Hii statement imebeba falsafa kali sana!!!!
yan we mwenda wazmu kwel lema awe na falsafa anaongea kibangi tu.
Hii statement imebeba falsafa kali sana!!!!
Hapana, Lema alisema
bila kumung'unya maneno, kama serikali imeshindwa kununua madawati
itaweza kununua ndege? na akasema tatizo ni kuwa viongozi hawafikiri
''postively".
Mkuu usiongee vitu ambavyo huna uhakika navyo. Jamaa anapiga kilevi kama kawa. Mbaya zaidi mpaka cha Arusha anavuta.
yan we mwenda wazmu kwel lema awe na falsafa anaongea kibangi tu.
yan we mwenda wazmu kwel lema awe na falsafa anaongea kibangi tu.
' MTUKUFU ' LEMA ama waweza muita PROPHET au ukipenda MWAMBA WA KASKAZINI , tangu alipofanikiwa kukifuta CHAMA CHAKAVU PALE ARUSHA Amejijengea heshima kubwa NDANI NA NJE YA NCHI !
Akichangia katika kamati ya matumizi ya bajeti ya wizara ya uchukuzi, mh: lema amedai kuwa serikali inaonewa kwa jukum zito la kununua ndege za serikali kwa kuwa serikali ieshindwa hata kununua madawati mashuleni, vitanda mahospitalini na n.k.
Wana jf ninyi mnaonaje kauli hii ya mhe: lema kwamba serikali inaonewa kwa kupewa jukum zito la kununua ndege za ATCL wakati kuna vitu vingi vyenye ghalama ndogo havijanunuliwa?
Huyu Mtu sijui ana akili ya wapi! Kama alijua kuwa Shule hazina madawati, Hospitali hazina vitanda etc Mbona anapokea Posho ambazo angeweza kuamrisha zielekezwe kwenye shuguli nyingine za maendeleo? Mbona alipokea Milioni tisini ya shangingi? etc Godbless J Lema , na wabunge walalamikaji aina yake ni wanafiki na wanapoteza sifa za kuongoza wananchi kila uchao.
Jamaa anapiga kilevi kama kawa. Mbaya zaidi mpaka cha Arusha anavuta.
Zile picha bado anatembea nazo na ukimuomba tu anakupa. Akili yake bado haijatulia. Hakuna alichoongea zaidi ya kuweweseka tu
Jamaa anapiga kilevi kama kawa. Mbaya zaidi mpaka cha Arusha anavuta.
Asante mkuu!!!!yan we mwenda wazmu kwel lema awe na falsafa anaongea kibangi tu.
hiyo ni lugha ya kifasih,kipengele ch matumiz ya lugha upande wa tamathali za semi ambayo ni kejeli,hivyo kitaalam hapo kuna ujumbe mzito na panahitaj ukomboz wa fikra il kupaelewa.
Huyu Mtu sijui ana akili ya wapi! Kama alijua kuwa Shule hazina madawati, Hospitali hazina vitanda etc Mbona anapokea Posho ambazo angeweza kuamrisha zielekezwe kwenye shuguli nyingine za maendeleo? Mbona alipokea Milioni tisini ya shangingi? etc Godbless J Lema , na wabunge walalamikaji aina yake ni wanafiki na wanapoteza sifa za kuongoza wananchi kila uchao.
Unamtindio wa ubongo, pole sana!hata hivyo sio kosa lako, walaumu wazazi wako walioendekeza pombe badala ya kukupeleka shule!lema anajua kuwa wahun wenzake hawana haja na ndege lkn taifa haliwez kukaa bila ndege.