Lema: "Serikali inaonewa"

rasachri

Senior Member
Apr 8, 2011
144
225
Akichangia katika kamati ya matumizi ya bajeti ya wizara ya uchukuzi, mh: lema amedai kuwa serikali inaonewa kwa jukum zito la kununua ndege za serikali kwa kuwa serikali ieshindwa hata kununua madawati mashuleni, vitanda mahospitalini na n.k.

Wana jf ninyi mnaonaje kauli hii ya mhe: lema kwamba serikali inaonewa kwa kupewa jukum zito la kununua ndege za ATCL wakati kuna vitu vingi vyenye ghalama ndogo havijanunuliwa?
 

Haki sawa

JF-Expert Member
Oct 3, 2007
4,700
2,000
Ni kweli inaonewa maana kama hata kuchimbuahuu vyeo kwenye shule imeshindwa itaweza kununua ndege na kujiendesha ?
 

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
2,303
1,500
Bungeni muda kidogo uliopita kwenye mjadala wa wizara ya mwakyembe, suala la serikali kuwa ndege zake lilipamba moto. Wabunge wengi walichangia lakini mchango wa mh. lema ilisisimua kwa jinsi alivyokuwa anajenga hoja, anasema ...........mnaionea serikali hii bure, serikali ilioshindwa kununua madawati, vitanda hospitalini na huku ikiwa na utajiri wa ardhi, utalii, madini km tanzanite, uranium, nk leo hii mnaiambia inunue ndege?

Akaenda mbali kwa kusema kuwa tatizo la viongozi wa serikali ni -ve thinkers! Haiwezekani kikao cha mawaziri mbele ya rais ikashindwa kufanya maamuzi ya kununua ndege, kwamba serikali inaajiri kwa kutumia vyeti vyeki badala ya commitment!
 

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,938
2,000
Huyu Mtu sijui ana akili ya wapi! Kama alijua kuwa Shule hazina madawati, Hospitali hazina vitanda etc Mbona anapokea Posho ambazo angeweza kuamrisha zielekezwe kwenye shuguli nyingine za maendeleo? Mbona alipokea Milioni tisini ya shangingi? etc Godbless J Lema , na wabunge walalamikaji aina yake ni wanafiki na wanapoteza sifa za kuongoza wananchi kila uchao.
 

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,869
2,000
Zile picha bado anatembea nazo na ukimuomba tu anakupa. Akili yake bado haijatulia. Hakuna alichoongea zaidi ya kuweweseka tu
 

Haki sawa

JF-Expert Member
Oct 3, 2007
4,700
2,000

Attachments

  • image.jpg
    File size
    116.4 KB
    Views
    1,654

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,222
2,000
hiyo ni lugha ya kifasih,kipengele ch matumiz ya lugha uznde wa tamathali za semi ambayo ni kejeli,hivyo kitaalam hapo kuna ujumbe mzito na panahitaj ukomboz wa fikra il kupaelewa.

lema ni wakulaumu anajua kabisa ccm imejaza matoyoyo halafu anatumia lugha ngumu kiasi hicho unategemea watamwelewa si ndiyo maana wanaporomosha matusi hawa intarahamwe...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom