Lembeli: J.K ndiye aliyetufikisha hapa

Hata tyson hutamani kurudi ulingoni lakini kila akitokea hupokea kichapo cha aibu,wazee hawa Sita na Lembeni are fastly becoming off record, imebakia kuwa written off tu.
Acha wasamarize political career zao,hawana jipya
 
Siita anajitayarisha kugombea Urais 2015 na Lembeli ni mpiga zumari wake. Hakuna zaidi.

hv faiza unafikiri ccm wanaweza kumpa six awe mgombea wa urais,huyu huyu six aliyeanzisha ccj na kuleta makundi ndani ya chama wakijiita wapambanaji wa ufisadi au mtu mwingine?
 
MKUU WAPO WASIOTAKA KUSIKIA MANENO HAYO.
lakini ndo ukweli.Rais wa nchi ajui wananchi wake kwanini ni masikini.?
Pili Rais wa nchi ajui tatizo la mgao wa umeme hap nchini.?
Rais wa kila kitu yeye anaisi,anafikiri,na wala ajui.?
jamani mnamsingizia rais wenu kuna kitu kimoja anakijua sana nacho ni kuweka passiport kwenye briefcase
 
Back
Top Bottom