TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,868
- 5,753
Mbona unakesha humu na mapovu yanakumiminika ukimtetea fisadi mwenye nywele nyeupe kama za lembeli ? Njaa ni hatari sana unatumika bila kujijua .
kwako wewe ndo kumekuja au?
Mbona unakesha humu na mapovu yanakumiminika ukimtetea fisadi mwenye nywele nyeupe kama za lembeli ? Njaa ni hatari sana unatumika bila kujijua .
CCM mnashangaza sana. Mtu anayesema ukweli mnamkejeli na kumuona hana maana. Ila wale mafisadi ndio mnawaona wana maana. Chama kinazidi kujifia.
Lembeli ni matehemu anayetembea mtakumbuka maneno yangu punde twendeni sawa atalia sana mwaka huu hata iweje hatoki.
hayo makapi ya kutoka CCM kama linataka kuja huko na lije tu , Muhongo ni mmoja wa watu ambao watanzania tulikuwa tunawahitaji muda mrefu sana, acheni wivu wenu.
Hivi umeme ni wa Tanesco au ni wa Muhongo ? Mabwawa tuchimbe sisi umeme amilikishwe dalali Muhongo !imewabakia nyie mnaomuonea wivu Muhongo, na hang'oki ng'o tunauhitaji umeme wake
nikushauri kitu kimoja, kuliko kuitumikia bk7 ni bora ukawe house boy wa muhongo
kabla ya Muhongo hao TANESCO hawakuwepo, mbona ilikuwa ni ndoto umeme kwenda huko vijijiniHivi umeme ni wa Tanesco au ni wa Muhongo ? Mabwawa tuchimbe sisi umeme amilikishwe dalali Muhongo !
Ni tusi kubwa sana mtu kudhani mimi ni ccm!
Mkapa alikuwa dicteta ila si fisadi, sasa kikwete ni demokrasia lakini Fisadi, pia Ikulu ilikuwa inaheshimika sasa ikulu pango al weziJK ni jembe maneno yote haya ni ya kumgwaya tu na si vinginevyo, mtamkumbuka sana baba wa demokrasia afrika nzima, enzi za Mkapa mlikuwa hambwabwaji hivi
Jamani mbona hamwelewi Mhongo na Jk Ni wamoja katika Ulaji ndo maana jk hawezi kumtosa mwenzie abaki kwanza ili waendelee kuchukua kila kitu hujui wanamaliza kipindikabla ya Muhongo hao TANESCO hawakuwepo, mbona ilikuwa ni ndoto umeme kwenda huko vijijini
wewe ni msukule wa MBOWE
wewe ni Jini wa kikwete na pepo la Muhongowewe ni msukule wa MBOWE
Huku ndiyo kupishana kwa lugha kwa watawala Askofu wa FGBF alisha semaAlitamka.Tunayaona sas wanapishana wao kwa wao, dhambi inawatafuna wenyewe na bado muda unakaribiaKada maarufu wa CCM ambaye pia ni mbunge wa Kahama na mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na utalii, Dr James Lembeli ametahadharisha kwamba kitendo cha Prof Muhongo kutowajibishwa au yeye mwenyewe kutoachia madaraka kwa hiyari, kitaiua CCM kabla hata uchaguzi wa mwaka huu haujatangazwa.
Kada huyo amemtaka rais kikwete kumfuta kazi muhongo ili kuinusuru CCM na chuki dhidi ya wananchi na hatimaye kufa kabisa baada ya kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa oktoba, 2015. Ametolea mfano wa Mwinyi na Lowasa waliowahi kuachia ngazi na hivyo kumshauri mhongo afuate mkondo huo endapo JK atagoma kumfuta kazi.
Chanzo: Nipashe
:israel:
kabla ya Muhongo hao TANESCO hawakuwepo, mbona ilikuwa ni ndoto umeme kwenda huko vijijini
Mwacheni Muhongo achape kazi.Lembeni akapumzike tangu amekuwa Mbunge amewafanyia nini watu wa Kahama?
Ni wazi Muhongo na JK hawakukutana barabarani........ Mbona wanapendana hivi,Yani JK yupo radhi CCM ife lkn sio kumtoa Muhongo............mahaba ya dhati.
Tena liondoke saa nane za usiku ili liondoke na nuksi zake zote anadhani kuwa na nywele nyeupe ndiyo kupewa uwaziri jk haangalii nywele bali anaangalia uwezo.
Watu wamepmbqzwa akili na ccmusiwe mgumu wa kuelewa. kuchapa kazi kwa muhongo sio tatizo ila uchapa kazi una negative effects kwa CCM. sasa kama unaona hiyo effect ya ufisadi wa muhongo haina madhara kwa CCM, mwache aendelee kuchapa kazi.
lembeli anasumbuliwa na frustrations, miaka yote ya ubunge hata nyumbani kwake hajafanya kitu achilia mbali kwa wananchi wake. Anatumiwa na Wapinzani ili kudhoofisha majembe ya JK ili CCM ionekane haijafanya kitu