Lema: "Serikali inaonewa"

Lema: "Serikali inaonewa"

lema ni wakulaumu anajua kabisa ccm imejaza matoyoyo halafu anatumia lugha ngumu kiasi hicho unategemea watamwelewa si ndiyo maana wanaporomosha matusi hawa intarahamwe...

kweli mkuu ndo maana hata elim wanaiua il waendelee kueneza ujinga na watawale kirahis
 
Alikuwa anaweka msisitizo kwa serikali ilipe madeni ya mbowe anaidai atcl dola laki 2. Wachumia tumbo hao.
 
serikali imechoka inachoweza ni wizi wa mali za nchi kwani,ni aibu kubwa kwa nchi miaka hamsini ya uhuru, watoto wanakaa chini, mishahara ya walimu duni, sembuse wanunue ndege hilo ni jukumu zito sana
 
kaka unajua kunukuu, unachokisema niukweli mtupu, nimefurahia sana mchango wa Lema, kuna mama m1 alivyoona mwiba unazidi kuingia akaomba mwongozo kwa spika kwamba lema kapewa muda mwingi kutoa maelezo
 
Huyu anawaza vitundu tuu....si unaona ...
attachment.php

Inasemekana huyu jamaa ana ubongo mdogo sana kama wa kuku, mara zote anawaza ngono tu!
 
Kile kilikuwa kigongo kikali cha leo. Ni kweli kama mtu hawezi kununua hata chupi yake utamlaumu akishindwa kununua suti? Ndivyo hivyo hivyo kwa serikali ya CCM. Kama kununua madawati ni issue ndio iwe Ndege?
Nchi hii hilo shirika la ndege halifufuki mpaka watoke madarakani hawa jamaa.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Lema mmoja ni sawa na MAGAMBA 5O.

Habari ya mujini sasa mbowe amekwisha rudisha 1.6 bilion alizochukuwa nssf tena za watu masikini za walala hoi wanajitolea wanakatwa mishahara yao yy hataki kurudisha miaka 12 sasa
 
Wajinga ni nyie muhuni kama LEMA anawadanganya kuwa anawakomboa.
Hoja ya mheshimiwa Lema ni kwamba, serikali ya CCM imeshindwa kununua madawati je inaweza kununua ndege kwa ajili ya ATCL?
 
Akichangia katika kamati ya matumizi ya bajeti ya wizara ya uchukuzi, mh: lema amedai kuwa serikali inaonewa kwa jukum zito la kununua ndege za serikali kwa kuwa serikali ieshindwa hata kununua madawati mashuleni, vitanda mahospitalini na n.k.

Wana jf ninyi mnaonaje kauli hii ya mhe: lema kwamba serikali inaonewa kwa kupewa jukum zito la kununua ndege za ATCL wakati kuna vitu vingi vyenye ghalama ndogo havijanunuliwa?

Kweli kabisa vitu vya msingi ktk maisha serikali imeshindwa kabisa sembuse ndege?ingawa nimesikia tena wanapanga kununua rada.Serikali ina vituko sana
 
Akichangia katika kamati ya matumizi ya bajeti ya wizara ya uchukuzi, mh: lema amedai kuwa serikali inaonewa kwa jukum zito la kununua ndege za serikali kwa kuwa serikali ieshindwa hata kununua madawati mashuleni, vitanda mahospitalini na n.k.

Wana jf ninyi mnaonaje kauli hii ya mhe: lema kwamba serikali inaonewa kwa kupewa jukum zito la kununua ndege za ATCL wakati kuna vitu vingi vyenye ghalama ndogo havijanunuliwa?

How can u plan to buy helicopter wakti maktu huna
 
Back
Top Bottom