Teh Teh yanii mapema...
Wana JF nataka niwahakikishie kuwa Lowassa hawezi kuwa raisi wa nchi hii iwe mwaka huu wala miaka 25 ijayo. Chadema wanaweza kumtumia ili waongeze pesa zao za kampeni na of course wabunge na madiwani hasa kanda ya kaskazini. Hayo nawaambia from the bottom of my heart asiyetaka asubiri baada ya October 2015 ndiyo ataamini maneno yangu!!