Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

Hivi bavicha ile single yenu ya lowassa kumfadhili Zitto imeishia wapi? ama kweli kwenye udhia penyeza rupia tu, chama kiko kichwa juu miguu chini kisa pesa, wamesahau hata wanachopigania sasa
Bavicha wengi wana amnesia si rahisi kutunza kumbu kumbu...
 
Last edited by a moderator:
zile huwa ni siasa,usitilie maanani sana.
hata hivyo lowasa hapiti.
kanda ya ziwa wameshasema bahati haiji mara mbili.
stay tuned
Siwapendi watu kama ww mnaoleta ukabira, udini, ukanda kwahiyo tanzania kunakanda moja tu pole kwamawazo finyu.
 
Hakuna jipya hapo. Wajanja tulishajua kitambo. Anapita mule mule

Kwani makonda na ww ni mjanja? Kisa ulimpiga mzee warioba ukazawadiwa cheo ? Hv bado unakula pesa za Gadafi toka Kwa Membe? Nasikia Sasa mnataka kuipiga pesa ya ccm kijanja Kwa kisingizio cha kwenda kuwanunua wapinzani , wewe ni fisadi mkubwa na wenzako Wote nyie ni mafisadi nyie Wote hamna usafi mmejaa madhambi ya upigani huna mfano wa kujivunia kiasi cha kumnyooshea mwingine kidole.
 
Lowasa anautaka urais kwa hali na mali, CCM wamemkataa sababu ni fisadi leo chadema wanataka kumpokea.
Napata shaka katika uadilifu na hiki chama
Teh Teh hapa ndio watu wajue rangi ya chadema..
 
Acha kubweka kama bweha abwekeaye ndege warukao....

JK mwenyekiti wako sio fisadi??

JK ndiye alicheza dili ya Richmond kizembe ikabumbuluka Lowassa alijiuzulu ili kuokoa Serikali na CCM...

Sasa mbona Richmond bado ipo nchini ambayo ndiyo SYMBION ya ubungo?? unabweka nini wakati bado unaliwa?? si mnaumizwa na ufisadi mwambieni JK aifunge SYMBION maana inakula pesa zile zile kama za RICHMOND!!!!

SIMBA TRUST iliyokwapua mabilioni ya ESCROW inamilikiwa na JK & SALMA mbona hamjawahi kuhoji??

Wewe mpumbavu kama si mchawi utakuwa mwanamke mwenye wivu wa viwango vya juu....

Asante kamanda
 
Waondoke tu hao mafisadi. Hawana chao CCM

Wewe ndiye Fisadi mkubwa pamoja na baba yako Membe mnatumia pesa nyingi kumchafua Lowasa , hiyo pesa ya Gadafi mliipata bila jasho ndiyo maana mnaitumia kufanya Fitna za ajabu ajabu, hamchoki? Mninunua kamati ya maadili sasa bado mnahaha kuwanununua Ukawa wewe ndiye Fisadi hatari kuliko Wote usidhani watu hawakujui, wewe sasa unegeuza Fitna kuwa mladi mkubwa kwako unapokea pesa nyingi Kwa kazi hii huku ukiwa haulipi kodi.
 
Tunataka jk akane,alivyo kuwa anampigia kampeni mwaka 2010 kuwa hajawai kumuona kiongozi bora na mchapa kazi kama lowasa,video tunazo

lowasa ni mchapakazi sawa,alichokosea ni jinsi alivyoanza harakati zake.
pia zile scandal zilikuwa zinamuwekea kiwingu,ccm wangejiloga sana kumteua.
sasa kazi ya kumsafisha lowasa kwa matope waliompaka wao wenyewe imewarudia wao wenyewe.WHAT GOES ARROUND COMES ARROUND......
 
Meli ilipigwa na dhoruba miaka mingi toka uhuru waliomo ndani wanaelea tu wakiishi kula samaki na viluilui,wamezaliana mpaka wamekuwa kama milioni45 hivi bado kila aliyendani yupo yupo hajui kesho na haitaji kuijua,, kwenye hiyo meli kuna wanasiasa hao yaani ni uongo kila kukicha tutafika kesho mara tunakaribia mara wengine oooh captain kalewa asaidiwe sasa hao macaptain ndio shida maana naona maengineer wamejitosa majini wanapiga mbizi sijui wanaelekea wapi,, huku meli imebaki na abiria na uongo kila siku engine hazina service captain hajui njia,,, wanaotaka kumsaidia captain nao wamepotea wakiwa humo humo na hata njia wanazosema watapita nazo sizo basi siku zinakwenda na meli inazidi kushika kutu huko chini and no chipping have been done sijui itazama sasa,,, maana hata maboya wala life boat and raft hakuna....
 
Waondoke tu hao mafisadi. Hawana chao CCM

mkuu Lizaboni hebu fafanua vizuri bado sijakuelewa hapa. ni mafisadi gani hawa chao CCM? je, ni karamagi, chenge, tibaijuka, ngereja, gurumo (mnikulu), lugemalira, au wale waliochota mabilion Stanbic Bank?
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndiye Fisadi mkubwa pamoja na baba yako Membe mnatumia pesa nyingi kumchafua Lowasa , hiyo pesa ya Gadafi mliipata bila jasho ndiyo maana mnaitumia kufanya Fitna za ajabu ajabu, hamchoki? Mninunua kamati ya maadili sasa bado mnahaha kuwanununua Ukawa wewe ndiye Fisadi hatari kuliko Wote usidhani watu hawakujui, wewe sasa unegeuza Fitna kuwa mladi mkubwa kwako unapokea pesa nyingi Kwa kazi hii huku ukiwa haulipi kodi.

Mwambie mkuu huyo mtumwa mambo leo
 
Kuna mpango wa Dr.W.Slaa kumuondoa kwenye orodha ya aibu...pale mwembe Yanga..

Tambua kuwa ccm Hakuna msafi kila mmoja ni Fisadi tena Wapo wa kutisha kuliko unavyofikiri, ufisadi upo kila kona hadi chadema Ufisadi Upo , Dr slaa na Mbowe huwa wanazifuja pesa za chama , kuna madeni feki, kujikopesha kijanja janja Kama slaa alivyojikopesha million 100. Nchi hii Hakuna Msafi kuanzia ccm hadi upinzani kote woote ni wale wale. Kama unasaka asiye Fisadi subiri azaliwe maana bado hajazaliwa .
 
Last edited by a moderator:
Kama chadema wamefika hatua ya kumwalika lowasa kwenye chama chao, basi ni hatari. Kwa lugha nyingine wanamualika chenge, rostam na wengine wa aina hiyo! Watakuwa ni wapumbavu, binafsi nakatishwa tamaa na siasa za bongo hasa ninaposikia kuwa sasa lowasa ni mbeba bendera wa chadema. Sasa baada ya uchaguzi watatuambia kuwa wanapinga ufisadi?

Mnapunguziwa mizigo Bado mnalalamika tu, ya Chadema Achaneni nayo
 
Teh teh teh...........huu usajili wa lowasa chadema nahisi utavunja rekodi hata ya bale wa real Madrid.
 
Back
Top Bottom