangazie utoke kwenye hilo giza la chuki na ukabila, ili nawe utambue kuwa penye hukumu ya haki na kweli, wenye haki ndio wanastahili kucheka kicheko (cha kweli) cha mwisho. AMEN.
Mimi sina ukabila lkn nimewashauri tu. Hilo liko wazi. Hata Muhongo Prof. alipokuwa akitofautiana na hayati Mengi kwenye maswala ya uwekezaji wa gesi mlitumia nguvu yenu na umoja wetu wa vikundi kumfanyia assassination ya kisiasa. Hata wengi niliowataja. Chalamila mnamuandama kisa alitoa ng'ombe wa Mramba(in fact ni wa Mramba &Co.)
Kama tunapenda amani basi ianzie kote kote. Tuvumiliane pale mnapoona mmezidiwa ujanja au ujanja wenu umegundulika. Mna nafasi kubwa ya kuharibu hii nchi kutokana na nguvu yenu ya kiuchumi, kisiasa na elimu. Risk yake ni kwamba jamii zingine na zenyewe zitataka kukaa katika vikundi vya kuwekeana shield hata kama swala halihitaji kuwekeana shield. Ikitokea hivyo tutakuwa nchi tena au vipande vipande?
 
Nilishasema hii ni kisasi Cha kisiasa,sote tunajua hai na viunga jirani iikuwa ni ngome ya CHADEMA,Sasa chadema walipoona mama anaingilika kilaini ,wakatumia hiyo fursa kutaka kulipa hasira zao kwa kupokonywa Jimbo.sabaya atapata kashikashi kwa kipindi hiki,Ila baada ya hapo atakuwa kati ya wanasiasa vijana waliopitia magumu lkn yakawakomaza kisiasa.
 
Mimi sina ukabila lkn nimewashauri tu. Hilo liko wazi. Hata Muhongo Prof. alipokuwa akitofautiana na hayati Mengi kwenye maswala ya uwekezaji wa gesi mlitumia nguvu yenu na umoja wetu wa vikundi kumfanyia assassination ya kisiasa. Hata wengi niliowataja. Chalamila mnamuandama kisa alitoa ng'ombe wa Mramba(in fact ni wa Mramba &Co.)
Kama tunapenda amani basi ianzie kote kote. Tuvumiliane pale mnapoona mmezidiwa ujanja au ujanja wenu umegundulika. Mna nafasi kubwa ya kuharibu hii nchi kutokana na nguvu yenu ya kiuchumi, kisiasa na elimu. Risk yake ni kwamba jamii zingine na zenyewe zitataka kukaa katika vikundi vya kuwekeana shield hata kama swala halihitaji kuwekeana shield. Ikitokea hivyo tutakuwa nchi tena au vipande vipande?
Ndugu yangu hakuna haja ya kukaa na hayo madonge.
Kama unalo moyoni mwako lolote ambalo unaamini halikutendwa kwa haki, hii ni nafasi yako kuliweka wazi na hasa kwao kunakohusika kama walivyofanya watz hawa kwa Ole Sabaya. Uwepo wa Mama ni fursa tuliyoletewa na Mungu wetu.
Badala ya kujivunia na kukimbilia UJANJA wa kuviziana, itakuwa ni busara zaidi kama tukaitumia nafasi hii njema hiyo kutafuta UKWELI, maridhiano na pale itakapobidi kuchukua hatua za kisheria kwa waliyohusika kufanya hila, ubabe, ukandamizaji na unyama etc kwa watz wengine.
Katika miaka mitano iliyopita, sote tulishuhudia jinsi Taifa letu lilivyokuwa linapelekwa KOMBO kwa kasi ya ajabu. Ili kuliokoa tunahitaji kuwa tayari kutibu hivyo vidonda pamoja na madhara husika. Kama kweli twalipenda Taifa letu, basi hatutakiwi kabisa kujiruhusu kusitasita tena katika kurekebisha madudu hayo. AMEN
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu, hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.

View attachment 1823073

We Pimbi Sabaya hajawahi kupewa ulinzi na Serekali hata siku moja.Walinzi wake binafsi ni wahuni wa Matejoo na Kambi ya Fisi.
 
Utafugaje wakati wewe ni andunje?

Ndo maana uko mbishi sana kama bwana Amolo.

Kimtu kifupi kibishi hichi... Chaaa!!!

Nampa pole mumeo kwa kuoa takataka andunje.
Mimi hata si mfupi ni mwanamke mrefu kuzidi ukoo wenu mzima so hzo za emolo sijui vyovyote unavoita havipo kwangu, niwaachie nyie wafugaji.
 
Back
Top Bottom