mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,165
Ni kesho tu tunakula kichwa kikuu cha CCM
Kazi ya akina Nape itakuwa imekamilika, kwani edo alikiwa avue gamba mapema.
"Ni heshima kubwa kwa Mungu kumzomea fisadi mkubwa kama Lowasa" -Godbles Lema.
Siasa za chadema ni za kitapeli na ulaghai! Leo hii fisadi papa kawahonga viongozi wa chadema bil 10 na ghafla fisadi mmembadili jina na kumuita Simba wa Yuda!!! lahaulaa! ama kweli fedha fedheha. Slaa atabaki kumrembulia macho tu Lowasa na kuanzia sasa siwaamini chadema kwa ishu yoyote matapeli wakubwa. Watu walijeruhiwa maandamanoni, wengine wamepoteza viungo kuijenga chadema eti wakiamini ndio mkombozi wao katika kupambana na ufisadi kumbe ilikuwa ni gia ya kusaka ulaji mnono toka kwa hao hao mafisadi! mmewakatisha tamaa watanzania wenye uchungu na nchi yao. Natangaza rasmi kuwa CHADEMA ni chama cha mafisadi.
chadema sio tena ile ya walalahoi, imeshanunuliwa na fisadi.
ulishatolewa na Slaa kwenye kampeni ya Nasari pale Arumeru, ngoja tukutupie ka youtube ka video yake Slaa akitoa ushuhuda wa ufisadi wa Lowasa
Bavicha: CDM members and fans your leaders might be wrong learn to think for yourself
Mkuu nadhani chama kinaendeshwa kwa misingi maalumu,Huyo fisadi hawezi kusababisha CCM iondoke madarakani
Mkifanya kama Burundi hapo sawa, lakini kwa BVR imekula kwenu! Maandishi ushindwe kusoma hata picha nayo huoni?! Wewe ni mtu wa ajabu kweli. Teh!Huyo fisadi hawezi kusababisha CCM iondoke madarakani
kwani ukikaa kimya siku moja utaugua?
Lowassa anapendwa jaman