Hiivi Lembeli ilikuwaje magamba wakamuacha apite kwenye chekeche lililomnyofoa shibuda
Hiivi Lembeli ilikuwaje magamba wakamuacha apite kwenye chekeche lililomnyofoa shibuda
Hofu ya chama kuonekana wazi wamenuia kuwamaliza waliojipambanua kuupinga ufisadi
Selelii na Kimaro wakawa chambo, ila walishapanga kuwashughulikia zaidi ya hao
acha uzabizabina wewe....Ametumia vema fasihi,kutokana na fasihi hiyo huyo ni JK
heeeeee...............kwahiyo hapa walishindana ndo mkuu Lembeli akawa kinarausifanye mchezo na mshirikina
Mhe. Mbunge Lembeli akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Urambo amefumba fumbo kwamba wasioishi hapa Tanzania na wasiojua kwa nini watanzania ni masikini ndiyo waliyotufikisha hapa tulipo.
Maneno hayo yakanikumbusha kauli ya mhe. J.K aliyoitoa safarini Ufaransa 'sijui kwa nini Tanzania ni masikini'. pia safari za nje ya nchi zinazolalamikiwa mara kwa mara ndicho mbunge huyo alichobainisha 'wasioishi hapa nchini'
kauli hiyo ilifuatiwa na maelezo ya Sitta ya nia yake ya kuwaunganisha watanzania wazalendo ili kupinga rasilimali za taifa kunufaisha wachache. Sherehe hiyo pia ilishuhudia wazee wa urambo wakimtunuku Mhe. Sitta heshima kwa kuvalishwa mashuka kama wanayovishwa wazee wa Urambo kwa mchango wao kwa kupigania haki za jamii yao
Source: Taarifa ya Habari ITV saa 2