Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

Kikwete kajitakia mwenyewe fedheha yote hii.... Alikubali kubebwa akajiona kafika.... Maskini akipata aisee ni shida...
Sasa chama kitamfia mikononi.....
Dr. Magufuli naye kaingizwa kichwa kichwa.... Daah ataishia kukariri idadi ya kilometers alizotembea kabla ya kunyang'anywa "dodo" na wajanja wa mjini....!!!!

Jamani tujifunze kitu hiki: Acheni uswahili, unafiki, uzandiki, uhuni na upotoshaji...Ukibebwa kwenye maisha... jitahidi kuwathamini waliokuwezesha hadi ukatimiza ndoto zako... Hata ukiwa mwenyewe usiwaze kuwapoteza ama kuwadharau waliokubeba wawe hai au wafu...!!!
 
masikini chadema inakwenda kutekwa hiviiiviiiihiiiiivi mchana kweupe.....
 
Juzi nilimsikia mhubiri mmoja kutoka nchi moja ya Afrika wakati ana hubiri kwenye redio moja alisema kuwa kuna mtu mmoja alikuwa na madaraka makubwa nchini Tanzania ana mawazo mengi moyoni mwake baada ya jina lake kuondolewa wakati ana jaribu kutafuta nafasi nyingine ya juu zaidi,Mungu amesema kuwa mtu huyo asiendelee kuhuzunika na kusononeka kwa kuwa kuna mtu ana kuja kushika madaraka makubwa ya nchi naye atamfanya kuwa mmojawapo wa viongozi wakubwa katika utawala wake.

Pamoja n



hakuna cha unabii,kila kitu kinapangwa.......
 
Nimeamini siasa ni mchezo mchafu, Lowasa alipopigwa chini kwa tuhuma za richmond, nilifurahi sana na kumwona mwakyembe ni shujaa. Kwa ufaham wangu nilijua kitakacho fuata ni jamaa kushtakiwa, cha ajabu hili halikufanyika, nilijaribu kuuliza watu weng kwnn huyu mtu hastakiwi? Ndipo jamaa moja mwaka 2009 alinijibu, tuhuma za richmond si za kweli bali jamaa kapigwa jiwe la mbali ili kumharibia ndoto zake za urais; kadri siku zinaposogea nusu nasadiki kuwa kauli hii huenda ina ukweli.
 
CHADEMA wapewe hongera kwa hilo, maana kimekuwa chama cha viporo na makapi!
Sijui na Zito watamkaribisha lini?

Kwenye siasa hamna falsafa kama hii ya kwako... Siasa si ndoa hivyo kujiunga, kujitoa na kurudi kundini ni halali kabisa... Ujasiri wako tu!!!
 
Mbunge wa Arusha Mjini,Godblees Lema, amesema watapokea "kigogo mkubwa" kutoka CCM pamoja na wenyeviti wa mikoa na wilaya katika mkutano utakaofanyika Dar-es-salaam.

Chanzo:Mtanzania

CCM mwaka huu lazima mtafute mchawi wakati mchawi/wachawi mlicheza nao mziki pale ukumbini.


Issue sio kupokea Kigogo wa CCM, issue ni je mnampokea kama nani? Mwanachama wa kawaida au mgombea wa CDM?
 
Unaesema fisadi alifisadi nini mbona hamkumpeleka mahakani

Ni kweli. Alisema awali kuwa yeye alitekeleza 'collective responsibility' wakati wa sakata la Richmond. Lizabon huelewi bado? Ueleweshejwe ili uelewe? Au mpaka mboga imwagike ndio utaelewa?
 
Mbunge wa Arusha Mjini,Godblees Lema, amesema watapokea "kigogo mkubwa" kutoka CCM pamoja na wenyeviti wa mikoa na wilaya katika mkutano utakaofanyika Dar-es-salaam.

Chanzo:Mtanzania

CCM mwaka huu lazima mtafute mchawi wakati mchawi/wachawi mlicheza nao mziki pale ukumbini.

Lowasa ndani ya Ukawa...Nchi itatikisika ...Simba wa Yuda ataunguruma muda si mrefu

Kwa taarifa tu,gazeti la Mwananchi la leo tarehe 25/07/2015,lina habari inayosema mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha, Ole Nangole,amesema Lowassa hakutendewa haki.

Bila shaka mnajuta kimoyomoyo.

Kuna wakati mnaenda vizuri kuna wakati mnaharibu basi burudani tupu....ila kwa leo nimefarijika na michango yenu hasa kama mlichoandika mmekimaanisha toka moyoni
 
eti siri nzito,wabongo bana........

ana siri ipi hiyo nzito?

we unafikiri MTU aliyeingia kwenye vikao vya kamati ya ulinzi Wa nchi atakosa siri mnzito kawa waziri mkuu Wa nchi atakosa siri mzito mwanachama Wa ccm Wa muda mrefu atakosa siri za serikali acha ushabiki
 
Back
Top Bottom