Munusco
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 201
- 23
Jamani Muhongo ni jembe mwacheni aendelee kwani kosa lake ni dogo kuliko mabadiliko aliyoleta katika srkta ya nishati. Mimi binafsi nimefaidika kwa kushushiwa bei ya kuunganishiwa Umeme kutoka tzs 2.2m mpaka 700,000! Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni. Na nyie Ukawa wenzangu tumieni haki tumbili wetu Werema tumemtundika na mahakama inamsubiri kwa kutumia vibaya madaraka kwa hiyo Muhongo mnamwonea kwani ni mchapa kazi na msemakweli. Namwomba Kafulila amsamehe.
hiyo ni mipango ya wizara,hata kama ungewekwa wewe badala muhongo lazima mambo yange enda kama unavyo ona,labda mn'ge tofautiana wizi tu.