Lema: "Serikali inaonewa"

Wajinga ni nyie muhuni kama LEMA anawadanganya kuwa anawakomboa.

Huwezi helewa falsafa na Lugha za picha na kisomi za kifasihi za Lema kama akili yako ndogo na ulizoea kukariri toka darasa la awali . Akili kubwa pekee ndio zitaelewa Lema alimaanisha nini.
 
Lema amejenga hoja kisomi, kiukweli huwez kubeba jukumu kubwa ilhali dogo limekushinda..ustukane jadili reality tuikomboe nchi hii
 
Lema huruma hiyo kwa serikal umeanza lini? Au ndo tuelewaje...

Hujamuelewa lema hiyo ni lugha ya kifasihi zaidi alikuwa anawashangaa wabunge kuishupalia serikali inunue ndege wakati hata madawati imeshindwa. Maana viongozi ni negativere thinker kuwapa jukumu la ndege ni kuwaonea coz they are tired.
 
Huyu (Lema) ni miongoni mwa wabunge wanaosaka umaarufu. Hivi ni shule gani imekosa madawati au ni hospitali gani imekosa vitanda?
 
Hujamuelewa lema hiyo ni lugha ya kifasihi zaidi alikuwa anawashangaa wabunge kuishupalia serikali inunue ndege wakati hata madawati imeshindwa. Maana viongozi ni negativere thinker kuwapa jukumu la ndege ni kuwaonea coz they are tired.
Ni kweli haeleweki huyu msaka tonge. Not as you do thinking that he used literary language. This guy is as Ignorant as the most of the UKAWA.
 

Kaone Lema alichofanya Arusha then ongelea kulekule na hawezi kuiacha posho maana ataishije
 
mengine umejitaidi, lakini hili la kufananisha na kenya umekuwa to local! Je sisi na kenya tuna fanana kiuchumi?
 

mjengoni pale wabunge walio wengi ni wa ccm na ndio waliopitisha hizo posho na hata lema akijenga hoja ya kuziondoa hizo posho ni sawa na kujaza gunia maji. dawa pekee ya kurejesha heshima ndani ya serekali ni uwazi & uwajibikaji tofauti na hapo hatutaweza fufua viwanda vyetu vilivyouliwa na sera za kifisadi. everyday najiuliza tutapata viongozi kama mwalimu nyerere na sokoine!!!! bila viongozi wa type ya mwalimu kamwe hatutasonga mbele
 
It's ver true, serikali iliyoshindwa hata kununua vidonge vya panadol kwa baadhi ya zahanati zake vijijini, leo hii unaipachika jukumu zito la kununua madege ya Boeing 767, ni serikali ya aina hiyo ya ubabaishaji itaweweseka tu!!

Ni jambo ambalo ni next to impossible, kuona nchi kubwa kama TZ, iliyosheheni utajiri wa kila aina wa rasilimali tulizojaaliwa na Mungu, kama vile madini ya uranium, dhahabu, tanzanite, almasi na madini mengine mengi yenye thsmani, na pamoja nchi yetu kujaaliwa kuwa na gesi nyingi sana pamoja na mafuta, lakini ni jambo linaloshangaza kupita kiasi kuona nchi yetu shirika letu la Taifa la ndege la ATCL likiwa halina hata ndege hata moja, nchi jirani kama Rwanda, ambbako ni kanchi kadogo sana kenye eneo dogo sana linalofanana na mkoa wetu mmoja tu wa Singida, na kanchi ambacho hakina rasilimali zozote kilichojaaliwa na Mungu, kanchi hako kanatushinda kwa kwa kuwa na ndege zaidi ya nne wakati sisi tuna ndege ZERO!!!!
 



Inasemekana huyu jamaa ana ubongo mdogo sana kama wa kuku, mara zote anawaza ngono tu!
Siyo ngono peke yake anayowaza bali huyo Komba pia anatamani sana kurudi 'nyumbani' kwake msituni kwenda kuungana na wanyama wenzake akina tumbili, nyani na ngedele!!
 
Huyu (Lema) ni miongoni mwa wabunge wanaosaka umaarufu. Hivi ni shule gani imekosa madawati au ni hospitali gani imekosa vitanda?
Mkuu, hivi wewe unaishi sayari ya Mars?!

Ina maana hujaiona hata shule moja iliyokosa madawati na zahanati zilizokosa dawa, na wala hujawahi hata kupata habari kupitia kwenye vyombo vya habari kuwa kuna shule kadhaa ambazo hazina madawati?!

Bila mashaka yoyote wewe utakuwa haupo kwenye dunia yetu hii bali utakuwa unaishi kwenye sayari nyingine!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…