Lembeli: J.K ndiye aliyetufikisha hapa

usifanye mchezo na mshirikina



Kama ushirikina wake unaweza kuwasidia watanzania kiasi hicho heri atufundishe na sisi ili tuweze kuutumia, tuwe wakweli kwa maslahi ya umma!
Kama kuna anaeujua huo ushirkina naomba ani pm tupange mkakati!
 
Lembeli, Sitta, Sendeka, Selelii, Kilango, Mwakyembe & co wote ni wanafiki. Wanataka Urais tu! Kama hawawezi kufanya maamuzi ya kuhama ccm hawawezi kufanya mabadiliko, historia inawakataa.
 
Gamba ni Gamba tu hata lingekuwa jepesi. Wanataka kujikosha na kutafuta imani ili SIX agombee 2015, lakini hata yeye hana hata chembe ya uzalendo wa kuipenda.
 
Mhe. Mbunge Lembeli akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Urambo amefumba fumbo kwamba wasioishi hapa Tanzania na wasiojua kwa nini watanzania ni masikini ndiyo waliyotufikisha hapa tulipo.

Maneno hayo yakanikumbusha kauli ya mhe. J.K aliyoitoa safarini Ufaransa 'sijui kwa nini Tanzania ni masikini'. pia safari za nje ya nchi zinazolalamikiwa mara kwa mara ndicho mbunge huyo alichobainisha 'wasioishi hapa nchini'

kauli hiyo ilifuatiwa na maelezo ya Sitta ya nia yake ya kuwaunganisha watanzania wazalendo ili kupinga rasilimali za taifa kunufaisha wachache. Sherehe hiyo pia ilishuhudia wazee wa urambo wakimtunuku Mhe. Sitta heshima kwa kuvalishwa mashuka kama wanayovishwa wazee wa Urambo kwa mchango wao kwa kupigania haki za jamii yao

Source: Taarifa ya Habari ITV saa 2

MKUU WAPO WASIOTAKA KUSIKIA MANENO HAYO.
lakini ndo ukweli.Rais wa nchi ajui wananchi wake kwanini ni masikini.?
Pili Rais wa nchi ajui tatizo la mgao wa umeme hap nchini.?
Rais wa kila kitu yeye anaisi,anafikiri,na wala ajui.?
 
Back
Top Bottom