Lema: "Serikali inaonewa"

Lema: "Serikali inaonewa"

Huyu Mtu sijui ana akili ya wapi! Kama alijua kuwa Shule hazina madawati, Hospitali hazina vitanda etc Mbona anapokea Posho ambazo angeweza kuamrisha zielekezwe kwenye shuguli nyingine za maendeleo? Mbona alipokea Milioni tisini ya shangingi? etc Godbless J Lema , na wabunge walalamikaji aina yake ni wanafiki na wanapoteza sifa za kuongoza wananchi kila uchao.

Sasa,asipopokea pisho yeye atajikimu vipi pale dodona,jua kwamba nae ana mahitaji,labda ujitolee kumlipia hotel,chakulana mahitaji muhimu ilu aachie posho
 
Huyu Mtu sijui ana akili ya wapi! Kama alijua kuwa Shule hazina madawati, Hospitali hazina vitanda etc Mbona anapokea Posho ambazo angeweza kuamrisha zielekezwe kwenye shuguli nyingine za maendeleo? Mbona alipokea Milioni tisini ya shangingi? etc Godbless J Lema , na wabunge walalamikaji aina yake ni wanafiki na wanapoteza sifa za kuongoza wananchi kila uchao.
Pesa zake peke yake hazitoshi, kwanini serikali ya ccm isipunguze posho kwa wabunge wote kama ilivyotakiwa na Chadema? Pili kwani vipaumbele vya serikali hii ya ccm nini? kama hausiki na huduma za kijamii kama mashule na mahospitalini kwanini bado ipo madarakani? ukitoka Msalani nadhani utanielewa

  • Thanks
Reactions: mob
attachment.php

Inasemekana huyu jamaa ana ubongo mdogo sana kama wa kuku, mara zote anawaza ngono tu!

komba ana hashiki za kuku, huyu mama akizubaa atatiwa mic hadharani
 
Huyu Mtu sijui ana akili ya wapi! Kama alijua kuwa Shule hazina madawati, Hospitali hazina vitanda etc Mbona anapokea Posho ambazo angeweza kuamrisha zielekezwe kwenye shuguli nyingine za maendeleo? Mbona alipokea Milioni tisini ya shangingi? etc Godbless J Lema , na wabunge walalamikaji aina yake ni wanafiki na wanapoteza sifa za kuongoza wananchi kila uchao.

Hoja yako hapo ni nini? Posho ya lema tu ndiyo inaweza kununua madawati, hivi watanzania mbona kila jambo hatulitafakari
 
Huyo ndiye Lema tunaye mjua. Siyo mwoga na daima usema ukweli, ukweli ambao yuko tayari kuufia.....refer barua/jumbe zake zote kwenda kwa jk. Natamani kuona akina Lema kumi bunge lijalo.jumbe zake zote kwenda kwa jk. Natamani kuona akina Lema kumi bunge lijalo.
 
Mkuu kwahiyo na wewe unaamini kuwa KENYA waliponunua ndege kubwa aina ya B777-300ER , hawana changamoto zozote za ELIMU, AFYA etc?

We ni mwendawazimu yaani unalinganisha serikali ya Kenya na hawa wahuni wa CCM, serikali ya CCM ni higher version ya panyaroad na mbwa mwitu. Hawa lower version wa mtaani wanafanya annoying petty theft wakati hawa CCM higher version wanafanya deadly grand theft.
 
Pesa zake peke yake hazitoshi, kwanini serikali ya ccm isipunguze posho kwa wabunge wote kama ilivyotakiwa na Chadema? Pili kwani vipaumbele vya serikali hii ya ccm nini? kama hausiki na huduma za kijamii kama mashule na mahospitalini kwanini bado ipo madarakani? ukitoka Msalani nadhani utanielewa

LEMA amekuwa ni mmoja wa wabunge vikwazo katika kampeni ya "SAY NO TO POSHO".
Mara kadhaa tumeshasoma comments za LEMA hapa jamvini alivyokuwa akimshambulia mbunge mwenzie ambaye amekataa kuchukua posho.
 
hoja yako hapo ni nini? Posho ya lema tu ndiyo inaweza kununua madawati, hivi watanzania mbona kila jambo hatulitafakari

charity begins at home, na Penye nia pana njia, akianza yeye atakuwa na guts ya kusimama na kusema na watu wakamuelewa.
 
Huyu Mtu sijui ana akili ya wapi! Kama alijua kuwa Shule hazina madawati, Hospitali hazina vitanda etc Mbona anapokea Posho ambazo angeweza kuamrisha zielekezwe kwenye shuguli nyingine za maendeleo? Mbona alipokea Milioni tisini ya shangingi? etc Godbless J Lema , na wabunge walalamikaji aina yake ni wanafiki na wanapoteza sifa za kuongoza wananchi kila uchao.

Msalani, kazi ya mbunge ni kuikumbusha serekali kutekeleza wajibu wake na siyo kwenda kununua madawati, kujenga shule, zahanati n:k. serekali inakusanya kodi na inatakiwa izipangilie vyema then irudishe mrejesho kwa walipa kodi. mbunge akiitwa kwenye harambee sawa. serekali ikitumia vizuri kodi zetu, rasilimali zetu, kuondoa misamaha ya kodi kwa baadhi ya mafisadi kila kitu kinawezekana. wabunge ambao wanatumia fedha zao kujenga madarasa, zahanati na maabara kuna uwezekano hawalipi kodi kabisa kwenye biashara zao au wapo kwenye misamaha ya kodi.
 
Mtu mmoja kuchangia uzi zaidi ya mara 20 anakuwa na maana gani?

Lema kiboko chenu....hakamatiki.
 
Lema kajenga hoja ya maana, sema Lumumba chini ya kaka yao MSALANI mmeamua kwa makusudi kujifyatua akili.
 
Last edited by a moderator:
Huu ni ukweli japo mchungu.....!!!! Tatizo serikali inawakina ole sendeka wengi sasa hapo unategemea nini kama sio vioja
 
Msalani, kazi ya mbunge ni kuikumbusha serekali kutekeleza wajibu wake na siyo kwenda kununua madawati, kujenga shule, zahanati n:k. serekali inakusanya kodi na inatakiwa izipangilie vyema then irudishe mrejesho kwa walipa kodi. mbunge akiitwa kwenye harambee sawa. serekali ikitumia vizuri kodi zetu, rasilimali zetu, kuondoa misamaha ya kodi kwa baadhi ya mafisadi kila kitu kinawezekana. wabunge ambao wanatumia fedha zao kujenga madarasa, zahanati na maabara kuna uwezekano hawalipi kodi kabisa kwenye biashara zao au wapo kwenye misamaha ya kodi.

Mkuu sijasema LEMA anunue madawati, ila ninamaanisha hivi, Kama Mbunge anapaswa kuelewa Pesa za Posho anazolipwa ni mojawapo ya fedha ambazo zingetakiwa zielekezwe kwenye maendeleo. Kwa vile kazi ya Mbunge ni kuikosoa serikali, Mbona hatukuwahi kumsikia akiikosoa serikali kuhusu hili la Posho za wabunge?
 
charity begins at home, na Penye nia pana njia, akianza yeye atakuwa na guts ya kusimama na kusema na watu wakamuelewa.

Ni training ama umegawa ID,wewe akili zako ni ndogo sana,naona umevunja yai
 
LEMA anaungana na serikali kwenye maswala ya maslahi yake binafsi tu. Posho za wabunge, mikopo kwa wabunge, Mshahara, marupurupu ya safari etc ... Haya yasiyomhusu yeye binafsi anapinga tu. Sijawahi kumsikia akisema mshahara wa mbunge upunguzwe ili fedha zielekezwe kwenye miradi mbali mbali kwa wananchi.
 
Ila kweli aliyoyasema ,Maana Tanzania Ina kila maliasili madawati tu shida wanakaa chini ,ndege wataweza Nunua Kama dawati la 150000 limeshindikana
 
Ha! Ha! Ha! Mchango wa leo wa MH PROPHET , THE BEST LEMA NA KIBOKO YA MAGAMBA ndiyo MCHANGO BORA TANGU NIANZE KUSIKIA HABARI ZA BUNGE , HONGERA MH LEMA !
 
Back
Top Bottom