mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
mimi ni kada wa ccm lakini lema namkubali sana anamisimamo yake inayosaidia ccm tufanye maendeleo jimbo la arusha mjini
Huyu Mtu sijui ana akili ya wapi! Kama alijua kuwa Shule hazina madawati, Hospitali hazina vitanda etc Mbona anapokea Posho ambazo angeweza kuamrisha zielekezwe kwenye shuguli nyingine za maendeleo? Mbona alipokea Milioni tisini ya shangingi? etc Godbless J Lema , na wabunge walalamikaji aina yake ni wanafiki na wanapoteza sifa za kuongoza wananchi kila uchao.
Kwahiyo na LEMA ni mmoja wa wasomi nchi hii?
Hapana mkuu, nakubaliana na wewe kabisa kuwa Lema si msomi ila ni inteligent. Nchi hii ingekuwa na watu inteligent kama Mh LEMA watoto wetu wasingekosa madawati, wake zetu wasingezalia chini kwa uhaba wa vitanda. Kwa maana kama usomi wenyewe ndo huu wa akina Muhongo, unaotutaka tufikiri kuuza juice tu, huoni kuwaambia wanunue ndege ni kuwaonea. utauza juice lita ngapi ili upate ndege? Dawa ni kuwaondoa wasomi wetu wanaowaza uwekezaji wa Juice na tuwaweke watu inteligent kama Mh LEMA watusaidie.
msimami, imebidi ni-login nikupe like.unaijua ofis ya tanu iliyoikomboa nch hii,tatizo sio ofis ni uwezo wa watu kutenda.
Akichangia katika kamati ya matumizi ya bajeti ya wizara ya uchukuzi, mh: lema amedai kuwa serikali inaonewa kwa jukum zito la kununua ndege za serikali kwa kuwa serikali ieshindwa hata kununua madawati mashuleni, vitanda mahospitalini na n.k.
Wana jf ninyi mnaonaje kauli hii ya mhe: lema kwamba serikali inaonewa kwa kupewa jukum zito la kununua ndege za ATCL wakati kuna vitu vingi vyenye ghalama ndogo havijanunuliwa?
jana jioni, lema na mbowe walipokuja bungeni walikuwa wamesha lewa. Kwa waliyokuwa wakiyangea na walivyokuwa wa act wanaonesha wazi walitoka kuzibuka kabla ya kuja bungeni.
Mkuu hujui? kautumia kuiondoa CCM Arusha. Sasa mkuu, hivi unakubaliana na usomi wa akina Mwigulu wa kutumia mabomu kupambana na inteliigence ya Lema?. Atawasumbua sana bora mchukue ushauri wa Msomi wenu Muhongo mkatengeneze juice.Lema tumeshamuweka Arusha mjini,Hebu tuambie kautumiaje huo "u-intelligent" wake!
Hamna hoja hapa ni kiojaKomba: CHADEMA hawana ofisi bali wana kitundu tu pale kinondoni
kweli ukiwa ccm lazima uwe mbumbumbu!yani kijana wa kiume hapo ndo unaona umechangia jf leo?inchi inaliwa hakuna madawati hakuna dawa hostptal watu wanakufa,wee unasema posho ya lema ndo ikafanye hayo!kweli msalani umenyewa mpaka umekua mjinga hivyo!!?mama zako dada zako wanajifungulia chini hakuna vitanda,lema ameikumbusha serkali hayo wee unaleta ushoga tu,unawaza mambo ya kijinga kama unataka kuolewa!shame on you!Huyu Mtu sijui ana akili ya wapi! Kama alijua kuwa Shule hazina madawati, Hospitali hazina vitanda etc Mbona anapokea Posho ambazo angeweza kuamrisha zielekezwe kwenye shuguli nyingine za maendeleo? Mbona alipokea Milioni tisini ya shangingi? etc Godbless J Lema , na wabunge walalamikaji aina yake ni wanafiki na wanapoteza sifa za kuongoza wananchi kila uchao.
wewe nawe hujitambui utakua umevurugwa!huwezi jifananisha na kamanda lema!watu wanawaza maendeleo wanapigania watanzania wawe na maisha bora,wama wapate huduma bora hosptal,wewe unakalia ujinga.miaka 50ya uhuru hatukua na lami Arusha mjini,tumezipata lema alipokua mbunge,mpaka sasa anapigania hosptali ya mama na mtoto,wee bado unawaza uolewe!!.Zile picha bado zina msumbua Lema kamamchezo hako nadhani kana mpashida
faiza uwongo unakusaidia nini?mana lema hatumii pombe sasa wee ulimuona anakunywa pombe ipi?yani unavyolewa wewe na kutumika gest basi ukajua kila mtu analewaga.Jana jioni, Lema na Mbowe walipokuja bungeni walikuwa wamesha lewa. Kwa waliyokuwa wakiyangea na walivyokuwa wa act wanaonesha wazi walitoka kuzibuka kabla ya kuja bungeni.
mijtu mingine bwana ndukumu bighuyu mtu sijui ana akili ya wapi! Kama alijua kuwa shule hazina madawati, hospitali hazina vitanda etc mbona anapokea posho ambazo angeweza kuamrisha zielekezwe kwenye shuguli nyingine za maendeleo? Mbona alipokea milioni tisini ya shangingi? Etc godbless j lema , na wabunge walalamikaji aina yake ni wanafiki na wanapoteza sifa za kuongoza wananchi kila uchao.
Na Machinga Complex bado anaipigania?wewe nawe hujitambui utakua umevurugwa!huwezi jifananisha na kamanda lema!watu wanawaza maendeleo wanapigania watanzania wawe na maisha bora,wama wapate huduma bora hosptal,wewe unakalia ujinga.miaka 50ya uhuru hatukua na lami Arusha mjini,tumezipata lema alipokua mbunge,mpaka sasa anapigania hosptali ya mama na mtoto,wee bado unawaza uolewe!!.
Mbona unatumia nguvu kubwa sana kumtetea Lema? Mpaka unatukana watu ovyo?faiza uwongo unakusaidia nini?mana lema hatumii pombe sasa wee ulimuona anakunywa pombe ipi?yani unavyolewa wewe na kutumika gest basi ukajua kila mtu analewaga.
Mkuu usiongee vitu ambavyo huna uhakika navyo. Jamaa anapiga kilevi kama kawa. Mbaya zaidi mpaka cha Arusha anavuta.faiza uwongo unakusaidia nini?mana lema hatumii pombe sasa wee ulimuona anakunywa pombe ipi?yani unavyolewa wewe na kutumika gest basi ukajua kila mtu analewaga.
Jana jioni, Lema na Mbowe walipokuja bungeni walikuwa wamesha lewa. Kwa waliyokuwa wakiyangea na walivyokuwa wa act wanaonesha wazi walitoka kuzibuka kabla ya kuja bungeni.