Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

na wewe comred laki si pesa karibu (UKAWA) tujenge nchi, sisi tulisha amia mapema maana ccm ina wenyewe sio ile ya mwalimu nyerere,

karibuni:
lizabon
mzee tupa tupa
mussa alani
tanta madiba
faiza fox
simiyu yetu
rich pol
big show

nyote mna karibishwa (UKAWA)

Lazima kwanza wakatubu sana Hawa wamekula pesa za Marehemu Gadafi toka Kwa Membe huku wakijua kuwa hizo pesa ni Harumu na Pia zilimpoteza marehemu balozi wa Libya ili kuficha ushahidi wa Mali na pesa zote. Wakatubu sana kisha wamlaani Membe Kwa kuwalea Kwa pesa haramu na kuwafundisha uchonganishi na Fitna za kila aina huku akiwa amewaacha wakiwa mafisadi wakubwa kutokana na kuwajaza mapesa mengi sana.
 
kigogo ambae wangempata kidogo akasumbua ni warioba,lakini lowasa wala hata hasumbui



Wee akili yako imepitwa na wakati, ur outdated, ....Lowassa ndio kila kitu sasa hv, anapendwa kama Yesu, usilete utani kaa mbali, utaumia..
 
Hakuna jipya hapo. Wajanja tulishajua kitambo. Anapita mule mule

Hana jipya huyo mkuu. Hata Mrema alikuwa Kama huyo tu.
Sasa hivi Mrema anahangaika na ubunge tu, shughuli yote kwisha, na Lowasa nae ndio njia anayo pita kuelekea mahali ambapo Mrema kakaa hivi sasa nae ndio anaelekea kukaa hapo.
Lowasa shughuli yake kisiasa ndio Owari (imekwisha), hakuna la ziada.
 
Lowassa anapendwa jaman



Kama Yesu wa Nazareth.... yaani wee acha tu...UKAWA kupitia Lowassa wataiua CCM kwa kuinyonga kabisa...mmmhh...Lowassa this is a very genius human being....mmmhhh
 
Wapinzani hawana goli la mkono kama CCM,goli la mkono la wapinzani litakuwa ni Lowassa awe ndani ya CCM humohumo au nje ya CCM kinachotakiwa ni ushindi.

Nape sasa Hana Goli la mkono tena yupo anahana fwd yake ni butu, huku akiwaza pesa za Membe atazirejeshaje? Ujue alikula mapesa mengi ya Membe akamhakikishia atampiga Fitana Lowasa hadi Membe apewe Goli la mkono lakini Wajumbe wakawaumbua Kwa kupiga kura za hasira Kwa Magufuli .
 
Hana jipya huyo mkuu. Hata Mrema alikuwa Kama huyo tu.
Sasa hivi Mrema anahangaika na ubunge tu, shughuli yote kwisha, na Lowasa nae ndio njia anayo pita kuelekea mahali ambapo Mrema kakaa hivi sasa nae ndio anaelekea kukaa hapo.
Lowasa shughuli yake kisiasa ndio Owari (imekwisha), hakuna la ziada.
Lowasa na Mrema ni sawa na kichuguu na Mlima Kilimanjaro , Mrema alikuwa masikini hakuwa na rasilimali watu na pesa Pia hakukatwa na kamati ya maadili yeye alihama kivingine hakujipanga maisha ya baadae baada ya siasa, Lowasa anajua hizi siasa za Tanzania vizuri ndiyo maana anatumia pesa za marafiki pesa zake kazitunza ili siku mambo yakigoma anaendelea kuishi maisha yasiyo na Shaka wala njaa.
 
Umekariri Neno Fisadi hadi umeliona hilo Neno ni Kwa Ajili ya maadui wa baba yako Membe tu, ebu Tambua kuwa wewe mwenyewe ni Fisadi mbaya na hatari huna cha kujivunia wewe ni Fisadi kutokana na kuvuna mapesa mengi Kwa njia haramu Kwa kazi haramu pasipo kulipa Kodi, ni mchawi pekee humjua mchawi mwenzake wewe ni Fisadi ndiyo maana unapenda kuwaita wabaya wa Membe mafisadi .

Leo umemkalia mabegani makonda
 
Hana jipya huyo mkuu. Hata Mrema alikuwa Kama huyo tu.
Sasa hivi Mrema anahangaika na ubunge tu, shughuli yote kwisha, na Lowasa nae ndio njia anayo pita kuelekea mahali ambapo Mrema kakaa hivi sasa nae ndio anaelekea kukaa hapo.
Lowasa shughuli yake kisiasa ndio Owari (imekwisha), hakuna la ziada.



Wee umelala kweli, tena unakoroma

Can you compare Mrema na Lowassa..!?

Nyakati zilikuwa tofauti sana 1995 na sasa, Lowassa is a genius political master mind and king...!!!

1995, Nyerere alikuwapo, na alikuwa anaaminika na wananchi sana, pia wananchi 1995 walikuwa hawana elimu ya uraia kama 2015... as well upinzani umekuwa mara 1000 zaidi, pia CCM wameharibu nchi mara 10000 zaidi ya 1995, so think again...

Lowassa si Mrema, hata kidogo, Mrema hana chochote... Lowassa is a Commando in an ACTION.... kaa mbali utaumia na Mafuriko...
 
Mbunge wa Arusha Mjini,Godblees Lema, amesema watapokea "kigogo mkubwa" kutoka CCM pamoja na wenyeviti wa mikoa na wilaya katika mkutano utakaofanyika Dar-es-salaam.

Mkutano huo utafanyika wiki ijayo kwa mujibu wa taarifa hiyo.


Chanzo: Mtanzania

CCM mwaka huu lazima mtafute mchawi wakati mchawi/wachawi mlicheza nao mziki pale ukumbini.

ila kama na yule yumo ni vizur kwanza mkautangazia umma kuwa sio fisad kipind kile mlimuonea ili kupunguza mashaka kwa wenye akili
 
Leo umemkalia mabegani makonda

Ndiyo Lazima tumwambie Ukweli maana yeye anavuna pesa nyingi toka Kwa Membe kisha wanakesha kwenye mitandao kuwaita wengine mafisadi wakati yeye ndiye Fisadi mkubwa tena mkwepa kodi.
 
Kazi ya akina Nape itakuwa imekamilika, kwani edo alikiwa avue gamba mapema.
 
ila kama na yule yumo ni vizur kwanza mkautangazia umma kuwa sio fisad kipind kile mlimuonea ili kupunguza mashaka kwa wenye akili

Mwambia jk akanushe sifa zote alizo mmwagia wakatia anampigia kampeni
 
nafikiri uko ndo kutakuwa mwanzo wa kuporomoka kwa CDM na mwisho ni kupotea kabisa ktk anga za siasa nchini, pili watapoteza sana majimbo mengi pale tu EL atakapo pewa fursa ya kuingoza ukawa kuingia ikulu.
nashindwa kujua wapinzani watamsafisha vp EL baada ya kumshutumu kuwa ni fisadi hadi kumkomalia ajiuzuru uwaziri mkuu pale bungeni.
acheni siasa za kuiga igaaaaa.
 
Back
Top Bottom