DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
- Thread starter
- #81
Hapa sijui Mulongo atalazimika kwanza kujiuzulu? Na pia huyu si atakuwa ametumia vibaya ofisi ya Umma
Peleka hiyo houseboy mahakamani, Mkuu wanasheria wa Lema waikalie waisuke kiukweli. Na ushahidi wa video upo na wanafunzi wako tayari kutoa ushahidi wao live. Ondoa hili houseboy Arusha, hana hadhi ya kuwaongoza wana arusha.
ushauri wa bure wa huyu ndugu mheshimiwa,kazi kubwa ya mbunge ni kuchukua kero za wananchi na kuzipeleka bungeni kwa namna ya kufanya serikali izitatue,sasa hayo anayofanya ni umbulula wa hali ya juu,anapaswa aheshim wapiga kura wake,anapoteza muda tu,asubiri hukumu yake.
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure
Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa
ni UNLAWFULL DETENTION bana au False accusation.Nimenasa hii kuwa CHADEMA wameshauriana na mpaka sasa wamefikisha jumla ya mashtaka tofauti tofauti TISAya kumshtaki mkuu wa mkoa wa Arusha. Mojawapo ambalo nimesikia Tundu lissu amelikamata yeye mwenyewe ni kitendo cha mkuu wa mkoa kulazimisha polisi wamsweke ndani Mhe Lema (forced prisonment). Kosa na shtaka analodaiwa kulifanya Mhe Lema lina dhamana lakini kwa shinikizo la mkuu wa mkoa. ushahidi wa jambo hili utatikisa hasa baada ya rekodi ya mazungumzo hayo kunaswa kwenye moja ya vikao.
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure
Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa
Mahakani siyo issue, ka vipi kamanda ampotezee tu..Amshitaki kwenye "mahakama ya Umma"
jino kwa jino, ahamasishe zomea zomea ya ukweli kila atakapoonekana huyo HouseBoy...
Yani tuna hasara sana na huyu RC mjinga asiye na elimu ya darasani.
Ushauri wa bure wa huyu ndugu mheshimiwa,kazi kubwa ya mbunge ni kuchukua kero za wananchi na kuzipeleka bungeni kwa namna ya kufanya serikali izitatue,sasa hayo anayofanya ni umbulula wa hali ya juu,anapaswa aheshim wapiga kura wake,anapoteza muda tu,asubiri hukumu yake.