Lembeli: Muhongo anaiangamiza CCM

Lembeli: Muhongo anaiangamiza CCM

Kada maarufu wa CCM ambaye pia ni mbunge wa Kahama na mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na utalii, Dr James Lembeli ametahadharisha kwamba kitendo cha Prof Muhongo kutowajibishwa au yeye mwenyewe kutoachia madaraka kwa hiyari, kitaiua CCM kabla hata uchaguzi wa mwaka huu haujatangazwa.

Kada huyo amemtaka rais kikwete kumfuta kazi muhongo ili kuinusuru CCM na chuki dhidi ya wananchi na hatimaye kufa kabisa baada ya kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa oktoba, 2015. Ametolea mfano wa Mwinyi na Lowasa waliowahi kuachia ngazi na hivyo kumshauri mhongo afuate mkondo huo endapo JK atagoma kumfuta kazi.

Chanzo: Nipashe

:israel:

Eti Limbeli Amemtaka Rais kutekeleza matakwa yake? Kwani Limbeli ni Amiri Jeshi mkuu na Rais wa Dunia? anamtaka Rais atekeleze Amri yake kama nani? Pesa alizopewa na Mengi zimemzuzua mpaka anaropoka pasipo kutafakari kama Mvuta Bangi Lema.
 
tpaul wapotee hao tufanye yetu CHADEMA Lembeli ni mtu hatari sana ni kigeugeu asiye na msimamo thabiti hata ndani ya chama chake kwangu mimi namchukulia kama popo! Usishangae akiona anguko la ccm ni dhahiri akageuka na kuwa mwanaukawa tena mzungumzaji hasa

Kuna mzee mmoja Yupo huko Dsm kawe anaitwa Ngonyani alitapeliwa pesa zake na Limbeli kwa gia kuwa atamsaidia kupata kiwanja chake alichoporwa na mchungaji mama Rwakatare, Limbeli alipokwenda kwa mama Rwakatare akachukua Rushwa akamgeuka mzee Ngonyani masikini na kumsujudia Mama Rwakatare, Limbeli haaminiki ni full Kigeugeu na njaa kaiweka mbele.
 
Last edited by a moderator:
Kada maarufu wa CCM ambaye pia ni mbunge wa Kahama na mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na utalii, Dr James Lembeli ametahadharisha kwamba kitendo cha Prof Muhongo kutowajibishwa au yeye mwenyewe kutoachia madaraka kwa hiyari, kitaiua CCM kabla hata uchaguzi wa mwaka huu haujatangazwa.

Kada huyo amemtaka rais kikwete kumfuta kazi muhongo ili kuinusuru CCM na chuki dhidi ya wananchi na hatimaye kufa kabisa baada ya kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa oktoba, 2015. Ametolea mfano wa Mwinyi na Lowasa waliowahi kuachia ngazi na hivyo kumshauri mhongo afuate mkondo huo endapo JK atagoma kumfuta kazi.

Chanzo: Nipashe

:israel:

Mzee Lembeli huwa namkubali sana kwani haoni aibu kutoa ukweli.
 
CCM haiwezi kuangamia kwa Masilahi Binafsi ya Mengi, Watu wengi wanajua kuwa Chuki ya Mengi juu ya Muhongo ndiyo imefanya huu Uzushi kuenea kila kona, Mengi katumia Mabilioni kuwapa wabunge, waandishi, walambi, Waganga wa kienyeji, Viongozi wa Dini nk, ili wamchafue Muhongo baada ya kumnyima Vitalu vya Gesi na kumnyang'anya Migodi ambayo alikuwa akimiliki kienyeji enyeji pasipo kuiendeleza huku akiwa anawanyanyasa wenyeji walio zunguka maeneo yake, CCM wa kumulikwa ni Mengi kwani ndiye Mfadhili wa kuchafua chama.
 
kwa swala la Muhongo kufutwa kazi tupo pamoja ila Lembeli simuamini tena kwa kuwa wakati wa BMK alitetea sana serikali Tatu ilipokuja kupiga kura kageuka!! Haaminiki

Limbeli ni Kigeugeu hana msimamo,ni mpambe wa Mengi kila siku huwa yupo kwa Mengi.
 
Kada maarufu wa CCM ambaye pia ni mbunge wa Kahama na mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na utalii, Dr James Lembeli ametahadharisha kwamba kitendo cha Prof Muhongo kutowajibishwa au yeye mwenyewe kutoachia madaraka kwa hiyari, kitaiua CCM kabla hata uchaguzi wa mwaka huu haujatangazwa.

Kada huyo amemtaka rais kikwete kumfuta kazi muhongo ili kuinusuru CCM na chuki dhidi ya wananchi na hatimaye kufa kabisa baada ya kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa oktoba, 2015. Ametolea mfano wa Mwinyi na Lowasa waliowahi kuachia ngazi na hivyo kumshauri mhongo afuate mkondo huo endapo JK atagoma kumfuta kazi.

Chanzo: Nipashe

:israel:

Kwahiyo yeye anakubali kwamba yupo kwenye chama kinachoangamia

Sasa angekuwa na akili timamu si angetoka ahamie chama kingine au maneno yote haya ni ulevi wa madaraka anafikiria tena ubunge 2015 anaona upepo hauvumi vizuri.
 
nikushauri kitu kimoja, kuliko kuitumikia bk7 ni bora ukawe house boy wa muhongo

Hakuna cha buku 7 wala 8 hapa kama zipo basi nyie ndiyo mnapewa na Mengi, Tambua kuwa Watanzania wa sasa si wale wa zamani ambao walikuwa wanaomwamini Mengi kwa kila Uzushi wake,Watu wameamka wanajua kuwa Mengi ni Fisadi si mtu Saafi na kaamua kukomaa na Muhongo kwa Ajili ya Tumbo lake binafsi na si kwa Ajili ya watanzania, ujue kuwa endapo Mengi angepata Vitalu vya Gesi leo hii usingemjua Muhongo wala escrow, sasa Tambua ni kwa kiasi gani Mengi ni Mnafiki na mbinafsi.
 
Kwahiyo yeye anakubali kwamba yupo kwenye chama kinachoangamia

Sasa angekuwa na akili timamu si angetoka ahamie chama kingine au maneno yote haya ni ulevi wa madaraka anafikiria tena ubunge 2015 anaona upepo hauvumi vizuri.
Ameropoka tu ili kumfurahisha Boss wake Mengi Lakini huko aliko nina imani anajututia Kauli yake.
 
Kada maarufu wa CCM ambaye pia ni mbunge wa Kahama na mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na utalii, Dr James Lembeli ametahadharisha kwamba kitendo cha Prof Muhongo kutowajibishwa au yeye mwenyewe kutoachia madaraka kwa hiyari, kitaiua CCM kabla hata uchaguzi wa mwaka huu haujatangazwa.

Kada huyo amemtaka rais kikwete kumfuta kazi muhongo ili kuinusuru CCM na chuki dhidi ya wananchi na hatimaye kufa kabisa baada ya kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa oktoba, 2015. Ametolea mfano wa Mwinyi na Lowasa waliowahi kuachia ngazi na hivyo kumshauri mhongo afuate mkondo huo endapo JK atagoma kumfuta kazi.

Chanzo: Nipashe
:israel:

Muhongo awajibike asiwajibike adhabu na kiama cha CCM kipo pale pale, niniyi mnataka kunusuru chama badala ya Wananchi?

Hakika mafedhuli wote wa CCM kiama chenu chaja na hakuna pa kuficha nyuso zenu na mwisho wake ni October 2015.

Eee Mwenyezi Mungu utujalie kuwang'oa wakoloni hawa KWA KURA NA DUA ZETU MBAYA DHIDI YAO,HAKIKA WANA STAHILI ADHABU YAKO STAHIKI.

Hakuna cha msalie Mtume wakati huu kwa MAFEDHULI HAWA.
 
Huyu lembeli mpuuzi.. fisadi na mla rushwa mkubwa aliyewekwa mfukoni na nyalandu na makaburu baada ya Tanapa na ikulu kumzuia kuuza hifadhi ya katavi yeye na kilaza mwenzake nyalandu kwa makaburu naona anaganga njaa kwa mengi kama kwenye ishu ya Richmond walivyomchafua lowasa na kna..sta..mwakyembe..ana kilango malechela...malechela..selelii na kundi lao la mitume lililokua linalipwa na mlalamishi na mkwepa kodi mengi sasa watanzania walishawashtukia huyu mwehu na wenzake kna nassari wanaganga njaa kwa mengi ...lema na kna yerko nyerere waganga njaa....muhongo ni jembe na mkombozi wa watanzania umeme unasambaa vijijini kwa kasi ya ajabu wakati sku zote Rea ilkuwepo na power afrca ila hatukuwahi kuona hii kasi kubwa hivi mengi ni mbnafsi anataka aendelee kufilisi watanzania huyu mwehu alishasema rais mwinyi amewapa wahindi nyumba posta kawanyma wazawa mwinyi akaagza mengi apewe nyumba mbili mengi huyohuyo akauza nyumba alizopewa kwa wahindi...stupid guy

Mengi ni Mwizi na chuki zake na fitna ndizo zinaichafua ccm , ebu jiulize hv Mengi angepata Vitalu vya Gesi leo hii angekuwa anahangaika kuwanunua Wabunge wamchafue Muhongo? Mengi ni bonge la mnafki mkubwa.
 
Lembeli ajiandae kumkabidhi jimbo mtoto wa kahama ndugu "Ncheye" wananchi walishachoka na fitina zake.
 
Muhongo awajibike asiwajibike adhabu na kiama cha CCM kipo pale pale, niniyi mnataka kunusuru chama badala ya Wananchi?

Hakika mafedhuli wote wa CCM kiama chenu chaja na hakuna pa kuficha nyuso zenu na mwisho wake ni October 2015.

Eee Mwenyezi Mungu utujalie kuwang'oa wakoloni hawa KWA KURA NA DUA ZETU MBAYA DHIDI YAO,HAKIKA WANA STAHILI ADHABU YAKO STAHIKI.

Hakuna cha msalie Mtume wakati huu kwa MAFEDHULI HAWA.

Hilo Dua la Kuku nenda kumwombee Mengi ambaye huwa halipi kodi, mwizi, na bingwa wa Fitina pindi akinyang'anywa kitu ambacho anataka kukifanyia Udalali,sumu ya ccm ni Mengi hilo dua lako muombee Mengi.
 
Hakuna cha buku 7 wala 8 hapa kama zipo basi nyie ndiyo mnapewa na Mengi, Tambua kuwa Watanzania wa sasa si wale wa zamani ambao walikuwa wanaomwamini Mengi kwa kila Uzushi wake,Watu wameamka wanajua kuwa Mengi ni Fisadi si mtu Saafi na kaamua kukomaa na Muhongo kwa Ajili ya Tumbo lake binafsi na si kwa Ajili ya watanzania, ujue kuwa endapo Mengi angepata Vitalu vya Gesi leo hii usingemjua Muhongo wala escrow, sasa Tambua ni kwa kiasi gani Mengi ni Mnafiki na mbinafsi.

Serikali iptie upya biashara za mengi na mikataba ya staff wangu huyu chui anayevaa ngozi ya kondoo mengi....hakuna mwenye uwezo wa kunlipa si huyo maskni mengi au nan ila haki ya prof.muhongo tumpe huyu prof muhongo anachapa kazi sana
 
Huu ni Unafiki mkubwa kwani Mengi na Mkono leo hii ulaji wao ungekuwa hai huko Wizara ya Nishati tusingesikia Muhongo wala escrow, ccm inaangamiwa na Fitina za Mengi.
 
Back
Top Bottom