Lengai Ole Sabaya amerejeshewa ulinzi?

Lengai Ole Sabaya amerejeshewa ulinzi?

Wachagga wanaamini they are unatouchables in this country. Mtu yeyote anayewagusa wachagga, basi hutumia vikundi vyao vya kuzikana na kuchangiana kumuandama. Reference ni Mnyeti, Byakanwa, Sabaya, Kihongosi na hata mjomba wao Gambo. Na kwa jinsi wanavyoshadadia kesi ya Sabaya wataishia kuharibu na kuaibika bure.
Kujifariji wakati wa matatizo ni jambo jema sana.
 
wewe Sabaya sio size yako kaa kimya unyamaze Mbowe mwenyewe si size ya Sabaya yaani ukimuongelea Sabaya nchi inatikisika
Nchi inatakisika kwa uovu wake, kwa sasa ni mteja wa mahakama, na huko hatachomoa. Ila tujifunze kitu kimoja " Never underestimate fools when they act in good number ".

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
DPP ndio anamzushia?
Kwamba serikal ndio unamzushia?
Au sijakuelewa
Crying or smiling
1624077250543.png
 
Wachagga wanaamini they are unatouchables in this country. Mtu yeyote anayewagusa wachagga, basi hutumia vikundi vyao vya kuzikana na kuchangiana kumuandama. Reference ni Mnyeti, Byakanwa, Sabaya, Kihongosi na hata mjomba wao Gambo. Na kwa jinsi wanavyoshadadia kesi ya Sabaya wataishia kuharibu na kuaibika bure.
kwa kukusaidia tu huyu bwana yuko ndan kwa usalama wake na sio kwa ujambaz wake. mengine hayasemwi ila!
 
Wachagga wanaamini they are unatouchables in this country. Mtu yeyote anayewagusa wachagga, basi hutumia vikundi vyao vya kuzikana na kuchangiana kumuandama. Reference ni Mnyeti, Byakanwa, Sabaya, Kihongosi na hata mjomba wao Gambo. Na kwa jinsi wanavyoshadadia kesi ya Sabaya wataishia kuharibu na kuaibika bure.
Uko sahihi uchaga ndio kinachoonekana na kuwaaminisha watu kuongo
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu, hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.​

View attachment 1823073
Comments reserved
 
Naona mmeanzisha uzi kumpamba. Mmetengeneza ID fake mpya mnajaza thread kwa mwendo wa kusifu. Acheni mahakama ifanye yake. Mbona hata wezi wa kuku wanakwenda jela?
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu, hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.​

View attachment 1823073
Acha kuwa 'Moron' Mkuu kwa jinsi Watu ( hasa Wananchi ) wa huko walivyo 'so Emotional' juu ya 'Upuuzi' wake Kiusalama ni 'Hatari' Kwake hivyo kupewa Ulinzi Mkubwa wa Kumlinda ni halali yake na hiyo hufanywa kwa wengi tu.
 
Hivi alitenguliwa au alikuwa akipisha uchunguzi tu, kuhusu nafasi ya mkuu wa wilaya ya Hai vp maana naona kama huyo jamaa kama bado mkuu wa Wilaya ila kutoka ofisini kupisha uchunguzi ikithibitika hana hatia inabidi arudi ofisini kwake.
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu, hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.​

View attachment 1823073
Amepelekwa gerezani na walinzi wake!!
 
Wachagga wanaamini they are unatouchables in this country. Mtu yeyote anayewagusa wachagga, basi hutumia vikundi vyao vya kuzikana na kuchangiana kumuandama. Reference ni Mnyeti, Byakanwa, Sabaya, Kihongosi na hata mjomba wao Gambo. Na kwa jinsi wanavyoshadadia kesi ya Sabaya wataishia kuharibu na kuaibika bure.
wewe mataga pori mlidhani mtaishi kwa dhulma milele??
 
Wachagga wanaamini they are unatouchables in this country. Mtu yeyote anayewagusa wachagga, basi hutumia vikundi vyao vya kuzikana na kuchangiana kumuandama. Reference ni Mnyeti, Byakanwa, Sabaya, Kihongosi na hata mjomba wao Gambo. Na kwa jinsi wanavyoshadadia kesi ya Sabaya wataishia kuharibu na kuaibika bure.
Sijajua kwanini Vyasaka mna shida sana na Wachaga, lini mtakubali kwamba wao ni Taifa teule
 
Mimi nawashauri ndugu zangu wachagga warudi kuwa na impression ya national unity. Hizi groupings hazitawasaidia kitu. Mali mlizonazo mmevunia Tanzania nzima. Acheni kujipenda kupita kiasi na kupenda kuwabagua wengine au kupenda kuongozwa na mtu wa kwenu tu. Kuna awareness kubwa sana juu ya biasness yenu sasa katika hii nchi. Rudini katika hali ya umoja wa kitaifa.

Ninyi ni ndugu zangu kwa sababu tumeoa kwa wachagga na wachagga wameoa kwetu. Nawafahamu wachagga kwa makundi yao vizuri sana. Wachagga wasomi na wenye pesa mnakoelekea kwenye maswala ya kitaifa siko. Rudini nyuma.

Ombeni ushauri mzuri kwa kina CD Msuya, Balozi Sefue, IGP Said Mwema(mstaafu) etc.
Kuna dalili za ukweli hapa, ki ukweli Wachaga inavyoonyesha, hawataki kuongozwa na mtu asiye wa kabila lao, wako hivyo hivyo hadi kwenye biashara, Mchaga hutafuta duka la mchaga mwenziye kununua bidhaa, ataruka maduka yoote akitafuta duka la mkabila mwenzake

Kama wakiendelea hivi, basi ni kuwapelekea moto tu nao katika maeneo mengine yoote kule wamepewa kuongoza, Kwa nini kwao hawataki mtu mwengine awaongoze ila wao wanataka kwenda kuongoza mikoa mingine?

Ni kupiga chini wabunge woote wa kichaga maeneo yote ya nchi wakagombanie kwao wote

Lengai kinachomtesa ni Umaasai wake!!
 
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu, hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.​

View attachment 1823073
Jembe sabaya
 
Tuhuma nyingi wanazomzushia Ole Sabaya hazina ushahidi wowote. Ni malalamiko tu. Kama mtu hakunyang'anywa hela yake, aliamua kutoa mwenyewe kama mtonyo, kuna shida gani? Mpokea rushwa na mtoa rushwa wote wametenda jinai.
Eti kapora tecno ya mtu...
 
Back
Top Bottom