Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

Tuna mtaji mkubwa wa kutosha kutuingiza ikulu,nawashauri muandaeni makomeo alijue hilo kuwa anaenda kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani

NANI kwanza atakae mpeleka huyo makomeo huko Bungeni!? Form za ubunge zimeshaisha na kura za maoni zimeshapita kwahy aandae tu nauli ya kurudi shinyanga maana ndege ya raisi itakuwa haimtambui tena!
 
Sina hamu na chadema tena! Lowasa awe mgombea wa chadema!? hii ni laana kwa waliopigania chadema maisha yao yote!
 
Waondoke tu hao mafisadi. Hawana chao CCM


Acha kubweka kama bweha abwekeaye ndege warukao....

JK mwenyekiti wako sio fisadi??

JK ndiye alicheza dili ya Richmond kizembe ikabumbuluka Lowassa alijiuzulu ili kuokoa Serikali na CCM...

Sasa mbona Richmond bado ipo nchini ambayo ndiyo SYMBION ya ubungo?? unabweka nini wakati bado unaliwa?? si mnaumizwa na ufisadi mwambieni JK aifunge SYMBION maana inakula pesa zile zile kama za RICHMOND!!!!

SIMBA TRUST iliyokwapua mabilioni ya ESCROW inamilikiwa na JK & SALMA mbona hamjawahi kuhoji??

Wewe mpumbavu kama si mchawi utakuwa mwanamke mwenye wivu wa viwango vya juu....
 
ngoja tusubiri..maana kimya kingi kina mshindo! ngoja nipambane nipate kichinjio changu itafahamika tu hiyo october
 
Lowasa anautaka urais kwa hali na mali, CCM wamemkataa sababu ni fisadi leo chadema wanataka kumpokea.
Napata shaka katika uadilifu na hiki chama
 
kwani fisadi ni lowasa pekee yake??ccm walioiba pesa za escrow.epa.meremeta.kagoda.deep green.rada etc wataondoka lini? mbona lowasa kaiba richmond tu??vip chenge mpiga deal mkuu wa.ccm ataondoka??

Lowassa ni kama tone tu la chumvi kwenye kisima cha maji.CCM mpaka wote watoke labda miaka mia ijayo.Kumbuka hata kupata nafasi ya uongozi tu lazima uwe na fedha,je mtoto wa.mkulima ataweza?Kuwaondoa si rahisi maana hata wao wanatumia pesa zao kupata uongozi na kuwaweka wale wanaowataka kwenye nafasi zao.
 
Sasa Padre atakanusha maneno yake kwenye ile orordha ya aibu?

Tunataka jk akane,alivyo kuwa anampigia kampeni mwaka 2010 kuwa hajawai kumuona kiongozi bora na mchapa kazi kama lowasa,video tunazo
 
mnamsema mtu fisadi kwakuambiwa hamjui hata maana ya richmond wala escrow ninini sasa mmebaki kuropokatu oofisadi oofisadi kisa eti mmesikia mnajua kilicho tokea? je hamjui kunasirinzito lowasa anayo na ataiweka hadharan mda mref acheni ubwete ileni siasa msihukumu kwakusikia

Mwambieni Slaa atupe maelezo mengine badala ya yale ya Mwembeyanga. Hicho chama cha chadema ni cha mashetani,wako tayari kuhujumu,kuua,tindikali na kumpokea hata baba wa mashetani ili mradi na wenyewe iwe zamu yao kula. Utapeli wa kisiasa too much nchi hii,
 
Lowasa ni mpango wa Mungu

Teh teh teh! na sacccos yenu nayo huwa inadai kuwa na yenyewe ni mpango wa Mungu wakati huo huo Padre anapingana na mpango wa Mungu kwa kumwita Lowassa fisadi na wote wanataka kugombania nafasi ya uraisi kupitia hiyo saccos!
 
Back
Top Bottom