mhindijohn
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 469
- 72
CCM ndio wanaandaliwa maelezo kwa taarifa yako !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Tunashukuru kwa aliyemwandalia haya maelezo Lema!
CCM ndio wanaandaliwa maelezo kwa taarifa yako !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Tunashukuru kwa aliyemwandalia haya maelezo Lema!
Usiwanyime haki yao ya kuamini kwenye msimamo wao kama CDM,kamwe haitakiwa na haitakuwa sawa sera na matakwa ya CHADEMA yawe ni yale ya CCM,basi hatuna sababu ya kuwa na CHADEMA.Tofauti hizo ndio zinaleta changamoto hizo ambazo ndizo zinazaa maendeleo na ustawi wa jamii ya Watanzania. CHADEMA wamejua nini kinaendelea nao wao wametake advantage kwa gharama ya CCM. Uzito na umakini unatakiwa kutoka kwa taasisi husika kwa kutoingia kichwa kichwa kwa kuwa taasisi yenyewe ipo kwa niaba ya Taifa na sio mtu au chama fulani.Ujumbe alioutoa Lema ni kwamba ni sawa kwa CHADEMA kufanya makosa iwapo makosa hayo pia yanafanywa na vyama vingine. Naona mashabiki wa CHADEMA mnashangilia hili, sijui kama mmeelewa ina implication gani in the future!
Lema anasema "Hili ni jaribu kubwa kwa Serikali ya Kikwete na kama Mbunge ningeshauri fanyeni kama hamjaona jambo hili..." : hapa anamaanisha kuna makosa yanatakiwa kufumbiwa macho ili kukidhi mahitaji ya kisiasa. Je, huu ndio uongozi mnaoutaka watanzania? Hayo ndio mabadiliko yanayowafanya muandamane barabarani kila siku?
Safari barabarani, akili kichwani...
Hebu nikumbushe kidogo elimu ya lema! kama unaijua
nadhani huijui akili ya lema ndo maaana unasema hayoTunashukuru kwa aliyemwandalia haya maelezo Lema!
Lema ndiyo kaandika au kaandikiwa haya maelezo.
Tunashukuru kwa aliyemwandalia haya maelezo Lema!
Unafikiri ni JK huyu, Magamba mmezoea kuandikiwa, ndio maana hamtekelezi ahadi zenu kwa kuwa hamkuzifikiria, zimetoka kwa akina Mukandara na nyinyi mnazisoma bila hata kutafakari.Lema ndiyo kaandika au kaandikiwa haya maelezo.
Ujumbe alioutoa Lema ni kwamba ni sawa kwa CHADEMA kufanya makosa iwapo makosa hayo pia yanafanywa na vyama vingine. Naona mashabiki wa CHADEMA mnashangilia hili, sijui kama mmeelewa ina implication gani in the future!