chishango
JF-Expert Member
- Feb 20, 2009
- 854
- 362
Huyu Mtu sijui ana akili ya wapi! Kama alijua kuwa Shule hazina madawati, Hospitali hazina vitanda etc Mbona anapokea Posho ambazo angeweza kuamrisha zielekezwe kwenye shuguli nyingine za maendeleo? Mbona alipokea Milioni tisini ya shangingi? etc Godbless J Lema , na wabunge walalamikaji aina yake ni wanafiki na wanapoteza sifa za kuongoza wananchi kila uchao.
Posho ni stahiki yake na familia yake hayo unayoyaainisha ni majukumu ya serikali ya chama chako kichovu ....kiazi mkubwa choo wee