Lembeli: Muhongo anaiangamiza CCM

Lembeli: Muhongo anaiangamiza CCM

Jk lazima afukuze Prof.Muhongo kabla ya tarehe 27.01.2015 asipofanya hivyo nitatembea dar-moro uchi
 
imewabakia nyie mnaomuonea wivu Muhongo, na hang'oki ng'o tunauhitaji umeme wake

umeme wake utaufurahia vizuri ifikapo oktoba...jiandae kufanya sherehe ya umeme wa muhongo anaoutengeneza kwa fedha zake taslimu.
 
Mwacheni Muhongo achape kazi.Lembeni akapumzike tangu amekuwa Mbunge amewafanyia nini watu wa Kahama?
siku za hivi karibuni nilikwambia, mevamia siasa, huijui sema unaendeshwa na ashki majinuni, st back n reax uangalie mambo yanavyokwenda
 
jk na rugemalira pia hawajakutana barabarani. ndio maana wapokea rushwa wanafikishwa mahakamani wakati mtoa rushwa (ruge) anadunda mtaani. maCCM ni viumbe wa ajabu sana.
huyu regemalira alipelekwa mahakamani nchi itatisika ndo mwenye nchi Jk ni makamu wake.
 
Lembeli kaisha hana jipya atafute pakutokea mwaka huu hachaguliki tena ndiyo maana anahaha kama anataka kutaga mpeni pole sana siasa siyo mafungu saba.
Ukiona mtu anamsifia mtu mchafu kama Prof .muhongo ujue yeye ni mchafu zaidi
 
huyu regemalira alipelekwa mahakamani nchi itatisika ndo mwenye nchi Jk ni makamu wake.

ruge ndiye rais wa nchi hii na singasinga ni makamu wa rais. hawa wawili ndio wanaoiendesha nchi kwa kutoka mifukon...wameitia nchi yote mifukoni mwao.
 
tpaul wapotee hao tufanye yetu CHADEMA Lembeli ni mtu hatari sana ni kigeugeu asiye na msimamo thabiti hata ndani ya chama chake kwangu mimi namchukulia kama popo! Usishangae akiona anguko la ccm ni dhahiri akageuka na kuwa mwanaukawa tena mzungumzaji hasa

Yaan Lembeli ni kama #Shibuda tu!
 
Last edited by a moderator:
tpaul wapotee hao tufanye yetu CHADEMA Lembeli ni mtu hatari sana ni kigeugeu asiye na msimamo thabiti hata ndani ya chama chake kwangu mimi namchukulia kama popo! Usishangae akiona anguko la ccm ni dhahiri akageuka na kuwa mwanaukawa tena mzungumzaji hasa

Yaan Lembeli ni kama #Shibuda tu!
 
Last edited by a moderator:
JK ni jembe maneno yote haya ni ya kumgwaya tu na si vinginevyo, mtamkumbuka sana baba wa demokrasia afrika nzima, enzi za Mkapa mlikuwa hambwabwaji hivi

We Mbung'o enzi za mkapa wakati sisi tunaipigia chapuo NCCR wewe ulikua hujazaliwa bado, achilia mbali watu waliokua na Tv simu za mkononi ndio ilikua majanga. Hapo Cafee ndio daaah!
 
Wacha kuongea pumba, Mungu wakati anagawa kipaji cha kuona uwezo wa mtu yeye alikuta vimeisha.
 
JK amekuwa mzigo zaidi kila akikaribia kumaliza mda wake
 
Mwacheni Muhongo achape kazi.Lembeni akapumzike tangu amekuwa Mbunge amewafanyia nini watu wa Kahama?

ndani ya ccm kuna watu wengi wenye uwezo wa kuchapa kazi kuliko muhongo ambae kasha chafuka. akae pembeni anakigharimu chama.
 
Ni wazi Muhongo na JK hawakukutana barabarani........ Mbona wanapendana hivi,Yani JK yupo radhi CCM ife lkn sio kumtoa Muhongo............mahaba ya dhati.
Tatizo ni kuwa unapotakiwa umwajibishe mtu anayejua siri zako nyingi au mliyefanya naye "uchawi" ni ngumu sana. Muhongo kama anajua mengi katika mikataba ya Gas halafu ashughulikiwe kwa aibu kama Tibaijuka mbona patachimbika!
 
Huyo lembeli hajafanya lolote kahama. Kwa mfano kijijini kwake kahama-bulungwa barabara ni haieleweki kama ni barabara au chochoro kutokana na masika zimekatika. Kituo cha afya hapa kijijini kwake wodi moja ni changanyikeni wanawake, wanaume, watoto jinsia zote ni wodi moja. Yaani utazani mbunge lembeli hatokei hapa. Umeme pia haupo ni solar tu. Kama kijiji unachotoka hujafanya lolote miaka yote hiyo hata ukipewa miaka 20 kuiongoza kahama huwezi fanya lolote la maana

kutokufanya kitu kwenye kata yake kunahusianaje na yeye kukemea UFISADI? una umri gani wewe mtoto? kalale ukuwe kimwili na kiakili, mambo ya uchanganuzi waachie wakubwa.
 
Mwacheni Muhongo achape kazi.Lembeni akapumzike tangu amekuwa Mbunge amewafanyia nini watu wa Kahama?

Lembeli hana haki ya kusema chochote kuhusu ufisadi au uzembe kwani yeye ni mshirika wa Nyalandu katika ujangili, ubadhirifu, ghilba na matumizi mabaya ya madaraka katika wizara ya maliasili ma utalii. Kamati yake imjadili kwanza Nyalandu ndipo anyooshee vidole wengine.
 
imewabakia nyie mnaomuonea wivu Muhongo, na hang'oki ng'o tunauhitaji umeme wake
Jamani Muhongo ni jembe mwacheni aendelee kwani kosa lake ni dogo kuliko mabadiliko aliyoleta katika srkta ya nishati. Mimi binafsi nimefaidika kwa kushushiwa bei ya kuunganishiwa Umeme kutoka tzs 2.2m mpaka 700,000! Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni. Na nyie Ukawa wenzangu tumieni haki tumbili wetu Werema tumemtundika na mahakama inamsubiri kwa kutumia vibaya madaraka kwa hiyo Muhongo mnamwonea kwani ni mchapa kazi na msemakweli. Namwomba Kafulila amsamehe.
 
Kada maarufu wa CCM ambaye pia ni mbunge wa Kahama na mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na utalii, Dr James Lembeli ametahadharisha kwamba kitendo cha Prof Muhongo kutowajibishwa au yeye mwenyewe kutoachia madaraka kwa hiyari, kitaiua CCM kabla hata uchaguzi wa mwaka huu haujatangazwa.

Kada huyo amemtaka rais kikwete kumfuta kazi muhongo ili kuinusuru CCM na chuki dhidi ya wananchi na hatimaye kufa kabisa baada ya kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa oktoba, 2015. Ametolea mfano wa Mwinyi na Lowasa waliowahi kuachia ngazi na hivyo kumshauri mhongo afuate mkondo huo endapo JK atagoma kumfuta kazi.

Chanzo: Nipashe

:israel:

natoka anako simamia kazi huyu mbuge,kuwa natamani sana ahamie upinzani ili aendeleze mapambano yake kwa ufasa,kwa sababu sio mnafiki kwenye kufunguka huwa ha kwepeshi na ndio maana ali mkaanga maige kipindikile cha twiga,hakuangalia kama ni majirani kijimbo,ila ngoja tukomae nae najua mageuzi ya mwaka huu haya epukiki,
 
Back
Top Bottom