Lema ndiyo kaandika au kaandikiwa haya maelezo.
Lema ndiyo kaandika au kaandikiwa haya maelezo.
Lema ndiyo kaandika au kaandikiwa haya maelezo.
Ni kweli kwamba wanajeshi wengi wa vyeo vya juu wanaitumikia CCM wakiwa wanajeshi na sio wana siasa; wengine wanaitwa wastaafu kwa maana kwamba walikuwa wanachama wa ccm kabla hata hawajastaafu, mfano, hata polisi nao, afande oTibaigana aliwahi sema akistaafu anaenda kugombea ubunge kwa tiketi ya ccm huko karagwe.kuna kina Cpt.komba, Ditopile, Yamungu,Coln. Simbakalia, Massawe, Makamba,orodha ni ndefu.
Mbona ya kawaida sana. Kwako yamekuwa maneno ya Busara sana. Ben Saa8 atakuwa alikuwa na kifaa za kupunguza uwezo wenu wa kufikiri na upembuzi wa mambo. Poleni sana PM7.Tunashukuru kwa aliyemwandalia haya maelezo Lema!
kama nikweli huyo jamaa ni askari wa JWTZ minadhan kakosea, kaenda kinyume cha sheria ambayo anafahamu kabisa nimakosa kwa askari kushabikia chama cha siasa hadharani tena akiwa na mavazi ya jeshi husika! tusitolee mifano ya ma DC na ma RC kwani wao wanakuwa appointed na muda huo wanakuwa nje yajeshi sikama huyo aliejitokeza wazi tena akiwa na magwanda!
Tunashukuru kwa aliyemwandalia haya maelezo Lema!
Kwa akili ya kawaida tu, wandungu CDM au Lema na wenzake kosa lao liko wapi hapa, huyu mtu ameguswa na ujumbe wao akawafanyia suprise ya kuwafuata na kuomba kupiga picha nao ulitaka wamwambie nini? Katika mazingira ya kawaida pamoja na maneno aliyosema isingekuwa rahisi kwa wabunge wale kumwambia hapana! wao wako kazini kusajili timu ya kucheza na kushinda mpira, haijalishi mchezaji huyo anatoka CCM, TLP, CUF au mtumishi wa aina gani? lazima asajiliwe kwani atasaidia kuongeza uhai na nguvu katika mapambano.Ujumbe alioutoa Lema ni kwamba ni sawa kwa CHADEMA kufanya makosa iwapo makosa hayo pia yanafanywa na vyama vingine. Naona mashabiki wa CHADEMA mnashangilia hili, sijui kama mmeelewa ina implication gani in the future!
Lema anasema "Hili ni jaribu kubwa kwa Serikali ya Kikwete na kama Mbunge ningeshauri fanyeni kama hamjaona jambo hili..." : hapa anamaanisha kuna makosa yanatakiwa kufumbiwa macho ili kukidhi mahitaji ya kisiasa. Je, huu ndio uongozi mnaoutaka watanzania? Hayo ndio mabadiliko yanayowafanya muandamane barabarani kila siku?
Safari barabarani, akili kichwani...
Lema ndiyo kaandika au kaandikiwa haya maelezo.