Lembeli: Muhongo anaiangamiza CCM

Lembeli: Muhongo anaiangamiza CCM

CCM iko desperate ndo maana unaona kila mtu anataka kkuchota fedha na kuondoka, muda wao wa madarakani umeisha kabisa, wamekopa pia umeisha kabisaaaa
 
Mtanzania, Mwananchi, Nipashe hamuoni waliokula hela? Mbona Muhongo tu

WATANZANIA TUOGOPE MAGAZETI KAMA YA MTANZANIA, MWANANCHI NA NIPASHE AMBAYO KILA KUKICHA YEYEWE YANAMTAFUTA RAIS WETU MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE. LAZIMA TUJIULIZE KWA NINI HAWA HAWAMUHESHIMU RAISI WETU, MAANA KILA KUKICHA WAO WANANGANGANIA MUHONGO AONDOKE.
TUNAJUA HAWA WOTE WAMEPEWA FEDHA NA MENGI KWA AJILI YA KAZI HIYO TU. WANAACHA KUWATAARIFU WATANZANIA MAMBO YA MAENDELEA WAO WANAFUATILIA MASUALA AMBAYO HAYAJENGI KWA WATANZANIA.

ANGALIENI GAZETI HILI LA MTANZANIA 21,1,2015 LIMEANDIKA SIKU ZA MUHONGO ZIMEKWISHA, SASA WAO WANAMUONGELEA RAIS? KWA NINI WASIKAE KIMYA KUSUBIRI MAAMUZI YA RAIS? KAMA WATANZANIA WOTE WANAJUA HALIHALISI YA ESCROW AKAUNTI ILIVYOKUWA NA MKAKATI ULIVYOFANYWA NA WAFANYABISHARA NA WALE WALIONYIMWA VITALU.

MBONA WAO HAWAMZUNGUZII ZITO ALIYECHUKUA FEDHA ZA IPTL KUTOKA KWA SINGA SINGA? KILA SIKU WAO WANAZUNGUMZIA MTU MMOJA TU, MTU MWENYEWE TUKISOMA TAARIFA YA CAG HATUONI MAHALI AMBAPO ANAHUSIKA, NI KWA NINI HAWATAKI KUANDIKA UKWELI ULIOPO? wanafikiri WATANZANIA NI MBUMBUMBU HATUELEWi KINACHOENDELEA? MAGAZETI HAYA TUNAJUA WAMEPEWA FEDHA NYINGI WAANDIKE KICHWA CHA HABARI MUHONGO. JUZI PIA TULISIKIA LEMBELI NAE AKIZUNGUMZIA SUALA HILO HILO, WOTE TUNAJUA LEMBELI AMEPEWA FEDHA NA LAZARO NYALANDO KUMTANGAZA.
TUJIULIZE LEMBELI NI MTUMISHI WA WIZARA YA MALIASILI? KWA NINI KILA SIKU ANASAFIRI NA NYALANDU? KAMA YEYE NAE NI MTUMISHI WA WIZARA HIYO?
AMEPEWA FEDHA KWA AJILI YA KUICHAFUA CCM TU. HAPA MAJUZI LEMMBELI KAHONGWA MILIONI 20 NA NYALANDU KUPOTEZA WATU WASIZUNGUMZIE MASUALA YAKE YA KIMADA, NA ALIPEWA MAELEKEZO KUHAKIKISHA ANAZUNGUMZIA SUALA LA ESCROW NA MUHONGO KWA KUWA AKIZUNGUMZA HILO MAGAZETI YATAACHA KUANDIKA HABARI ZAKE.
 
Muhongo ni jembe kwenye serikali ya KIKWETE, kwa hiyo kuelekea uchaguzi mkuu wapinzani wanatumia mbinu zote kudhoofisha wale wanaokipaisha chama cha Mapinduzi.
 
Hakuna cha buku 7 wala 8 hapa kama zipo basi nyie ndiyo mnapewa na Mengi, Tambua kuwa Watanzania wa sasa si wale wa zamani ambao walikuwa wanaomwamini Mengi kwa kila Uzushi wake,Watu wameamka wanajua kuwa Mengi ni Fisadi si mtu Saafi na kaamua kukomaa na Muhongo kwa Ajili ya Tumbo lake binafsi na si kwa Ajili ya watanzania, ujue kuwa endapo Mengi angepata Vitalu vya Gesi leo hii usingemjua Muhongo wala escrow, sasa Tambua ni kwa kiasi gani Mengi ni Mnafiki na mbinafsi.

Sasa nimeamini una chuki binafsi na Mengi. Mimi sikuongelea habari zake na wala simjui
 
Muhongo ni jembe kwenye serikali ya KIKWETE, kwa hiyo kuelekea uchaguzi mkuu wapinzani wanatumia mbinu zote kudhoofisha wale wanaokipaisha chama cha Mapinduzi.

na sidhani kama kikwete hata ana wazo la kumwondoa Muhongo.
 
Mtanzania, Mwananchi, Nipashe hamuoni waliokula hela? Mbona Muhongo tu

WATANZANIA TUOGOPE MAGAZETI KAMA YA MTANZANIA, MWANANCHI NA NIPASHE AMBAYO KILA KUKICHA YEYEWE YANAMTAFUTA RAIS WETU MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE. LAZIMA TUJIULIZE KWA NINI HAWA HAWAMUHESHIMU RAISI WETU, MAANA KILA KUKICHA WAO WANANGANGANIA MUHONGO AONDOKE.
TUNAJUA HAWA WOTE WAMEPEWA FEDHA NA MENGI KWA AJILI YA KAZI HIYO TU. WANAACHA KUWATAARIFU WATANZANIA MAMBO YA MAENDELEA WAO WANAFUATILIA MASUALA AMBAYO HAYAJENGI KWA WATANZANIA.

ANGALIENI GAZETI HILI LA MTANZANIA 21,1,2015 LIMEANDIKA SIKU ZA MUHONGO ZIMEKWISHA, SASA WAO WANAMUONGELEA RAIS? KWA NINI WASIKAE KIMYA KUSUBIRI MAAMUZI YA RAIS? KAMA WATANZANIA WOTE WANAJUA HALIHALISI YA ESCROW AKAUNTI ILIVYOKUWA NA MKAKATI ULIVYOFANYWA NA WAFANYABISHARA NA WALE WALIONYIMWA VITALU.

MBONA WAO HAWAMZUNGUZII ZITO ALIYECHUKUA FEDHA ZA IPTL KUTOKA KWA SINGA SINGA? KILA SIKU WAO WANAZUNGUMZIA MTU MMOJA TU, MTU MWENYEWE TUKISOMA TAARIFA YA CAG HATUONI MAHALI AMBAPO ANAHUSIKA, NI KWA NINI HAWATAKI KUANDIKA UKWELI ULIOPO? wanafikiri WATANZANIA NI MBUMBUMBU HATUELEWi KINACHOENDELEA? MAGAZETI HAYA TUNAJUA WAMEPEWA FEDHA NYINGI WAANDIKE KICHWA CHA HABARI MUHONGO. JUZI PIA TULISIKIA LEMBELI NAE AKIZUNGUMZIA SUALA HILO HILO, WOTE TUNAJUA LEMBELI AMEPEWA FEDHA NA LAZARO NYALANDO KUMTANGAZA.
TUJIULIZE LEMBELI NI MTUMISHI WA WIZARA YA MALIASILI? KWA NINI KILA SIKU ANASAFIRI NA NYALANDU? KAMA YEYE NAE NI MTUMISHI WA WIZARA HIYO?
AMEPEWA FEDHA KWA AJILI YA KUICHAFUA CCM TU. HAPA MAJUZI LEMMBELI KAHONGWA MILIONI 20 NA NYALANDU KUPOTEZA WATU WASIZUNGUMZIE MASUALA YAKE YA KIMADA, NA ALIPEWA MAELEKEZO KUHAKIKISHA ANAZUNGUMZIA SUALA LA ESCROW NA MUHONGO KWA KUWA AKIZUNGUMZA HILO MAGAZETI YATAACHA KUANDIKA HABARI ZAKE.

Na wewe umelipwa sh ngapi kuja kupost thread?
 
Una hasira kweli mpaka unaandika kwa herufi kubwa! Kwa hiyo kwa mujibu wako anayeandika sana habari za Muhongo anamtafuta Rais? LEMBELI kwa kusema Muhongo pia anachafua chama. Hivi LEMBELI ni wa chama gani? JUZI tu Tulisikia Katibu Mkuu wa Chama akizungumzia viongozi wanaokataa kuwajibika wanaofanya madudu kumchefua je unafikiria alikuwa akimsema nani? Au naye anakichafua chama? Na kushauri uwe na uvumilivu wa maoni ya watu wengine kama wanavyokuvumilia wewe.
 
Huyo Lembeli haoni na yeye namna anavyoangamiza wanyama wetu na maliasili zetu na Waziri wake? Nyani haoni kundule eh !
 
usiwe mgumu wa kuelewa. kuchapa kazi kwa muhongo sio tatizo ila uchapa kazi una negative effects kwa CCM. sasa kama unaona hiyo effect ya ufisadi wa muhongo haina madhara kwa CCM, mwache aendelee kuchapa kazi.

Mwache mzee apige kazi, maana ukimwamusha aliyelala.....
 
Wakuu
Tumeshuhudia na kuona watu waliopokea mabilioni mimi binafsi sikuona wala kusikia mgao ulipokelewa na Muhongo.
Je kuna mtu hapa jamvini anayeweza kutujuza kwa facts na siyo siasa.

nani kapata ni katika sakata la escrow bado ni siri nzito! mgao toka kwa lugemalila ' is just a tip of the iceberg', kumbuka muhongo aliwahi kunukuliwa akisema akiondoka serikali itaanguku, uliwahi kujiuliza maana yake? tafakari!
 
CCM haiwezi kuangamia kwa Masilahi Binafsi ya Mengi, Watu wengi wanajua kuwa Chuki ya Mengi juu ya Muhongo ndiyo imefanya huu Uzushi kuenea kila kona, Mengi katumia Mabilioni kuwapa wabunge, waandishi, walambi, Waganga wa kienyeji, Viongozi wa Dini nk, ili wamchafue Muhongo baada ya kumnyima Vitalu vya Gesi na kumnyang'anya Migodi ambayo alikuwa akimiliki kienyeji enyeji pasipo kuiendeleza huku akiwa anawanyanyasa wenyeji walio zunguka maeneo yake, CCM wa kumulikwa ni Mengi kwani ndiye Mfadhili wa kuchafua chama.

Sisi hatupigi kelele juu ya lichama lenu hilo, sisi tunalilia hao mafisadi kina muhongo!
 
Lembeli anamalizwa na maige anaepita kwa wapiga kura kuwaambia alichongewa na lembeli eti kaiba twiga, Maige anawauliza wananchi kuwa mnamfahamu twiga wanasema "ndio", unaweza kumswaga "hapana" sasa atamwibaje? wananchi wanaitikia hizo ni fitina.

hahahaha! kaaaazi kwelikweli. wananchi mbumbumbu wanaokubali hizo propaganda za maige ndio wanaosababisha nchi hii ichelewe kupata ukombozi
 
hiyo ni mipango ya wizara,hata kama ungewekwa wewe badala muhongo lazima mambo yange enda kama unavyo ona,labda mn'ge tofautiana wizi tu.

ni kweli kabisa mkuu, umeongea ukweli tupu ila kuna wananchi mbumbumbu wako humu wanaodhani kwamba wizara inaendeshwa kutokana na pesa za muhongo...wanasahau kwamba anatumia kodi ya wananchi.
 
mimi namshauri yeye lembeli pamoja na nyarandu wajiuzuri wao ndio wana kashfa kubwa ya maliasili kinachojificha kuwahonga wapiga kelele mfano mchungaji msigwa

usitoke nje ya mada. hapa unajadiliwa ufisadi wa muhongo sio nyalandu wala mwizi mwingine.
 
Huyo Lembeli haoni na yeye namna anavyoangamiza wanyama wetu na maliasili zetu na Waziri wake? Nyani haoni kundule eh !

tafadhali usiende nje ya mada...hii skandali inamhusu Muongo, hao wengine unaowataja kama unajua wanahusika katika UFISADI tofauti na huu wa pfofesa Muongo, fungua uzi mpya ufunguke kuhusu UFISADI huo ili watu wakuelewe. kila liCCM katika nchi hii linanuka rushwa, utapeli, ulghai na ukengeufu!

View attachment 221019
 
Back
Top Bottom